Dr. Rwaitama yupo SIBUKA TV anamwaga sera, watch out!!

Miwatamu

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
1,450
487
Wanajamii mida hii naona yume mwanachama mfu wa CCM, Dr. Xavery Lwaitama yupo Runingani anamwaga cheche mfuatilieni kwani huwa ana hoja nzuri zenye mlengo wa fikra mbadala.
 
We ndio mfu,huyu dr. Yuko really sana kiuchambuzi yawezekana wewe hata form 2 ujafika ebu mwache mwanazuoni wetu atupie vitu vyake.
 
Huwa anajaribu kuficha udhaifu wake. Ila ni afadhali kuliko Dk Bana anayeongoza kwa kujikomba kwa CCM Kikwete na mafisadi kiasi cha kushindwa kumtofautisha na juhaa wa kawaida. Amwage sera zake ila asiendelee na somo lake la kuwafundisha waandishi wa habari kazi wakati hajui hata chembe moja ya maadili ya taaluma yenyewe.
 
Wekend imekuathiri,NI ITV.sibuka hawawezi weka mada iyo coz wapo ki tribalism zaidi
 
Sijaoenda sana majibu ya watu wasiowajibika.Yule sheik aliyepo kamati ya maridhiano na amani.Kasema aliyosema ila hakuwajibika kusema nafasi za kazi na serikalini na mitihani kuna kila dalili kuwa kuna udini...Huyu yupo katika amani sijui wale wasio katika huu uomja wenye ulaji wa mani wtasemaje?Ki ukweli tayari amani ya nchi ilishakula kona.

Haiwezekani Sheikh anayheshimika na kutarajiwa kuja ongoza taasisi kubwa yenye kubeba waislam wa tanzania kama anaamini shue kama al haramain, kinondoni, kibohehe, bondeni, kilimanjaro muslim etc wanabaguliwa ktk matokeo na si uduni wa elimu,uongozi mbovu na kupewa mitihani kishule ili wajenge contious assessment records nzuri.

Sheikh kama huyu nashindwa elewa kama idadi hii ya wanafunzi kufeli ndipo kunapelekea kukosa sifa za kufanya kazi sehemu nyingine.

Sijui kama huyu jamaa anatafuta amani au anapalilia na kuchochea kuvunjika kwa amani.Mungu saidia
 
Back
Top Bottom