Wananzengo shinyanga leo mkutano umefanyika?

Miwatamu

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
1,450
487
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa wananzengo wetu huko Shy leo kulikuwa na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za udiwani, sasa tunaomba picha na taarifa ya jinsi mambo yalivyojili huko.
 
Mimi niko Shinyanga tangu Juzi sijaona msisimko Au misisimko, Kama ukipenda, labda Kama inafanyika china ya Ardhi Kwenye mantle na core Kama tulvyojifunza kwenye jiogorafia lakini Huku juu ya USO wa Dunia hapa Shinyanga hakuna kitu Kama hicho. Labda umechanganya tarehe, tutajuaje.
 
Kwani chadema Shinyanga haina wawakilishi!? Au operation Sangara iliishia wapi haikufika Shinyanga.
 
Kwenye mkoa wa Shinyanga wa zamani, CDM ilipata majimbo ma 4(ukiondoa la shy town walilochakachuliwa)
 
Back
Top Bottom