Ipi kauli ya Lowassa kuhusu waliowekewa mabilioni huko Uswisi - inawezekana naye mmoja wao?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Hatujamsikia bado mwanasiasa huyu aki-comment kuhusu vigogo wa Tz waliowekewa mapesa ya kifisadi katika mabenki ya Uswisi. kama anautaka uraisi, basi ni vyema akaanza kuzungumzia masuala kama hayo, ama sivyo itakuwa vigumu kumuelewa msimamo wake kuhusu ufisadi hasa atakapotinga Ikulu.
 
Nakuhurumia ndugu yangu. Uzi huu unaonekana kuwa ni anti-Lowassa hautadumu humu muda mrefu. Nakuhakikishia.
 
Hatujamsikia bado mwanasiasa huyu aki-comment kuhusu vigogo wa Tz waliowekewa mapesa ya kifisadi katika mabenki ya Uswisi. kama anautaka uraisi, basi ni vyema akaanza kuzungumzia masuala kama hayo, ama sivyo itakuwa vigumu kumuelewa msimamo wake kuhusu ufisadi hasa atakapotinga Ikulu.

Kwani ni lazima Lowasa atusemee?
Ni lini mtajitambua kuwa nyinyi ndiyo serikali, yaani mpaka aseme lowasa ndiyo jambo liwe limesemwa!!!! Haishangazi kusikia mnagombana kuchagua rais, hamgombanii kuchaguliwa "Rais" kama sheria inavyoelekeza. Usitushawishi kwa ujinga tafadhali NDEVU SI MZIGO.
 
Last edited by a moderator:
Waswahili bwana mmezoea makelele na mnapenda majitu yanayoropokaropoka,Lowassa ana akili kuliko wewe!
 
Taabu ya humu jamvini, ukimtaja tu bwana aliyejiuzuru Lowassa, watu mimacho inawatoka, wanaacha kujadili mada na wanaishia kukuponda kama si kukutukana! Haya bana mi mtazamaji tu!
 
Lowasa urais atapata wapi???? labda aende nchi jirani lakini tanzania noooooooooooooooooooooooo.Mbona jimbo la arumeru lilimshinda??????
 
Hajaulizwa na waandishi au hana uhakika kama lina ukweli wowote ule

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ni jambo la msingi sana kama atajibu ili tujue kama kweli atapambana na ufisadi au he'll make another saga as richmond
 
Nikweli anaakili sana kaifilisi nchi na bado yupo uraiani tu natena anataka na URAISI

Lini ulikutana naye akakueleza kuwa anautaka Urais?Acha umbeya,na uache uvivu...fanya kazi kwa bidii na wewe utatajirika,ukiedekeza majungu na husuda utaishia kuamini kuwa shida zako zimesababishwa na Lowassa na hakika utakufa maskini!
 
namshangaa lowasa anaongelea kupinga kauli mbiu ya kilimo kwanza wakati hata yeye ni mshiriki wa kuutangaza huu upuuzi wa kauli mbiyu hiyo.badala aongelee pesa zinazoibiwa kila kukicha na maisha ya watu yanavyozid kuwa magumu. halafu sikumbuki kama kunasiku lowasa alishawahi kuongelea wezi wa mali za uma tangu issue ya ricmond!!!!huyu mzee ni hatari sana.
 
mnakera jamani, ukisimama Lowasa,ukikaa Lawasa,ukigeuka Lowasa,jukwaa la siasa kila siku mabandiko ya Lowasa..mbona amewashika sana akili huyu mtu.?
 
Lini ulikutana naye akakueleza kuwa anautaka Urais?Acha umbeya,na uache uvivu...fanya kazi kwa bidii na wewe utatajirika,ukiedekeza majungu na husuda utaishia kuamini kuwa shida zako zimesababishwa na Lowassa na hakika utakufa maskini!

Haya kaka kapokee chako umeshaingiza siku
 
mnakera jamani, ukisimama Lowasa,ukikaa Lawasa,ukigeuka Lowasa,jukwaa la siasa kila siku mabandiko ya Lowasa..mbona amewashika sana akili huyu mtu.?
Kwa sababu kawaacha wa Tanzania masikini
 
kwan ulitaka EL aseme nn? Mbona mr dhaifu hajasema chochote na wala hushangai wala kuquestion
 
Hatujamsikia bado mwanasiasa huyu aki-comment kuhusu vigogo wa Tz waliowekewa mapesa ya kifisadi katika mabenki ya Uswisi. kama anautaka uraisi, basi ni vyema akaanza kuzungumzia masuala kama hayo, ama sivyo itakuwa vigumu kumuelewa msimamo wake kuhusu ufisadi hasa atakapotinga Ikulu.

Mkuu unauliza chooni kuna nuka nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom