Marcus: Malawi wakishinda umiliki wa ziwa nyasa, Tukuyu, Kyela na Ileje kuwa upande wa Malawi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marcus: Malawi wakishinda umiliki wa ziwa nyasa, Tukuyu, Kyela na Ileje kuwa upande wa Malawi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by elimsu, Oct 5, 2012.

 1. e

  elimsu Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanyasa wanapatikana pande zote mbili yaani Malawi kwa upande mmoja na Tanzania kwa upande wa wapili. Marcus kutoka asasi za kiraia akizungumza ndani ya kipindi cha tuongee asububi star Tv amesema hayo. Enzi za utawal wa Hayati Kamuzu Banda aliwahi kudai mkoa wa mbeya ni wake kabla ya kunyamazishwa na hayati Mw. Julius K. Nyerere. Imekaaje hii wadau?

  Source: Tuongee asubuhi star tv
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Chini ya hii serikali dhaifu kuna uwezekano mkubwa wa kushindwa kesi na malawi waki demand kuichukua mikoa ya mbeya na njombe wanaweza kuipata kwakuwa kwa sasa hatuna raisi strong kiasi cha kuweza kuresist matakwa ya malawi.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,903
  Trophy Points: 280
  dhaifu atalainika kwa mama?
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,297
  Likes Received: 13,007
  Trophy Points: 280
  Kwa huyu cheka cheka wetu sijui

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 5. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hebu tuache kuongea kama wamalawi. Sisi ni waTanganyika na Nyasa linatuhusu pasu kwa pasu kama ilivyo kwa Mozambique
   
 6. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  umenifurahisha japo jambo lenyewe ni la kuhuzunisha.
  unajua mtu akitaka kwenda kuiba sio kuwa anajiijia tu na kuingia ndani bali hufanya timing. Anaweza kutegea siku hiyo baba hayupo nyumbani au akiwa anaumwa then anatokea. Naona hawa jamaa wa Malawi wametulia timing pia na tulivyokuwa na matatizo ya wanasheria, ni bora hili suala tumkabidhi Mwenyezi Mungu kama JK alivyoseama kuwa maji ni zawadi ya Mungu
   
 7. 50thebe

  50thebe JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,886
  Likes Received: 267
  Trophy Points: 180
  Uongozi wa JK sio kabisa aisee...alitabiri Mwl Nyerere kuwa CCM itazaa serikali legelege na yametimia!
  Watanzania mbona tunalo aisee
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Jamaa kasema ukweli, kuna uwezekano mkubwa sana kuwa hiyo sehemu kuwa ya malawi ukirudi kwenye historia ya zamani
   
 9. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,357
  Likes Received: 2,986
  Trophy Points: 280
  Mama hataweza kuchukua chochote.
   
 10. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,369
  Likes Received: 10,459
  Trophy Points: 280
  Malawi inahitaji kukombolewa.
   
 11. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Na hasa ukizingatia kuwa mikoa hiyo miwili imekuwa mikorofi kwa ccm, ni rahisi tu kupewa malawi. Tuombe mungu!!
   
 12. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Duh ina maana tunakaribia kuwapoteza akina Sugu, Mwakyembez mhhhhhh Malawi acheni hizo bana hata kama Baba mwenye nyumba ni softito msisahau wanaukoo wengine tuko gado
   
 13. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  hatuishi zamani. Tunaishi leo, hujaambiwa kuwa hapo zamani binadamu alikuwa nyani!! Sasa hao nyani watuzidi akili!!!!!
   
 14. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Jambo la uhakika hapa ni kuwa mahakama ya kimataifa haiwezi kutoa hukumu ya kuwapa ziwa Malawi. Maji ni kitu nyeti sana, hivyo kitakachoamuliwa ni nchi hizi mbili kuendelea kukaa katika meza ya majadiliano hadi muafaka ufikiwe!

  Lakini kitu kingine ni kuwa Malawi wanataka ziwa lote na siyo ardhi, hivyo Tukuyu, Kyela na Ileje zitaendelea kuwa chini ya Tanzania!
   
 15. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Nafikiri tusipanic wakuu.
  Mi nimetokra kipande hiyo as I write.
  Makamanda wamemiliki uwanja.
  Na ikitokea ehaaaa! Namimi nita polish Force Number yangu.
   
 16. L

  Lwesye JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 5,297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Waturudishe tu twende zetu Malawi sie mara watumwakyembe,Watu stevenkibona,watumwandosya,watuulimboka,watumwangosi turudisheni tumechoka munavyotutesa hamtaki kabisa tudai haki zetu nadhani ndio sababu munatufanyia hivi mukijua sisi wanyasa
   
 17. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hivi tunaweza kujadiliana kweli. Kama mikataba kuhusu Rasirimali tunazozimiliki kihalali zisizo na migogoro ya umiliki inatushinda, itakuwa hapa kwenye mivutano ya kimaslahi na Malawi??
   
 18. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Tutawapa lile jimbo la Mr 2 ili Sugu aende akapige kampeni Malawi :eyebrows:
   
 19. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,859
  Trophy Points: 280
  Na Manda yote itapotea pia........sita mmisi John Komba asilani
   
 20. e

  elimsu Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeona mbali kaka
   
Loading...