Ni Kwa Nini Rais Kikwete Na CCM Wanadharauliwa Na Kuchukiwa na Wananchi ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Kwa Nini Rais Kikwete Na CCM Wanadharauliwa Na Kuchukiwa na Wananchi ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Sep 1, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kila Mtanzania anajiuliza ni kwa nini Rais Kikwete na CCM wanadharauliwa? Hauwezi kumtaja Kikwete bila kuitaja CCM, na pia hauwezi kuitaja CCM bila kumtaja Kikwete kwa sababu, CCM ndiye mamake Kikwete, na Kikwete ndiye nyota ya CCM, kwa hiyo maovu yote yanayofanyika wote wanahusika kwa njia moja au nyingine. Rais Kikwete anadharauliwa kwa sababu zifuatazo.

  1. Ni kiongozi dhaifu asiyeweza kufanya maamuzi ya aina yoyote. 2. Rais Kikwete anakumbatia mafisadi kwani mpaka leo, wezi wa rasilimali zetu kama Rostam, Chenge, Karamagi, Ngeleja, Lowassa hawajakamatwa licha ya ukweli kwamba ushahidi upo. 3. Rais Kikwete anatumia vyombo vya dola kwa maslahi yake binafsi hasa kuwakandamiza wananchi na wapinzani.anatumia polisi wkuwaua raia wasio na hatia. Mfano mzuri ni Dr. Ulimboka. 4. Rais Kikwete ndiye rais wa kwanza kuongwa suti ndani ya Ikulu ili auze nchi yake. 5. Rais Kikwete amegeuza ikulu kuwa sehemu ya kufanyia biashara, kwani hadi leo hajawahi kuitangazia umma wamiliki wa Richmond na Dowans. 6. Rais Kikwete amepanda chuki za kidini katika nchi yetu.

  7. Rais Kikwete amekuwa akitumia rasilimazi zetu akizurura nje ya nchi bila kujali matatizo ya wananchi wake. 8. Ni rais wa kwanza Tanzania kujivunjia heshima kwa kutokuwa na uwezo wa kujadili mada katika anga za kimataifa. 9. Ni rais anayetumia cheo chake kuwanufaisha familia yake, hawara zake , ndugu na marafiki. 10. Ni mtu mwenye kinyongo na visasi vya hali ya juu. 11. Kuwepo kwake madarakani kumeleta matatizo makubwa ambayo taifa letu haijawahi kuyaona. 12. Ni Rais wa kwanza kufanya kazi za u-promoter ["JK Promotions"]akiwa ndani ya ikulu. Mfano ni kumpeleka Diamond Marekani.

  13. Rais Kikwete na CCM wameuza rasilimali zetu, Wanyama pori, Ardhi, madini bila taifa kuambulia chochote. 14 Rais Kikwete ameleta kejeli hasa kutoka kwa majirani zetu akionekana kuwa mtu asiye na upeo wa uongozi. Rais wa Rwanda Paul Kagame aliwahi kusema kwamba, angepewa Rasilimali za Tanzania, Nchi yake ingekuwa ulaya ya Afrika.15 Rais Kikwete anathamini ngozi nyeupe (Wazungu) kuliko Watanzania anaowaongoza. Kwa mfano, Barrick Gold wamefanya unyama wa kutisha kule Tarime, lakini hadi leo ni kama vile hana muda kuwachukulia hatua hao wazungu. Wachina wanaligeuza nchi yetu kuwa dampo lao hakuna wa kuongea wala kunyanyua mdomo. 15. Serikali yake ni serikali isiyo sikivu, serikali inayopenda anasa kupita maelezo. Ni heri wanunue V8 kuliko kuwaokoa wanawake wanaojifungua
  16. Ndiye Rais pekee duniani anayeweza kuzunguka akiomba omba huku akigawa dhaabu na almasi bure. Huyo ndiye JK


  Napenda kufikia tamati kwa kutoa malalamiko yangu kwa MODS wa JamiiForums kwa sababu moja kuu kwamba, wao pia wanaanza kuingilia uhuru wa maoni kama Walivyo CCM. Jana nimeweka Uzi "Ikulu Imechafuka : Ni Hatari Hasa Rais Anapokuwa Promoter Wa Muziki" Ghafla huo uzi ulichakachuliwa na hatimaye kutowekaa. Hii inaonyesha kwamba hatuna tena uhuru wa maoni.Mods, tambueni kwamba, tunapigania mabadiliko. Hatutukani wala kumdhalilisha mtu, hatuna silaa. Silaa zetu ni mawazo yetu na ukweli usiofichika. Mnapoendelea kubania mawazo yetu, mjue kwamba mawazo yetu nayo yatapanuka zaidi hasa katika kutafuta mbadala wa kuyawaka bayana bila kuchakachuliwa

  Hon: Member of Parliament
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Naamini hata moyoni Kikwete anaichukia CCM ndiyo maana anaielekeza kuzimu. Kikwete aweza kuwa hovyo kwa mambo mengi. Ila ni bora katika kuhakikisha CCM inafia mikononi mwake. Iwe ni kwa kusudi au bahati mbaya ukweli ni kwamba CCM itafia mikononi mwa Kikwete kutokana na kukosa visheni na hata common sense katika kuongoza. Mie huwa simlaum Kikwete ambaye udhaifu wake ulikuwa ukijulikana hata kabla ya kuwa waziri. Kwa vile watanzania ni wepesi wa kusahau walimpa kura ili ageuka balaa litakalowaamsha na kupigania haki zao. Kwa hili nampongeza mr Dhaifu. Nisichopenda kwa Kikwete ni ile hali ya kujitiatia kusema wakati ambapo alipaswa kunyamaza na kunyamaza wakati alipopaswa kusema.
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Naungana na wewe asilimia 100% Hakuna Rais anaye ogopa midahalo Kama huyu. Anapenda kupiga picha na mastaa Kama wakina beckham na 50 cent
   
 4. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mara 10 Matonya apewe nchi kuongoza kuliko Kikwete. Aibu kweli.........Rais anazunguka dunia akiomba omba huku nyuma anagawa almasi na dhaabu. Jinga kweli
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Bila Aibu anapishana ndege iliyobeba wanyama wetu na madini halafu yeye anarudi vyandarua
   
 6. Malcom Lumumba

  Malcom Lumumba JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 4,836
  Likes Received: 8,187
  Trophy Points: 280
  Speak the truth even if it leads you to death,....i you can't fight for your rights then you don't have the rights,....inorder to reach any man in this world first you have to learn his language if he speaks chinese you can't go to him with swahili,if he speaks french likewise you can't use German,..OUR GOVERNMENT UNDERSTANDS ONLY ONE LANGUAGE WHICH IS BRUTAL SO AS TO REACH THEM YOU NEED TO SPEAK WITH THEM THE SAME LANGUAGE,.....you can't call youself the eater on top of the table with an empty plate watching some greedy men eating while you starve to death,.....TANZANIAN POLITICS IS A SEDETIVE THAT NO SHOULD EVER TRY TO TAKE,IT'LL CAUSE YOUR NERVOUS BREAKDOWN AND YOU WILL BE A POLITICIAN OF AN ADVANCED IGNORANCE,....Our leaders are the Pro-western lobby,satanists,members of the occult societies,democracy killers thou they lie to us in the pulpits,..democracy only in general elections,...to reach great changes there has to be price like that happened in 1917 Russia,1949 china but when you speak of changes in Tanzania they call you Anarchy lover and a traitor to the Republic,....but people if loving our state is a treason then let us all be condemned for that because thats a beautiful crime to be convicted with,...the government may do whatever to us by they should remember that we are here and WE ARE HERE TO STAY,GOD BLESS TANZANIA GOD BLESS AFRICA.
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mkuu nakuonya usitumie lugha chafu dhidi ya Rais, hata kama humpendi! Hilo neno la mwisho nimeli-edit! Don't repeat again!
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Zomba Karibu kwenye hii thread uje umtete au na wewe umemchoka?
   
 9. alberaps

  alberaps JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,450
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  Una hasira mkuu! Huyo jamaa hapo juu atakulamba ban au ushaamua kujilipua?
   
 10. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna haja ya kuchunguza wagombea urais!
   
 11. a

  artorius JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 758
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu acha kutisha watu,where the hell did you learn how to speak english?
   
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,174
  Likes Received: 10,515
  Trophy Points: 280
  mchane mchane mchaneeeeee........Kwan nn liwalo na liwe.
   
 13. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaaa. Kwa heri mkuu yaana unamjambia Mnyapara usoni
   
 14. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hapa ni kama tawi la Mirembe JF, ngoja niwaachie mueendelee kujadili kwa busara.
   
 15. MZIMU

  MZIMU JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 4,080
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  MIMI BINAFSI SIKUMCHAGUA HUYU JAMAA. NIKWELI KUA RAISI WETU ANAONEKANA ANA MAPUNGUFU MENGI.LAKINI MTOA MADA HAPA UNAONEKANA, KWANZA HUJUI HISTORIA YA TANZANAIA VILIVYO. PILI UNAONEKANA SHUTUMA ZAKO SIO KWA MASLAHI YA NCHI BALI HISIA FLANI HIVI. KWANINI NASEMA HIVI?.

  1. NI USTAARABU KUMUHUKUMU MTU KWA YALE TU ANAYO STAHILI.
  2. UFISADI HAUKU ANZA KWA RAISI KIKWETE (eg. EPA), kwa kiwango kikubwa kikwete amerithi matatizo ya ufisadi kutoka kwa BENJAMINI WILILUM MKAPA.
  3. Unapo ongelea rasilimali, Mikataba yote ya madini ambayo tumeshindwa kuifuta kwa sababu ni international contracts, imeingiwa wakati wa utawala wa Mkapa.
  4. MEREMETA SIO RASILIMALI ZA NCHI?.
  5. Mbegu ya UDINI ilipandawa na JULIUS KAMBARAGE NYERERE. (PROVEN BEYOND REASONABLE DOUBT). Haya yanayo tokea ni wakati wa mavuno. Mfano SWALA LA SENSA, PAMOJA KWAMBA KIKWETE AMEAMUA KUTOKUWAUNGA MKONO WAISLAMU HUKU AKIJUA UKWELI. Hapo alijipendekeza lakini hilo halijamsaidia kwa atticles kama yako.
  6. Unashangaa ya ulimboka. Je unayajua ya Luteni Jenerali Imaran kombe, juni 30, 1996. Just an example.
  7. Malalamiko yako Namba 7 - 13, ni wivu wa kitoto.
  8. Malalamiko yako 14-16 nimesha kujibu.

  KWA HIYO USIWE UNAONGOZWA NA CHUKO BINAFSI UNAPOKUA UNAJADILI MAMBO YA KITAIFA HASA TAASISI YA URAISI. UNATAKIWA UWE NA DATA. VINGINEVYO UNATUMIKA TU NDUGU YANGU.

  KUHUSU HATIMA YA CCM NI ULIZE MIMI.
   
 16. Josephine

  Josephine Verified User

  #16
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sitta alisema CCM inahazina ya viongozi,mimi nasema ni kweli lakini ni viongozi waliopoteza sifa ya kutumia talent walizopewa na Mungu kuwa creative kuwaongoza watanzania..
  Utajiri tulionao Tanzania tunaitaji kiongozi mbunifu.
   
 17. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mara 100 tungekaa bila Rais
   
 18. F

  Froida JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Kinachoniuma siku zote mpaka nipandwe na presha ni kwamba 2005 nilikauka jua kweli kweli kuhakikisha nampigia kura,leo alichokifanya kwa nchi yetu siwezi kuamini ,ni Raisi wa hovyo kabisa aliyewahi kutokea ,nchi imegeuka fuko la ujangiri wa uporaji wa rasilimali za umma ,kikundi cha wachache ndio wanatuamulia kila kitu ,nawaza najisikitikia kuwa mmoja wa wakazi wa Tanzania maana sina uhakika wa maisha yangu hata ya siku moja
   
 19. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Kwanni tununue nyama kilo sh 6000 wakati tuna ngombe wengi kuliko wenzetu africa...kwanini tununue samaki kwa bei kubwa wakati tumezungukwa na bahari ,maziwa na mito kibao na samaki ni wengi wanazivuwa wachina na wazungu sie tumekenuwa meno ........jibu hakuna anae oongoza nchi
   
 20. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  I have seen the afliction of my people in Tanzania. Mwaka 2015 nawaomba wote watakaohusika na mchakato wa uchaguzi kuanzia hatua za awali wawe makini katika kupitisha majina ya wagombea Urais (Vyama vyote vya siasa vyahusika katika ombi hili). Vinginevyo tutaendelea kulalamika kizazi hata kizazi.
   
Loading...