Nyumba zabomolewa Wilaya ya Kinondoni; zaidi ya familia 2,500 hazina makazi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba zabomolewa Wilaya ya Kinondoni; zaidi ya familia 2,500 hazina makazi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanaweja, Oct 5, 2012.

 1. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kwa taarifa nimezisikia sasa hivi kutoka ITV nyumba zaidi ya 116 zimebomolewa tunaomba walio karibu watu taarifa kamili maana nasikia wananchi walio kuwa wanazuia wamekamatwa na polisi lakini cha kushangaza afisa mtendaji anataarifa ila diwani hana taarifa
   
 2. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  huu ni unyama wa hali ya juu sana na inasikitisha sana maana hawajapewa taarifa mali zao zimepotea wamekuwa maskini kwa muda mfupi na pengine wengine wako kazini
   
 3. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  inatia huruma sana nchi hii tunaelekea wapi jamani? utu mbona umeisha tanzania yangu nchi yangu Mungu tunusuru na hili janga
   
 4. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  In the name of (National?) Development!
   
 5. M

  Miimo Senior Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama watu hawakupewa taarifa, kama watu wanakiuka sheria na taratibu zilizopo za mpango wa aridhi walitengemea nini?

  Haijalishi serikali imekaa muda gani bila kufutilia hayo maeneo hadi maendeleo na makazi ya watu yakajengeka kiasi hicho, endepo utaratibu umekiukwa lazima sheria ichukue mkondo wake na sio watu kuona huruma sasa wakati walitambua hilo kabla lingewatokea siku za usoni.

  Juzi tu nimeona katika maeneo mapya yaliyopimwa Temeke, semehu ya wazi na reserve za barabara watu wamejenga na kufungua bar za pombe na wengine kujimilikisha kama mashamba yao eti wanasikilizia kama sereikali itafuatilia.

  Mie nachojua hata ikipita miaka 30, ipo siku sheria itachukua tu mkondo wake na hapo watu watakua wameshaimarisha vitega uchumi vyao, muhimu ni kila mmoja wetu kufuata taratibu zilizowekwa kuepusha usumbufu na hasara.
   
 6. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Fikiria kama yangekupata wewe!!!! Inatia uchungu, Tunawajengea watu kupata BP na stomach ulcers.
   
 7. Bouncer

  Bouncer JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Hamna kitu kama hicho! Zoezi la kuondoa wavamizi wa ardhi Kinondoni katika ngwe ya pili litaendelea soon lakini halijafanyika bado. Hili ni zoezi zuri tu la kuondoa majambazi ya ardhi maeneo ya madale, mabwepande, mbopo etc.

  Nnavyojua mimi serikali imetoa amri kupitia kwa RPC Kenyera ya kukamatwa kwa kiongozi wa hao wavamizi anaitwa Mama Makete (Soma Tz daima la leo uk.3) kwa kosa la mauaji ya wamiliki halali wa maeneo hayo mwaka jana.
   
 8. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hapo kwenye red ni kama alivyosema Dr. Magufuli na Jengo la Tanesco Ubungo.
  Du, umeongea ukweli tupu lakini mchungu kuumeza, kama chloroquine vile ...lakini ni dawa!

   
 9. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280


  Vipi huku kwenye maeneo ya wazi yaliyovamiwa washafika kubomoa?


  1. Kiwanja Na. 1022 Kitalu E Sinza ambacho kuna ofisi ya afisa mtendaji na banda lenye vyumba vitano vya biashara na msingi wa jengo ambalo halijakamilika.
  2. Eneo karibu na viwanja Na. 281, 282, 283 na 287 Sinza B. Eneo hili limejengwa ofisi ya Mtendaji kata Sinza D.
  3. Eneo karibu na viwanja Na. 411, 413,414 na upande mwingine kinapakana na 698 na 609 Sinza Block D, sehemu kubwa ya eneo hili ipo wazi na pia kimechimbwa kisima cha umma na kuna jiwe la msingi lenye shina la wakereketwa wa chama cha mapinduzi (CCM).
  4. Eneo jirani na kiwanja Na. 37 Sinza Block D ambalo kumejengwa msikiti na mmiliki wake hajulikani.
  5. Eneo linalopakana na viwanja Na. 63, 99 Sinza Block D ambalo limejengwa Kanisa la Assemblies of God, Shule ya chekechea, ofisi ya CCM, nk
  6. Eneo lililopo mkabala na kiwanja Na. 475 Sinza B ambapo kumejengwa shina la wakereketwa wa CCM.
  7. Eneo karibu na kiwanja Na. 23 Sinza C. Eneo hili hutumika limejengwa ofisi ya Afisa Mtendaji wa mtaa halmashauri.
  8. Eneo la wazi lililozungukwa na viwanja Na. 21, 23, 25, 27, 29 Sinza B. Eneo hili kuna shina la wakereketwa wa CCM
  9. Eneo la wazi lililozungukwa na viwanja Na.72-74. Eneo limewekwa shina la wakereketwa wa CCM Kawawa.
  10. Eneo la kiwanja cha michezo na Shule ya Msingi Sinza E. Kiwanja kimemilikishwa kwa CCM.
  11. Jirani na viwanja Na. 38, 40, 44, 46 na 48 Mtaa wa Kibesa Makurumla. Eneo hili limejengwa ofisi ya Afisa Mtendaji Kata ya Makurumla.
  12. Eneo la wazi lililopo Mtaa wa Kagera Makurumla limevamiwa na kuna ofisi ya CCM Tawi la Karume Kata ya Makurumla.
  13. Nyuma ya jengo la RUBADA na Kanisa la KKKT na Anglikana. Eneo hilo limejengwa shule ya msingi Ubungo Plaza kwa mpango wa MMEM.
   
 10. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Huko kote tutafika , tunaanza one at a time.

  Tunashukuru kwa kukumbusha.

  Nikufahamishe pia kuwa serikali ina uwezo kubadili matumizi ya eneo la wazi kwa kujenga au kuruhusu huduma nyingine za jamii kama vile Mahakama (Sinza B), Shule, Msikiti , Kanisa n.k lakini kuna utaratibu maalum wa kufuata.
   
 11. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
 12. Root

  Root JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,242
  Likes Received: 12,962
  Trophy Points: 280
  Mi naona kama wamevamia kubomolewa ni haki yao kwani wamevamia eneo ambalo ni la wazi au ndani ya road reserve.

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 13. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
 14. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Sentensi zako mbili zinakingana. Hao bomoa bomoa ni akina nani kama siyo serikali?
   
 15. m

  mnyinda JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna wafunja sheria na watunza sheria niliwayi kusema kama nisheria mbona wengine wanahachwa?jengo la tanesco ubungo lipo kihalali?
   
 16. ChescoMatunda

  ChescoMatunda JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,189
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Labda CCM ndo yenye uwezo wa kubadili coz orodha yote yaonyesha ccm wanahusika kwa kiwango kikubwa katika kubadili.


  Sent by chescomatunda using JamiiForums
   
 17. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  je, sasa inaweza kueleweka hata kwa wale wasiojua kuwa CCM ni tatizo hapa Tanzania wakajua hivyo?
  Na kwa sababu hapa inaonekana kuna kanisa na msikiti ni bora wakavunja then hata sisi tukifuatwa huku hatutafeel kuonewa japo swali la msimngi lanabakia kuwa lile lile ...a problem to be solved by the one caused it!
  Tulifurahia maisha ya 'RUKHSA' bila kujua kilichokuwa mbele na sasa ndio yanaanza kutoa matunda yake

   
Loading...