Tufanyeje kurejesha hadhi ya rais wa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tufanyeje kurejesha hadhi ya rais wa Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Father of All, Oct 5, 2012.

 1. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Wakati wa utawala mwalimu Julius Nyerere urais ulikuwa cheo cha kutisha na kuheshimika. Kila alipokwenda hasa kwenye mataifa makubwa kama Marekani, Urusi, Uingereza na Uchina alipokelewa na wakuu wa mataifa haya huku akipigiwa mizinga 21 ya heshima. Tangu alipoachia madaraka urais wa Tanzania uligeuka kuwa kama ukuwadi wa kawaida. Siku hizi rais wetu akitembelea nchi kubwa hupokelewa uani tofauti na wakati ule wa Nyerere. Ikulu yetu imegeuka kijiwe cha wafanya biashara wezi. Rais akisafiri nje ya nchi anaficha majina ya wajumbe anaoandamana nao. Je tufanyeje kurejesha hadhi ya rais wa Tanzania?
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  Dawa ni 2015 tu...hamna kingine...maana mkweree ni kichwa isiyosikia.
   
 3. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  no way hapa ni kumchagua Dr wa kiukweli, mh W.SLAA.
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,530
  Likes Received: 10,442
  Trophy Points: 280
  mkuu umeongea jambo la msingi sana,Ule ujeuri wote wa Tanzania kama nchi kiongozi Africa umepotea.!
   
 5. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,530
  Likes Received: 10,442
  Trophy Points: 280
  mkuu umeongea jambo la msingi sana,Ule ujeuri wote wa Tanzania kama nchi kiongozi Africa umepotea.Jk umetufanya tuonekane kama Taifa maskini na ombaomba.!
   
 6. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  2015 NO CCM, No Lipumba.
   
 7. s

  siyabonga Senior Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumekuwa Taifa la vilaza, tunadharaulika kwa maamuzi ya ovyo, viongozi wasio na vision, kushindwa kufanya maamuzi, malimbukeni wa safari za Ulaya na Marekani, kununuliwa kiurahisi kwa bei ya chai na maharage, kuingizwa kijinga kwa viongozi wakuu katika mabodi ya makampuni ya kigeni na upuuzi mwingi.
  hakika ni aibu sana!
   
 8. kizaizai

  kizaizai JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 2,738
  Likes Received: 1,298
  Trophy Points: 280
  Kwa hali iliyofikia Tanzania kwasasa siamini mabadiliko kupitia sanduku la Kura. Sikuzote naomba yaliyotokea Libya na Misri yatokea TZ ilituvunje the whole inner-cycle.
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Jibu ni rahisi sana..tuchague rais mwenye akili na adabu
   
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  leo hii mpaka cuf inatawala zanzibar ndo ujue hakuna mwelekeo kabisa
   
 11. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mchagueni Zitto Kabwe kuwa mgombea urais.
   
 12. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,866
  Trophy Points: 280
  Hatuzungumzii Urais wa TFF bali wa taifa la Tanzania
   
 13. n

  nyako Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona mleta mada ameonesha wazi kuwa ni Nyerere tu ndiye aliyekuwa Rais msafi, na mbona mashambulizi ni kwa JK pekee? hata akiondoka JK bado lugha zitakuwa hizi hizi kwa atakayekuwepo wakati huo, huu wimbo wa kawaida wa majungu.
   
 14. n

  nyako Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni sumu mnazolishwa na SLAA, ukimtaja mtu mwingine lazima mnang'aka tu, huyu lazima iko siku mtampiga 2 mawe huku mkisema tungejua.
   
 15. n

  nyako Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaaaaaaaaaaa, Huyo ndo nani sasa? kazi tunayo. Tuliokuwa tukiwafikiria angalau sifa zote hizo hakuna, hata kanisa limewashinda kuongoza, ndoa za watu ndo hivyo zinavunjia kwa ajili yao, nidhamu jukwaani sifuri mtu wa kuropoka tu. ZITTO anaweza kufurukuta kidogo, dogo anayo IQ ya kutosha na hata nidhamu siyo mbaya.
   
 16. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  ushambiwa huyo unaemfikiria anahadhi ya raisi wa tff au daruso sio taifa la tanzania, sasa unabisha nini?
   
 17. Mwamba Usemao Kweli

  Mwamba Usemao Kweli JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 745
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Katika moja thread hapa janvini imesomeka kama ifuatavyo "JK ameufanaya uraisi wa TZ kuonekana rahisi kila mtu sasa anautaka". Wote wanaofanya mbinu na kujitangaza kwamba watagombea 2015 hawana sifa wala uwezo huo kama walivyo watangulizi waliofuata baada ya Mwalimu. Nawasihi sana watanzania ni wakati wa sasa kufahamu adui yetu mkubwa katika nchi hii ni chama cha magamba na si kitu kingine. Hebu tuondokane na chama hiki 2015 jamani kwa maslahi ya watanzania walio wengi. wanaojitangaza sasa kuutaka uraisi na wenye makundi huko chama magamba wote ni njaa tu ili washibishe matumbo yao na tuwakatae wakati ukifika.:embarassed2:
   
 18. n

  nyako Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mara mia Jeshi kuliko hawa wanasiasa wa kibongo, hivi kama Kiongozi anayedhaniwa kuwa anaweza kuongoza nchi anaweza kushindwa kutumia busara na kuanza kulumbana na vyombo vya dola, wapi atalipeleka taifa? Mwandishi anafariki katika mikutano yake anatumia msiba kama mtaji wa kisiasa, Mwanasiasa anayehubiri kifo cha mpinzani wake, ehe mwenzake akishakufa? what next.
   
 19. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Bado tuna kazi kubwa ya kurudisha misingi ambayo Nyerere aliweka,Tanzania ya leo tumekuwa ombaomba kitu ambacho mwalimu alikuwa anakikataa na alikipiga vita siku zote.
  Tanzania heshima yake imeshuka sana kiasi kwamba hata tukiwa kwenye mataifa makubwa wanatuona hatuna maana.
   
 20. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo hapa alipopokelewa Canada unaweza kusema ni uani siyo eh? Halafu Rais akienda kwenye mkutano wa UN lazima apigiewe mizinga White House?

  [​IMG]

  [​IMG]

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika viwanja vya jumba la Rideau Hall jijini Ottawa, Canada, katika hatua yake ya kwanza ya kuanza ziara rasmi ya siku mbili jijini humo Oktoba 4, 2012. Jumba hilo ndilo makazi na ofisi rasmi ya Gavana Jenerali wa Canada tangia mwaka 1867 ambapo pamoja na kuishi humo pia hapo ndipo hutumika kwa kuwatunukia wananchi wa Canada waliofanya vyema, pa kupokelea wageni mashuhuri wa nchi za nje na pia ndipo anapofanyia shughuli zote za kitaifa akiwa kama mwakilishi wa Malkia wa Uingereza.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
Loading...