Nchi imemegeka pande mbili!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi imemegeka pande mbili!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kadogoo, Oct 5, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Katika Mchakato wa kutoa maoni juu ya katiba wachangiaji wengi wameonyesha kuelemea pande mbili kuu! Waislamu wanapendekeza katiba itakayo ruhusu OIC, Mahakama ya Kadhi na Hijabu huku wenzao wakristo wakipinga hoja hiyo ya waislamu!

  Ajabu ni kuwa Waislamu wanapotoa maoni yao juu ya maslahi yao wenzao wakristo hawana cha kuchangia bali wanapinga hoja za dini zingine! haya ni mapungufu makubwa kwa upande huo wa pili na ni bora kama hawana cha kuchangia basi waache wenzao watoe mapendekezo yao!

  Chanzo: Gazeti la ANNUUR | Mzalendo.net
   
 2. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pelekeni ujinga wenu mbali sana! Tanzania ina uhuru wa kuabudu na msituletee upuzi wa kislamu hapa. Eti mahakama ya kadhi. Kwani mahakama za kawaida haziwatoshi? Hijabu? Hakuna watu waonevu kwa wanawake kama waislamu. Brain wash and that is it. Tunahitaji katiba ya watu wazima na sii watotoo wa kiislam wanaowaza kujilipua kwa mabomu. Tulikuwa na uhuru wa kuabudu na uliheshimiwa siku zote. Hizi fujo za kiislam za kuwachomea wengine makanisa, mabanda ya ngurue , nyumba, magari nk vinatoka wapi? Komaeni kama wakristo na ishini kwa amani na uislam wetu hata kama rais ni muislam. Ujinga wenu ni mkubwa sana na ndiyo maana wakristo wanawapinga. Mbona sijasikia wakristo wakilazimisha waislam kuvaa mavazi fulani? Mbona sijasikia wakristo wakiitana kuchoma nyumba au misikiti ya kiislamu hata kama rais ni mkristo? Tuwe wakweli kabisa nyie waislam mmejaa uwozo wa kijinga na kila kitu mnavutia kwenu hata kama ni ujinga uliokidhiri. Badilikeni, komaeni, na onyesheni utu wenu kama wanavyofanya wakristo.
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ngoja tu nikae kimya
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hii siyo tume ya katiba ya dini, ni katiba ya watanzania - wote (including wapagani).
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,774
  Trophy Points: 280
  Dah ile mbegu iliyopandwa na JK itatugharimu sana watanzania.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 6. Miaghay

  Miaghay JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Sasa hapa solution ni nini?na maoni hayo ndo yatakayotengeneza katiba.
   
 7. Miaghay

  Miaghay JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  hiyo mbegu aliipanda dunia nzima?.
  Acha kuleta siasa bana.
   
 8. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  waislam huwa wananifurahisha sana umma wa mtume Mohamad (saw) alikua hajui kusoma wala kuandika, akitumiwa na shetani ref. SATANIC VERSES, Anasubiria ufufuo YESU ATAKAPORUDI nae afufuliwe ahukumiwe. Mtume huyu umma wake utakuwaje?
   
 9. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Dah!! kwa kweli umetutukana saana. nakuhurumia maana unaonekana huujui uislamu zaidi ya kuwaona tu waislamu, ila ukumbuke hayo matusi yako hayatauondoa uislamu. sisi waislamu tupo tayari kufa kwa ajili ya kuutetea uislamu. KWA TAARIFA YAKO HIJABU NI MOJAWAPO YA ALAMA ZA UISLAMU. NI LAZIMA IWEPO KWA SABABU WAISLAMU TUPO, UKITAKA PASUKA. AU UNATAKA NA SIE TUSHEHENI VIMINI??? hilo halitawezekana. Kama utataka sema nikupe somo la nini nafasi ya mwanamke katika uislamu. TATIZO LAKO UNAUSOMA UISLAMU KIGANGONI, KAUSOME UISLAMU MSIKITINI KWA WAISLAMU WENYEWE NDO UTAUELEWA VIZURI. Umejaa chuki mpaka unatia kinyaa.
   
 10. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  .....katiba ikijaa hoja kuhusu mahakama ya kadhi ndo nchi itajengeka????...nyie ndg zetu Waislaam kwanini hamtaki kufikilisha akili zenu????najua si wote lkn waliowenngi jamii inashidwa kuwaelewa. Katiba ni kwa maendeleo ya nchi na wala si kwa maendeleo ya dhehebu fulani.
   
 11. k

  kukukakara JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mzaha mzaha hutumbua usaha, nigeria, somalia, uganda, kenya, Tz itaponaje. TISS this is where you are test is, sio maandamano. Keep this country as one mmuenzi mwasisi wa taifa hili ambalo aliwezesha mtoto wa masikini kupanda treni kwa warrant ya serikali toka mwanza kwenda kusoma Lindi lakini leo kwao shule ya kata hakalii madawati!
   
 12. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Sasa ndio mnaweza mkaelewa kwa nini Hayati JKN alijaribu kwa kiasi fulani ku-suppress sentiments za kikabila na kidini hadharani. Kiasi kwamba enzi hizo baadhi ya wale waliofanikiwa kwenda shule za juu za elimu dunia walithubutu kudondosha majina ya Kizungu na Kiarabu kutoka katika utambulisho wao - majina kama Makongoro Mahanga, Rwekaza Mkandara, Mugyabuso Mulokozi, Jakaya Kikwete, nk ndo ilikuwa fasheni. Watu walijivunia Utanzania zaidi ya cho chote kile. Hata hivyo, tatizo lililokuja kubainika baadaye ni kwamba kwa vile wale wafuasi wa imani ya Kiislamu hapo awali hawakuwa wamepata elimu dunia ya kutosha (kwa sababu za kihistoria: kv. mkazo wa wao kwenye elimu ahera -madrasa, shule za elimu dunia zilijengwa na kusimamiwa na makanisa kwenye maeneo ambayo hayakuwa na idadi kubwa ya waislamu na wale wachache waliokuwemo walikuwa reluctant kuwapeleka watoto wao kwa shule za mapdri na hivyo wakabaki nyuma kielimu dunia, nk) na hivyo kutokuwepo uwiano wa kutosha katika nyadhifa za utawala. Pia, huu utamaduni wa kujivunia utanzania usingeweza kufutilia mbali utambulisho wa kikabila kwa majina, japokuwa kwa kiasi kikubwa JKN alifanikiwa kupunguza sentiments za kikabila miongoni mwa Watanzania hali ambayo imeendelea hadi leo hii.
   
 13. peri

  peri JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Heshimu imani za watu mkuu, kama huna hoja ya kujibu au haujapendezwa na mada basi kaa kimya kuliko kuporomosha matusi. ALHAMDULILAH Uislam haunifundishi kutukana, ngoja ni ripoti kwa mods.
   
 14. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Dah!!! kweli dunia haitaisha wajinga. POLE SANA. ila nikukumbushe kitu kimoja, kama kweli unataka kuujua uislamu waulize waislamu. Nakushangaa unataka ufundishwe uislamu na asiye muislamu. hiyo blue hapo juu, Ma Sheikh wetu walishaitolea majibu mazuri tu na ya kiungwana ingawa nadhani unaweza usitake kuujua ukweli kwani tayari roho yako imeshakengeuka kwa chuki. Mkuu ni hivi, UISLAMU UPO NA UTAENDELEA KUWEPO. kuna sababu nzuri tuu ya Mwenyezi Mungu kumleta Mtume Muhamad katika hali hiyo ya kutokujua kusoma, NI MUUJIZA AMBAO MWENYEZI MUNGU ALIAMUA KUWALETEA WANADAMU, NA SI KAMA WENGI MNAVYOJIDANGANYA. HAYO YALIKUWA NI MAPENZI YAKE YEYE MWENYEZI MUNGU NA WALA AKILI YA KIUMBE DHAIFU KAMA WEWE HAIWEZI KUHOJI HILO. TATIZO LAKO HATA MAMBO YA KI-MUNGU UNATAKA UYAFANANISHE NA YA KIBINADAMU. HUJIULIZI KWA NINI MBINGU IPO KAMA ILIVYO BILA NGUZO, HALI YA KUWA BAINADAMU HAWEZI KUWEKA PAA BILA NGUZO??? TAFAKARI.
   
 15. s

  saliha Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kila siku tuna himiizwa kuvumiliana katika mambo ya kidini ,katiba yetu imetoa uhuru wa kuabudu kwa kila mtu ndio maana hata wapagani na wanaoabudu mizimu ya mababu na majadi hawa sumbuliwi ruhusa mara nyingi nimeona watu wazima na dini zao zilizotukuka bado wana endelea na kuamini mizimu .Ndugu zangu wa dini hizi mbili waachieni kila mwenye dini yake afuate kile anachokiamini .sasa waislamu na hijabu zao waachieni hata wakijifunika mwili na macho yote ila wasivunje sheria za nchi .kuhusu mahakama ya kadhi hili si limemalizwa na wenyewe waislam wanafurahi kuwa na chombo chao kitakacho wapa haki kwa mujibu na imani zao .ninavyo fahamu kwa wale ambao hawataki kufuata dini zao basi watulie wafanye kinacho wapendeza hesabu kesho ninahofu kuwa jamii yetu inaelekea kubaya kwa ni haya malumbano wala haya husu hayana maana hata kidogo yatatuletea fujo huko mbele .waachie waislam na mtume wanaomuamini na wale wengine wote wanaotukuzwa na kuheshimiwa kama nabii Issa almashuhuri yesu kristo .tujenge tanzania ya kupendana na kuaminiana katika kuwa na taifa lenye usalama .dini ni mapenzi ya mtu msitiane kichefu chefu kwa kutoa matusi yasio na maana na yatakyo udhi wana jamii wengine:peace::peace::peace::peace::peace: .
   
 16. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Ama kweli upumbavu ni kitu kibaya sana. Tunatengeneza katiba ya nchi na watu wengine wanafikiri tunatengeneza katiba kwa ajili ya msikiti. Aliyewaambia kwamba watanzania wote lazima waishi kwa kufuata desturi za kiislamu ni nani? Kila mtu ana uhuru wa kuishi maisha anayotaka na kuamini anachotaka ili mradi havunji sheria za nchi na wala haingilii uhuru na wa watu wengine. Tanzania sio nchi ya kiislamu mpaka ijiunge na umoja wa nchi za kiislamu duniani! Kweli upumbavu ni mzigo kuliko hata ujinga. Mtu unashindwa kutofautisha masuala ya taifa na masuala ya dini yako, yaani unafikiri eti katiba ya nchi ni lazima iwe ya kiislamu, kwani ina maana watu wa imani nyingine hawana haki katika nchi hii?
   
 17. Miaghay

  Miaghay JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  ilisemwa kuwa katika kuandika katiba kila mtu yuko huru kutoa maoni yake.
  Sasa kama unaona hawa jamaa wanatoa maoni mabaya,wewe uko huru kutoa yako mazuri.AU KAMA VIPI WAZUIENI KUTOA MAONI MBAKI NYINYI.
   
 18. I

  Ichobela JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ni hatari sana katiba kuongelea dhehebu,nchi yetu ilijengwa kwa kila mtu kuwa na uhuru wa kuabudu dini apendayo. Inasikitisha wenzetu wanapoanza kulazimisha kuibadiri nchi iwe ya kiislam,hilo ni hakika halitafanikiwa na ikumbukwe wakristo ni wengi na ni wapole. My take ni,waislam wana nyumba zao za ibada,wazitumie katika kueneza imani yao lakini katiba isigusie masuala ya dini.
   
 19. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  ....maana naweza kupewa ban bure!
   
 20. Miaghay

  Miaghay JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  hongera yako wewe yesu alisoma,nasikia alikua na Bacherol ya masematiki.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...