CHADEMA Kutikisa Shinyanga leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Kutikisa Shinyanga leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Oct 5, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo kinatarajiwa kuzindua kampeni za udiwani wa Kata ya Mawaza.Mgombea wa CDM ni ndugu Anthony Peter Mhola.
  CDM ina nguvu kubwa hapa Shinyanga na haitarajiwi CCM kutoa upinzani wowote mkubwa.
  Mkutano unatarajiwa kuanza saa 8 mchana huu.
   
 2. B

  Ba'mdgo JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tutaomba picha tafadhali kwa wale watakao kuwepo
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  shime shime wananchi msiache kujitokeza.....ponda kichwa nyoka aina ya CCM.....
   
 4. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kabla ya huu uchaguzi hiyo kata ilikuwa inashikiliwa na chama gani?
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  wabeja sana!
   
 6. Daudi Safari

  Daudi Safari Verified User

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  bila shaka mkuu OMUSILANGA atarusha picha za kutosha!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Sina wasiwasi na watu wa Shinyanga kwa masuala ya siasa hasa CHADEMA ila wasiwasi wangu ni packing ya baiskeli zao
   
 8. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,862
  Likes Received: 2,786
  Trophy Points: 280
  Mkuu weka mambo sawa! wanazindulia SHY mjini au kule kule Mwawaza?
   
 9. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Asante kamanda kwa taarifa,niko ndani ya Matiko Trans natokea Mwanza, ninaelekea Lwenzera- Geita kupitia Kahama,karibu tunaingia Shinyanga tumefika Maganzo itanibidi nikatishe safari yangu ili niungane na makamanda pale kuwashikisha adabu hawa ma.ga.mba, then kesho nitaendelea na safari yangu alfajiri na mapema maana kule tuna uzinduzi kama huu hiyo kesho ambapo Wenje na Mawazo watagawa doz nene kwa ma.ga.mba
   
 10. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Suala la msingi ni hizo picha tuweze kuzipata wadau
   
 11. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,491
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Sio baiskeli...shinyanga zinafahamika kama daladala
   
 12. Bartazar

  Bartazar JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 805
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Heri aliyeifanya Chadema kuwa tumaini lake... Wala hakuwaelekea ombaomba na mafisadi wanaoruka kwenda ulaya na Marekani kutembeza bakuli na kuning'inia kwenye bembea...!
   
 13. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shinyanga siku nyingi imekuwa ni ngome ya CHADEMA ni wale wa kuchakachua matokeo ndiyo walileta huzuni shinyanga, sasa ni kanyanga twende!
   
 14. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mkuu, tunaomba updates!
   
Loading...