Nataka kugombea ubunge. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kugombea ubunge.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kiboko bin mkwaju, Sep 28, 2012.

 1. kiboko bin mkwaju

  kiboko bin mkwaju Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nindoto yangu kugombea ubunge maishani mwangu.
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ningekushauri uendelee kubaki shuleni ujifunze kiswahili kwanza maana hakuna neno kama 'kugombeya'
   
 3. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  unasoma chuo gan?na mwalimu gani wewe hujui hata kuandika kiswahili sahihi,jifunze kwanza kusoma na kuandika ndiyo utangaze nia.
   
 4. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ji update na mambo mengi ya siasa both ya kitaifa na kimataifa,chukua uanachama chama unachokiona kinafafana na wewe,jipendekeze kwa wakubwa kwa kujituma,jitahidi uwe na nguvu ya hoja,usiwe na hofu ya kuzungumza mbele ya hadhira MAMBO NI MENGI MNO TATIZO UMEULIZA SWALI LIPO TOO GENERAL PIA TAMBUA HILO SWALA SIO LA MUDA MFUPI NDUGU NA HALINA GURANTEE
   
 5. m

  mamajack JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  anza na uenyekiti wa mtaa kwanza.
   
 6. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Nakushauri kwanza uangalie kwa makini makaratasi yako ya uraia Kama yamekaa vizuri.
  Pili nakushauri uchukue madarasa ya Kiswahili.
  Tatu ujifunze jinsi ya kuandika habari au taarifa...kwa hili unaweza kuanzia na kuandika IMLA.
  Ukikamilisha hayo unaweza kuanza na kugombea Ujumbe wa nyumba kumi kumi,halafu ukaendeleza harakati kuanzia hapo.
  Kila la kheri mkuu.
   
 7. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  kagombee cwt, afterall hapa sio nec, hebu kashike chaki huko muone kwanza nyie ndio wale mmeenda kusomea ualimu kwa sababu mmekosa sifa koz nyingne eboo.!
   
 8. Ayoub Idd

  Ayoub Idd Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  UMEANDIKA JAMBO ZURI ILA ULIVYOLITOA LITALETA UTATA SANA. Umesema we ni mwalimu ila hujataja jimbo, unagombea kwa Dr. S Kawambwa nini? Ubunge lazima upitie chama cha siasa, hujatuambia chama gani? Umegusia kiasi cha pesa, UBUNGE HAUNUNULIWA unatakiwa kukubalika tu kwa wapiga kura. Suala la elimu, ubunge hausomewi ndugu yangu. Usiishi kwa ndoto. Dhamira ndio ikuongoze kugombea. Uwe na malengo na mikakati ya kufikia malengo hayo. Ujue mila na desturi za jimbo unalogombea. Nahisi nimekurizisha.
   
 9. MANI

  MANI Platinum Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,411
  Likes Received: 1,867
  Trophy Points: 280
  Uko sahihi kabisa !
   
 10. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Unaweza kuwatetea wanyonge hata bila kuwa mbunge!
   
 11. Ze Heby

  Ze Heby JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 3,674
  Likes Received: 1,892
  Trophy Points: 280
  Kwani huwezi kuwa mtetezi na mkombozi wa wanyonge bila kuwa mbunge?
   
 12. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama kweli unauchungu na nchii na kwamba unataka kulete mageuzi yenye tija na maendeleo katika nyanja za kiuchumi, siasa na jamii kwa ujumla nakushauri ukimaliza chuo nenda ukafundishe watoto wa Watanzania kokote utakapopangiwa.Maana utakuwa unawakomboa kifikira, ila kama umeona taaluma yako hailipi na unatamaa ya madaraka na miposho basi ingia kwenye siasa maana siasa inalipa.
   
 13. L

  Lindongo Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kamuulize SILINDE atakupa uzoefu wa hilo. maana yeye ajira yake ya kwanza baada ya kumaliza chuo ni ubunge.
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Tafuta kama milioni 300 za kuanzia kwa kuwaonga wapiga kura na wajumbe wa chama chako watakao kupitisha jina lako.
   
 15. M

  Mndokanyi JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Veve taka kuwa kuba?!,wewe iko oga maji pilipili mingi banaaa,halafu iko ona Patel nasaidia wewe,hapana shida,eeeeehhhhhhhhhh,sisi India kupa wewe Bombay!!!!!!!!!!!.
   
 16. H

  Hebron Caleb JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwalimu pole, kiswahili hujui na unamaliza digrii ya ualimu?? Basi huwezi kuanzia ubunge kwanza anza kupata uhodari wa kusimama mbele ya wanafunzi ukishapata tutakuelekeza cha kufanya. Pole sana!!! Pia usisahau kuchukua kadi ya chama unachoona kinakufaa kwa mtazamo wako mwenyewe na je huko unakotoka kina nguvu kama hakina tafuta namna ya kukiimarisha saidia kwa kufungua matawi na kusaidia vijana nk. Huhitaji pesa kwa sababu pesa hazina maono bali pesa hufuata maono.
   
 17. D

  Diga Diga Senior Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umemshauri vyema. Cha kuongezea, si tu acheki makaratasi yake ya uraia bali pia vyeti vyake na aina ya Chuo anachosomea vina walakini kwa mtu anayesomea Ualimu kwa miaka 3 (hopefully ni shahada ya ualimu) kuwa na matatizo lukuki ya uandishi tena wa lugha ya Kiswahili. Huyu si boya kweli ambaye ameogopa kujitosa kupambana na mazingira ya uanataaluma akadhani kwenye siasa vilaza kama yeye ndio wanatakiwa? Too sad to a higher learning institution student to have such a disturbing grammar & poor writing skills of his/her own national language!
   
 18. I

  Iramba Junior Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu huyu anahitaji ushauri mimi nadhani ni vizuri mkampa huo ushauri na pia inawezekana kabisa spelling mistakes zake zikawa zinachangiwa pia na ugeni wa keyboard!
  Msameheni nakubali kwa 100% ya kwamba kuna mambo mengi sana ya kumuuliza kwenye hiyo mesage yake!

   
 19. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,127
  Likes Received: 7,375
  Trophy Points: 280
  Gombea kupitia Kigoma kwa Zitto Kabwe, ashasema yeye na Ubunge sasa basi, bali U-prezidaa!!
   
 20. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,488
  Likes Received: 2,146
  Trophy Points: 280
  Good idea. Jipange, ubunge hausomewi hata kama uko kama Lusinde, uongozi hausomewi bali ni kipaji kama Nyerere, maamuzi hayajadiliwi hata kama utakuwa kama Jk. Unavyoishi ndivyo utakavyokuwa kama Obama. Be strong in +ve minds. Go ahead.

  Hakuna patent ya ubunge wala urais. Zote ndoto tu.
   
Loading...