Badala ya kutembeza bakuli Canada JK angekwenda Uswisi kuomba majina ya waliowekewa mabilioni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Badala ya kutembeza bakuli Canada JK angekwenda Uswisi kuomba majina ya waliowekewa mabilioni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Oct 5, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ningekuwa mimi ni JK, ningeachana hiyo kazi ya akina Marehemu Matonya huko marekani na Canada, na badala yake ningekwenda moja kwa moja Uswisi nikapige kambi pale na kuongea na mamlaka ya Benki Kuu ya huko hadi wanipe majina ya vigogo wa serikali yake waliowekewa mabilioni katika akaunti za benki za nchi hiyo.

  Benki Kuu ya Uswisi wangempa tu hayo majina, wasingemkatalia. Angekuja nayo hayo majina na kuanza mara moja kuwashughulikia wahusika, haidhuru kwa namna ile ya wale wa EPA mwaka 2008, warudishe hela au mahakamani.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Akifanya hivyo nitakuwa wa kwanza kurudi CCM na kuchukua kadi. Hiyo orodha ya majina anaiogopa kama gonjwa la ukimwi.
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kusema lile la kweli, angekuwa ameiua CDM kwa urahisi sana.
   
 4. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Je,kama kuna jina la mwanae yule mwenye dar live na kampuni ya mafuta?
  Na je kama akipewa na jina la yule swahiba yake ambaye hawakukutana barabarani?
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Thubutu zake afanye hivyo. Hili suala litatinge Bungeni hivi karibuni kwa hoja ya Zito, ingawa nashangaa uamuzi wake wa kulitolea hoja, badala ya kuwataja tu majina ya vigogo hao kama vile alivyoahidi.

  Lakini hata Bungeni halitafika popote, kwani mama Kiroboto atalizima kwa kisingizio kwamba tayari linashughulikiwa na Takukuru. Huyu mama haguswi kabisa na matatizo ya ufukara ya Watz, yeye ni kutetea mafisadi tu!
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Labda ni kipenzi kikubwa cha CDM - kisirisiri -- ha ha ha!!!
   
 7. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 7,950
  Likes Received: 6,711
  Trophy Points: 280
  Rais wetu ni mtu wa ajabu kidogo, aliwahi kutamka kuwa hajui kwa nini Tanzania ni masikini! Lakini jawabu lilitolewa na benki kuu ya Uswisi mwezi wa 6 mwaka huu, wakati walipoitangazia Dunia kuwa kwenye mabenki ya nchi yao, kuna watanzania 6 ambao wameficha huko pesa zipatazo shilingi bilioni 315, kwa hiyo naunga mkono kwa asilima 100 hilo wazo kuwa hakukuwa na haja ya yeye Rais wetu kwenda US na Canada kwenda kutembeza umatonya, bali kwa mamlaka aliyonayo, angeweza kabisa kuzipiga tanchi pesa hizo na kuwaamrisha wa-TZ hao 6 waturejeshee mabilioni yetu, haraka iwezekanavyo, kushikwa kwake kigugumizi kuchukua hatua hiyo,wa-TZ tunakuwa na ushahidi wa mazingira kuwa na yeye ni miongoni ya hao watanzania 6 walioweka hayo mabilioni huko uswisi!!
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sasa kama na yeye na ndugu zake wana account huko itakuaje
   
 9. t

  thedon JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Oh, the humanity!
   
 10. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 7,950
  Likes Received: 6,711
  Trophy Points: 280
  Sisi wa-TZ tungeweza kuwasamehe hao walioweka hayo mabilioni huko Uswisi, kama angalau hao wanayoyamiliki wangeyarejesha kisirisiri kwa ile staili ya pesa za EPA, lakini safari hii tungeomba kiwepo chombo huru, kitakachohakiki urejeshwaji wa pesa hizo, ili tuepuke kupigwa changa la macho, kama lile tulilopigwa kwenye pesa za EPA!!
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Hivi hujuwi kuwa na yeye ni mmoja wao?
   
 12. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 7,950
  Likes Received: 6,711
  Trophy Points: 280
  Na hicho ndicho kitu kinachompa kigugumizi kikubwa cha kuongelea hayo mabilioni ya Uswisi, kwa kuwa katika uzi uliowekwa humu jamvini siku kadhaa zilizopita, jina lake, la mwanae Ridhiwani na maswahiba wake, mzee wa mamvi, mzee wa vijisenti na Rostam, wamo katika hiyo list ya waliotorosha hayo mabilioni na kuyaweka kwenye mabenki ya huko Uswisi!!!!
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  imagine WAKAT ANAKABIDHIWA HIYO LIST NA YEYE ANAKUWEMO
   
 14. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Itakuwa ajabu ya mwaka kama hayupo kwenye hiyo list. Hivi zile trilioni tatu za rafiki yake Shimbo aliyestaafu jeshi majuzi alizoficha bondeni kwa Zuma zimeishia wapi ama ndiyo yale ya 'FUNIKA KOMBE MWENDAWAZIMU APITE'
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  bado unaamini KATIKA CHOMBO HURU????NCHI HII????
   
 16. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Mi huwa nachanganyikiwa kwa watu waliokuwa naye karibu na hata kumpitisha kuwa mgombea wa urais na hata kumpa nafasi ya kuchukua kipande chapili.
  Huwa sipati picha ya uwezo wake wa akili ukoje. Hivi Kagame anaweza kutwa na hao farasi akaonekana kwenye picha.

  MUNGU WETU NI WA AJABU NAYE AMEMPA URAIS WA NCHI KIMUUJIZA. NCHI HII HAINA KIONGOZI NAONA AIBU
   
 17. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo maana wewe siyo JK. Utaendelea kutoa maoni tu kwenye Jamiiforums.
   
 18. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jinyonge mwanangu, maana the guy is here to stay mpaka 2015 and there is absolutely nothing you can do about it. Ila kabla ya kuchukua hatua yoyote ya kujinyonga hakikisha unaandika ki-suicide note kizuri ili watu wakuelewe maana isije wakazushia mambo bure...
   
 19. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Penye red: Wewe unaijua mipango ya Mungu kwa nchi hii? Three years is a very long period in so far as politics is concerned -- hasa hizi politics za kifisadi.
   
 20. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,136
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  kwani hatukumbuki mhe Pinda alishasema kuna watu ukiwagusa nchi itatetereka???
   
Loading...