Gazeti la 'Tazama' linamilikiwa na nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la 'Tazama' linamilikiwa na nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kessy kyomo, Oct 9, 2012.

 1. kessy kyomo

  kessy kyomo Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Ndugu waheshimiwa sana leo asubuhi nimepitia habari ya mbele kwenye kurasa la gazeti la tazama likiwa limeandikwa hivi Chadema yajibu mapigo ya cuf halafu ukiisoma habari yenyewe ni tofauti na kichwa cha habari kwanza wameweka picha hapo frontline ambazo si za kweli, mwandishi kajitahidi kuiponda sana chadema kuliko kichwa cha habari knavyosema sijui huu ni huandishi gani wa habari,pili ukiangalia kurasa zote mwanzo mpaka mwisho ukitoa kurasa za michezo gazeti hili kila toleo kazi yake ni kubadilisha uwongo kuwa ukweli kwa chama cha chadema yaani bila kuandika habari za chadema nadhani gazeti huwa halijisikii raha yaan kuna full maigizo waandishi wa habari makanjanja wapo kwenye hili gazeti ndugu wadau naomba msaada hili kuweza kumjua mmiliki wa gazeti hili lisije likawa la mafisadi kweli?
   
 2. kessy kyomo

  kessy kyomo Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  linasema eti cuf wamefunya ngome ya chadema arusha halafu hapo ya gazeti wamechakachua picha za mkutano za cuf kwani cuf haikuwa na watu wengi kiasi hicho huu ni uongo wa mchana kweupe kwani kampeni za uzinduzi wa uchaguzi tu wa udiwani chadema zilifunika mkutano wa cuf
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Chadema bana wanataka kila gazeti Tanzania liwasifie Chadema.
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,906
  Likes Received: 5,367
  Trophy Points: 280
  wanachofanya ni kuwavutia umma wa watz kunnua hiyo toilet paper..gazeti haliuzi siku hizi bila kuandika habari za chadema,.nakushauri kufatilia zaidi habari za jf kuliko magazeti,..magazeti mengi siku hizi yanaandikwa na waandishi m*l*ya wa fedha..
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Tatizo ni pale unapotarajia CDM kusema vizuri hata kama imeharibu. Mbona hauulizi Tanzania daima na Uhuru yanamilikiwa na nani? kwa vile unajua kabisa Uhuru haliwezi kuandika lolote zuri juu ya CDM vivyo hivyo Tanzania Daima haliwezi kuandika lolote zuri juu ya CCM na kwa maana hiyo hauwezi kuhangaika kuyasoma. Usihoji gazeti linamilkiwa na nani eti kwa sababu halijaandika kile ulichokitegemea, halafu kwanza mtu unapata wapi muda wa kufikiria vito vidogo kama hivyo?
   
 6. t

  thatha JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Exactly magazeti yalishasoma upeo wa watanzania wanaandika ili wauze na siyo kuhabarisha.
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Si wayanunue magazeti yote yawe ya kwao ili yawapambe kwenye kurasa za mbele.
   
 8. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Golden boys talk about issues, Silver boys talk about events and Iron boys(YOU) talk about people.
   
 9. S

  SEBM JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 496
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwa wale wenye umri kama wangu, watakumbuka enzi zile magazeti yaliyokuwa yanapingana na serikali. Haya yalikuwa yanapingana na serikali kwa kufichua uovu na uoza ndani ya mfumo wa serikali. Kulikuwa na, kwa mfano, Motomoto, HEKO, WATU, TAZAMA, MFANYAKAZI na lile lingine lilikuwepo pale Magomeni Mviringo...

  Gazeti la TAZAMA la wakati ule lilikuwa linatoka kila Jumanne na mwandishi wake mahiri Charles Charles alikuwa anafichua maovu mengi sana. Lilikuwa linamilikiwa na Mapunda na lilikuwa linapata misukosuko sana kutoka serikalini.

  TAZAMA la leo, likiwa na majina yale yale ya akina Charles Charles, mzee MAPUNDA, Mwinjilisti Kamara Kusupa etc, limekuwa na habari na makala za tofauti sana na za wakati ule. Hili limekuwa 1. Linapingana na CHADEMA na kuandika makala za chuki dhidi ya CHADEMA 2. Linaandika habari za Freemasons 3. Zinaandika habari ya kumsifia sana Mh anayeamini falsafa ya kuvuta subira. Falsafa ya kuvuka daraja alilifikia na si vinginevyo.

  Lakini pia kuna waandishi wa enzi zile ambao walikuwa kweli wanaandika mambo mengi ya kukosoa serikali. Ninamkumbuka SONGORO MNYONGE (wa HEKO) na baadaye akahamia gazeti limenitoka jina na akina DINA ISMAIL. Sina uhakika sana, lakini nahisi Songoro Mnyonge huyu ndiyo Diwani wa Kupitia CCM - Mwananyamala (?)

  Nasikitika sana kwa akina Mzee Tegambwage kuzeeka, kufariki kwa Stanslaus Katabalo, kupotea uandishini kwa Munga Tehenan, kufariki kwa Benedict Rashid Mtobwa (RIP).

  Waandishi wetu wa sasa, ni wale wa kutengeneza makala za uongo, na kuweka picha za kutengeneza, ili tu wapate ukuu wa Wilaya!
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Imeandikwa wapi kila gazeti lazima liwasifie Chadema.
   
 11. T

  TWAWEZA Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kwakweli magazeti mengi ya tz yanaboa. haimaanishi magazeti yote yaandike kuisifia Chadema au CCM au hata chama chochote au mtu fulani. Pia ni kweli hata nchi za wenzetu tunaodhani wameendelea magazeti yao unakuta yanamrengo fulani lakini huandika facts tupu na hata habari zao huwa ni za ukweli hata kama zina mtazamo hasi juu ya mlengwa. Kwa watz hali ni toufauti.
  Mwandishi unajisikiaje kukaa na kuamua kubuni habari kisha unatafuta picha (nyingine za kuchakachua) kisha unaziweka ili kuuza gazeti lako?
  Imefikia hatua mi nasoma kwanza Jina la Gazeti na Mwandishi kisha ndo nasoma habari huku nikiwa na moja kichwani kutegemeana na aina ya gazeti na mwandishi wa makala husika.
  Hii hunisaidia kupata kiasi fulani cha ukweli maana nikisoma Uhuru, Mtanzania au Tz Daima au Mwanahalisi unakuta nina prior knowledge japo si suluhisho la uhakika.
   
 12. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 7,998
  Likes Received: 6,781
  Trophy Points: 280
  Hilo gazeti linaandika propaganda za kuizidi hata Uhuru! Mmiliki wa hilo gazeti anaitwa Mapunda. Yupo kwenye kambi ya mzee wa mamvi, kwa hiyo bila shaka yoyote yumo kwenye payroll yake, ili amfanyie kazi ya kumuharibia Slaa na Chadema, ili wamsafishie urais wa 2015!!
   
 13. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Mwezi wa 9 nilinunua gazeti hilo nikifikiri ni kama gazeti la TAZAMA lililokuwa likitolewa zamani, Baada ya kusoma habari mbili tatu hivi nikagundua harufu ya uvundo fulani vile basi hapo hapo nikalitupa pembeni na kuendelea na magazeti mengine, akaja bwana mwingine akaliomba asome nikamwambia asome na hata kulichukua akipenda afanye hivyo, basi yule bwana kabla ya kuletewa supu yake aliyokuwa akiisubiri akaniuliza hili gazeti vipi? nami nikamjibu "HAO WAANDISHI NI WA BEI POA" baada ya hapo naye akaliweka pembeni, Kitu kikubwa nilichogundua ni kwamba wanajaribu kutumia jina la TAZAMA ili kuuza gazeti then wanajitahidi kudanganya heading zao lakini ukisoma ndani utakuta habari haifanani kabisa na heading iliyowekwa na inafanywa hivyo kwa makusudi kutimiza malengo ya aliyewatuma kwani kuna uongo ulio wazi mno ndani ya gazeti hilo, sidhani kama nitakuja kulinunua tena maishani mwangu kama nisivyonunua gazeti la UHURU
   
 14. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Magazeti mengi ya msimu yanamilikiwa na mafisadi.
   
 15. Anthony Lawrence

  Anthony Lawrence JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,544
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Hii ndio bongo bwana. Fujo kila mahali. Waandishi wengi wa habari ni waganga njaa tu
   
 16. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,882
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  yani ww sijui mzigo huwa unapiga saa ngapi!? Au ndio mwenezi kaongeza POSHO??
   
Loading...