Tanzania ni moja kwenye Raha hidhi, hii ndio faida ya Muungano walichopoteza wenzetu ni Jina tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ni moja kwenye Raha hidhi, hii ndio faida ya Muungano walichopoteza wenzetu ni Jina tu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Oct 5, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]


  Ujerumani Yaipa Tanzania Shilingi bilioni 352 Kusaidia kuboresha utawala bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya , nishati , maliasili, maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha programu ya usimamizi wa fedha za umma.


  [​IMG]
  Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa(kushoto) na Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter Brandes (kulia) wakibadilishana hati za makubaliano ya mkataba wa msaada wa miaka mitatu jana mjini Dar es salaam ambapo Ujerumani itaipatia Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 352 . Msaada huo utasaidia kuboresha utawala bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya , nishati , maliasili, maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha programu ya usimamizi wa fedha za umma.
  [​IMG]
  Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa(kushoto) na Balozi wa Ujerumani nchini Kluas Peter Brandes (kulia) wakisaini mkataba wa msaada wa miaka mitatu jana mjini Dar es salaam ambapo Ujerumani itaipatia Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 352 . Msaada huo utasaidia kuboresha utawala bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya , nishati , maliasili, maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha programu ya usimamizi wa fedha za umma.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar esalaam
   
 2. b

  bagwell Senior Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Stupid
   
Loading...