Hii ndiyo ilikuwa post yangu fb August 10,kufuatia matamko makali ya LOWASA NA SITTA JUU YA MGOGORO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndiyo ilikuwa post yangu fb August 10,kufuatia matamko makali ya LOWASA NA SITTA JUU YA MGOGORO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by baluhya M., Oct 5, 2012.

 1. b

  baluhya M. Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ndiyo ilikuwa post yangu fb August 10,kufuatia matamko makali ya LOWASA NA SITTA JUU YA MGOGORO WA ZIWA NYASA,hapo KIKWETE alikuwa hajajitokeza kuwahakikishia WAMALAWI kwamba hakuna vita na wajisikie shwari,nimeamua niipost upya kufuatia Uamzi wa JOYCE BANDA Kujitoa ktk mazungumzo juu ya mgogoro, post ilikuwa hivi

  "kuweka msimamo wetu kama TAIFA juu ya mgogoro wa ziwa Nyasa na wenzetu malawi ilikuwa ni hatua muhimu na ya lazima(Kwenye chemistry this is called a necessary step towards reaction),bila kuweka masimamo wetu wa kwamba tuko tayari kama taifa kulinda nchi yetu na mipaka yake kwa GHARAMA YOYOTE wamalawi wasingeweza kulipa uzito swala la majadiliano makini(serious) yenye malengo mahususi ya kufikia mwafaka. BRAVO LOWASA,BRAVO MEMBE,BRAVO SITTA,BRAVO AMIRI JESHI MKUU.
   
 2. C

  Concrete JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Bravo Joyce Banda.
   
 3. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Baba Rizimoko alisema wanaokuza mgogoro ni wapinzani, akagwaya halafu kawatuma Wizara ya Ardhi watoe ramani mpya. Tunaweza tukawa na msimamo kama wananchi lakini viongozi wetu wanaogopa kutoa misimamo yao. Ni Membe, Lowassa na sitta waliozungumzia kwa ukali na kwa kuonyesha msimamo lakini sio jamaa yetu. Anaogopa lawama kwa wananchi wake (Watz) lakini anaogopa zaidi kulaumiwa na Wamalawi na Jumuai ya Kimataifa (Should they support Malawi"s claims)
   
Loading...