Dar es Salam neema, wakati sisi hatuna maji, hata machafu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar es Salam neema, wakati sisi hatuna maji, hata machafu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OKW BOBAN SUNZU, Oct 3, 2012.

 1. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,809
  Likes Received: 17,912
  Trophy Points: 280
  Wakati rais JK akitembea kifua mbele kwa kuishindilia Dar es Salaam miradi mbalimbali, huku kwetu hali ni mbaya. Tumekuwa kama watu wa nchi ya jirani na nchi ya DSM, kusikilizia kwenye maredio rais akizindua miradi ya kuineemesha DSM kama Reli ya Mwakyembe, Fly Overs, Kigamboni na Daraja lake, wakati sisi wa vijijini rais huyohuyo ameshindwa kutuletea maji hata yale machafu. Je huyu ni rais wa DSM tu, sisi watu pori rais wetu nani?, chura wa kihansi wamekuwa na dhamani kubwa na muhimu kuliko sisi.

  Tujadiliane wakuu
  Wenu OKW BOBAN SUNZU
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu ulikuwa hujui kwanini Ikulu haiamii Dodoma Tanzania hii ni dar es salaam tuu, Miladi mikubwa kama mitano tena ya mikopo na nchi nzima tutalipa inafanyika dar tuu!
  Mi ndo maana namkumbuka sana MKAPA
   
 3. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,809
  Likes Received: 17,912
  Trophy Points: 280

  Mkuu kuna kila haja mikopo ya nchi hii walipe watu wa DSM, sisi ''tunanufaika'' na uvunjwaji wa makazi yetu pale mkoloni anapojitwalia ardhi yetu
   
 4. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Dar es salaam ndo tanzania nasikia, sisi wa shamba ni wa chechnya,,,
  Hiyo ya serikali kuhamia dodoma sizan kama itatokea maana kila kitu kinafanywa dar tu na hii inasababisha kodi za nyumba dar kupanda kila siku,, viwanja bei juu na mengineyo mengi...

  Wa tandahimba mbona tutakoma, hadi maendeleo yaje kufika kwetu dar imeshakuwa kama new york
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hiyo sio ukweli tatizo ni usimamiaji na ufuatiliaji...huko mikoani pesa zinapelekwa kila mwaka za miradi na maendeleo zinaishia kwenye halmshauri zetu wanazichakachua...na pia isitoshe wanajua watu wa vijijini hawana elimu mwisho wa siku wataipigia kura ccm tu kama ambavyo mnafanyaga miaka nenda rudi. Mkitaka wawe wanawasikiliza watu wa vijijini ni wakati ule wa uchaguzi ndio sauti zenu zitasikika..wapigeni chini mkifanya hivyo wataanza kuwakumbuka zaidi
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mkuu kwanini unasema si kweli hebu niambie ni miradi ipi inafanyika mikoani inayowalau fanana na kiasi cha pesa kinachitumika kwa miradi ya dar! Daraja la kigamboni, Mabasi yaendayo kasi, Upanuzi wa airport nk
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ilitakiwa iwe hivyo mkuu hata hivyo bado watakuambia dar inachangia 80% ya kodi serikalini!
   
 8. Root

  Root JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,310
  Likes Received: 13,019
  Trophy Points: 280
  Hahah dar es salaam wengi hutamani waendelee kubaki dsm sema bei za nyumba zinawakimbiza wengi karibuni aisee NHC wanajenga nyumba pale

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 9. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Usilalamike sana mkuu.. hela yenyewe ya wafadhili na mikopo hii... huenda watoa hela ndio wanatoa hayo maelekezo

  Tumieni sanduku la kura vizuri hapo 2015... Shida zetu zitapungua tu baada ya kuitokomeza CCM!
   
 10. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,475
  Trophy Points: 280
  Bora Mkapa, kanda ya ziwa aliwapa mradi wa maji zi viktoria na barabara,kusini aliwapa daraja la mkapa,dar uwanja wa taifa,mbeya uwanja wa ndege songwe. Endeleeni......
   
Loading...