Kesho cdm kufungua kampeni mtibwa-morogoro

Shembago

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
332
50
Itakumbukwa tarehe 01/01/2012 tuliompoteza Diwani wa kata ya Mtibwa kupitia CDM wilaya ya Mvomero Tuso Mwakyoma kutokana na kupigwa kisu na mpenzi wake! Sasa kesho kampeni ndio zinaanza rasmi hapo Mtibwa,makamanda wa Moro Mjini tumejiandaa inshallah kwnda kupiga tafu kampeni hiyo,Kata hiyo ipo vizuri Ushindi kwa CDM ni HAKIKA tuombe uzima.

Peopleeeeeees! Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!

Tunajivunia Nguvu ya Umma
 
Hakuna Kiongozi wa kitaifa atakayekuja,ila wapo Viongozi wa Morogoro watakoenda kufungua,Viongozi wakitaifa watakuja baada ya wiki mbili kwa taarifa tulizonazo hapa Morogoro Mjini.

Kazi moja tu,kuchukua Mtibwa tena!!!!
 
Pamoja Kamanda.
 
Sawa mkuu tunawatakieni kampeni njema
 
Mbozi Kata ya Moyavizi, ccm maji ya shingo! wanajuta kuweka mgombea wao katika kinyang'anyilo cha udiwani maana wanyiha wanasema hawataki kuwaona magamba ndani ya ramani ya Jimbo la Mbozi Mashariki. Hata Mbunge aliyewekwa na Nec anaishi maisha ya ukimbizi Dare es alaama.
 
Mtibwa hata magamba wafanye nini ni cdm tu. Mbunge mtarajiwa Matokeo Owden (Mao) alifanya kazi kubwa sana huko japo alichakachuliwa na Sadiq Murad na baadaye Amos Makala.

Tunasubiri ushindi.
 
Mbozi Kata ya Moyavizi, ccm maji ya shingo! wanajuta kuweka mgombea wao katika kinyang'anyilo cha udiwani maana wanyiha wanasema hawataki kuwaona magamba ndani ya ramani ya Jimbo la Mbozi Mashariki. Hata Mbunge aliyewekwa na Nec anaishi maisha ya ukimbizi Dare es alaama.

cdm kamata mwizi meeen
 
embu tujuze kiongozi gani atazinduwa
Msiwe na wasi makamanda ndani ya chama pendwa na mkombozi wa wanyonge hata mjumbe wa nyumba kumi wa chadema na nguvu kuliko hata kina nape 100 ndani ya magamba!!!Kila la kheri makamanda wetu huko Moro,Tunaanza na Mungu na tutamaliza na Mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom