CHADEMA kuunguruma maeneo ya kata ya Isevya Tabora

kapya

Senior Member
Oct 5, 2012
153
54
chadema tabora kesho tutaendelea na operation sangara zindua tabora iliyoanza mwezi wa nne mwaka huu wa 2012,makamanda wote tuombeeni na harakati ili 2pate taifa lililo la kweli.na kesho tupo kata ya isevya hapa tabora mjini.
 
ni uongozi wa wilaya(BAVICHA Tabora)pamoja na makamanda wa chuo kikuu cha saut Tabora.
peplllllllllles power.................
 
Mkuu kwa CHADEMA huhitaji kuuliza anahutubia nani, CDM kila mtu ni kamanda hata mwenyekiti wa Kitongoji anaweza fanya M4C
 
chadema tabora kesho tutaendelea na operation sangara zindua tabora iliyoanza mwezi wa nne mwaka huu wa 2012,makamanda wote tuombeeni na harakati ili 2pate taifa lililo la kweli.na kesho tupo kata ya isevya hapa tabora mjini.

nimefurahi, kwani hapo ndio nyumbani kabisa...
Wapeni elimu Wana Tabora, wamekata tamaa sana...
 
Historia inataka kujirudia siyo!mnakumbuka mareale alivyoendaUN,kudai uhuru wa watu wa kilimanjaro.Watu wa kaskazini nyie ni wabinafsi,ndiyo maana cdm kuna wachaga wengi
 
Chadema hakuna kamanda,wote ni njaa tu,ndiyo maana zitto anawafanya msilale.Nyie ni mburula tu,na hamtaingia ikulu kamwe,labda mjenge ikulu yenu moshi
 
hakuna mnyakyusa mwenye kujipendekeza na kuongea uharo km wewe,
 
pamoja sana makamanda na ninawatakia kila kheri kwani unapozungumzia tabora unazungumzia nyumbani kabisaaaaaa, basi ninawaomba makamanda wote wa ipuli, cheyo, mwinyi, kiloleni, etc mfike wote kwa pamoja kutema sumu za mabadiliko ili 2015 tuje kumuondoa yule alshababy wa simba Rage.

PE0PLES..........................POWER................
 
nimefurahi, kwani hapo ndio nyumbani kabisa...
Wapeni elimu Wana Tabora, wamekata tamaa sana...

Hawa jamaa wa Tabora ni wagumu! Lakini makamanda hawatakata tamaa maana ukombozi wa Tanzania ni lazima kila mtanzania aushiriki.
 
Chadema hakuna kamanda,wote ni njaa tu,ndiyo maana zitto anawafanya msilale.Nyie ni mburula tu,na hamtaingia ikulu kamwe,labda mjenge ikulu yenu moshi
EE bwana tafadhali usishushe hadhi ya jamvi bwana, hili jamvi ni kitovu cha elimu ,la watu waelewa na wanaofikiri sawasawa, usituletee akili ya mbayuwayu chadema haitaingia ikulu,,unataka kutuambia IKULU ni mama yako au ya wananchi ,wa kuamua kuingia ikulu ni wewe au baba yako , acha uchizi wewe umma ukiamua hakuna atakaye zuia
 
chadema tabora kesho tutaendelea na operation sangara zindua tabora iliyoanza mwezi wa nne mwaka huu wa 2012,makamanda wote tuombeeni na harakati ili 2pate taifa lililo la kweli.na kesho tupo kata ya isevya hapa tabora mjini.
Keep it up wanangu kwani Tabora nayo ni moja ya sehemu inayotuangusha. Tunasubiri matokeo ya operation hiyo.
 
Historia inataka kujirudia siyo!mnakumbuka mareale alivyoendaUN,kudai uhuru wa watu wa kilimanjaro.Watu wa kaskazini nyie ni wabinafsi,ndiyo maana cdm kuna wachaga wengi

hii imekujaje.....mbona haina uhusiano na mada iliyopo.....?
 
Back
Top Bottom