WENJE, toa tamko Pamba road ifunguliwe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WENJE, toa tamko Pamba road ifunguliwe!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Marire, Oct 4, 2012.

 1. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Wasaalam wakuu,kipande cha barabara cha mita 5 ,kimemchukua makandarasi zaidi ya mwaka kutengeneza na sasa ni kama kimekamili japo kwa kiwango cha chini sana! Na wameifunga kwa kuweka katapila isitumike.libety wametengeneza hata miezi 2 imekamilika.namuomba mbunge atumie mamlaka yake hii barabara iweze kufanya kazi.
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Mkandarasi alikuwa nani?
   
 3. A

  Abuu- Amin Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haiwezi Funguliwa wakati bado haijaisha. Itakuwa ni upotevu Wa resource zilizotumika fikisha hapo. Na mkandarasi akifungua atakuwa inefficient Kwani kufungua barabara kabla ya Kwisha ni makosa
  Wenje has proven failure so far and unfit for the post in 2015
   
 4. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Barabara imekamilika ila kiwango ni cha chini sana na wameifunga kwa kupak katapila hapo zaidi ya mwezi sasa!
   
 5. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  mkandarasi hajulikani kwani toka wameanza kazi hawajawahi kuweka kibao
   
 6. kessy kyomo

  kessy kyomo Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Mkandarasi anaitwa Grinder wa Igoma Mwanza,IN such huo mradi uko chini ya jiji la mwanza na kweli hiyo project inaonekana imefeli cause of supervision
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Nyie wafuasi wa Chadema mnatakiwa kuheshimu sheria za nchi na taratibu zake, kila kitu mnataka kutoa tamko sasa kazi ya mbunge ni kutoa tamko, tenda ya hiyo barabara madiwani wa Mwanza ndio wameipitisha ambao Chadema ndio wengi.
   
Loading...