Tendwa, nadhani umesikia vurugu UVCCM na madai ya Rushwa chaguzi za CCM. Kurupuka sasa

Mbwa Mpole

Member
Jul 18, 2012
11
1
Baada ya kuuawa kwa Mwangosi Tendwa kama kawaida yake alikurupuka na kutoa kauli za utata na zisizo na umakini dhidi ya CHADEMA. Kama Tenwa alikilaumu CHADEMA kwa vurugu aone sasa UVCCM, sijui mpaka afe mtu ndio inaitwa vurugu na kuhatalisha amani. Aidha, nadhani tendwa anasoma magazeti kujua madai ya rushwa inavyodaiwa kutawala katika chaguzi za CCM. Pamoja na haya yote sijamsikia Tendwa bingwa wa kukurupuka akiongea na vyombo vya habari kuhusu rushwa na vurugu katika chaguzi za CCM. Sasa sijui amejifunza na kuacha kukurupuka, au anakiongopa chama tawala ambacho ni mwajili wake, au ndio tuseme ni kweli huwa anawaonea wapinzani kwa kuwashambulia harakaharaka bila hata ya kuchunguza ukweli wa mambo na hali halisi.
 
atoe tamko la kukifungia chama kama yeye kidume kweli. Utasikia kesho tu huyooo keshahamishwa ofisi. Hapa kimyaa hatoongea kitu na limwanya lake lile
 
Baada ya kuuawa kwa Mwangosi Tendwa kama kawaida yake alikurupuka na kutoa kauli za utata na zisizo na umakini dhidi ya CHADEMA. Kama Tenwa alikilaumu CHADEMA kwa vurugu aone sasa UVCCM, sijui mpaka afe mtu ndio inaitwa vurugu na kuhatalisha amani. Aidha, nadhani tendwa anasoma magazeti kujua madai ya rushwa inavyodaiwa kutawala katika chaguzi za CCM. Pamoja na haya yote sijamsikia Tendwa bingwa wa kukurupuka akiongea na vyombo vya habari kuhusu rushwa na vurugu katika chaguzi za CCM. Sasa sijui amejifunza na kuacha kukurupuka, au anakiongopa chama tawala ambacho ni mwajili wake, au ndio tuseme ni kweli huwa anawaonea wapinzani kwa kuwashambulia harakaharaka bila hata ya kuchunguza ukweli wa mambo na hali halisi.

Ha haaa athubutu kama ajira haijasitishwa akakakae ubaoni..
 
Anatafuta maneno ya kuongea na ikishindikiana atakaa kimya,hawezi kuongea utumbo kama ule kwa mabwana zake CCM.
 
Hapa ndiyo mtu mzima huwa anaumbuka vibaya. Hii mambo ya double standard ni ukandamizaji unaoonekana wazi kwa wananchi. Na hii inapelekea wananchi kujenga chuki kwa serikali na chama tawala kwa kutumia dola kukandamiza demokrasia .
 
Vipi zile cheki za ruzuku za vyama mbadala amekwizishatoa?
 
Baada ya kuuawa kwa Mwangosi Tendwa kama kawaida yake alikurupuka na kutoa kauli za utata na zisizo na umakini dhidi ya CHADEMA. Kama Tenwa alikilaumu CHADEMA kwa vurugu aone sasa UVCCM, sijui mpaka afe mtu ndio inaitwa vurugu na kuhatalisha amani. Aidha, nadhani tendwa anasoma magazeti kujua madai ya rushwa inavyodaiwa kutawala katika chaguzi za CCM. Pamoja na haya yote sijamsikia Tendwa bingwa wa kukurupuka akiongea na vyombo vya habari kuhusu rushwa na vurugu katika chaguzi za CCM. Sasa sijui amejifunza na kuacha kukurupuka, au anakiongopa chama tawala ambacho ni mwajili wake, au ndio tuseme ni kweli huwa anawaonea wapinzani kwa kuwashambulia harakaharaka bila hata ya kuchunguza ukweli wa mambo na hali halisi.
Ili uwe na akili ya tendwa inabidi uwe umepitia MIREMBE hospital kwa vichaa!! na "kutendwa" kwa saaanaaa!!
 
Ukimsikia huyo kijana (anaesema "pesa za coaster kamaliza, hela ya maduka mjini kala...." or something to that effect) unapata uthibitisho (kama ni kweli ulikuwa huujui) kuwa: viongozi wa ccm wapo kwa ajili ya maslahi binafsi.

Aje Nape (au wale anaowatuma kina zoba et al) watueleze kitu tofauti (ila kiwe cha ukweli na si propaganda) kama wanaweza!
 
Atapoteza Kazi jamani! Tendwa kaa kimya tu CCM ni baba na mama! Usiache Kutuma fees huku Southampton kwa mtoto wako. Futa CDM
 
Nadhani uchaguzi katika vyama vyote ni vurugu tupu sasa ni CCM lakini tukumbuke uchaguzi wa BAVICHA na uchaguzi wa mwenyekiti chadema na akina Ziito na Chacha Wangwe
 
Anatafuta maneno ya kuongea na ikishindikiana atakaa kimya,hawezi kuongea utumbo kama ule kwa mabwana zake CCM.
Hathubutu kuwaongelea kwa mabaya CCM, unataka kitumbua chake akitie mchanga! Huyo jamaa inaeleweka wazi pale aliposema atakifuta Chadema kutokana na kusababisha fujo, hata nafsi yake ilikuwa inamsuta. Lakini angefanyeje, wakati waliomuagiza atekeleze maagizo ya kuifuta Chadema ni hao mabosi wake waliompa hiyo post?!
 
Tendwa kama ajipendi ajaribu kama hatakula ban na chama tawala. Ccm hata kama kwenye mikutano wachinjane no chance 4 tendwa to speak!
 
Vurugu zilizotokea kwenye chaguzi za UVCCM huko Mara na Ulanga na Kilombero (?) samahani sikumbuki vizuri ila najua sehemu za Mkoa wa Morogoro, zinaonyesha jinsi ccm ilivyofilisika kinadharia. Haina mwelekeo, watu wanagombania mpaka chai! Tendwa hana jipya amebakia kupayuka kama kasuku. Kuna watu wanamnong'oneza naye anaimba wimbo wao. Kama kilivyo ccm, hata yeye kwishney!
Acha waendelee kutupiana makonde, watanzania wanaona!
 
Baada ya kuuawa kwa Mwangosi Tendwa kama kawaida yake alikurupuka na kutoa kauli za utata na zisizo na umakini dhidi ya CHADEMA. Kama Tenwa alikilaumu CHADEMA kwa vurugu aone sasa UVCCM, sijui mpaka afe mtu ndio inaitwa vurugu na kuhatalisha amani. Aidha, nadhani tendwa anasoma magazeti kujua madai ya rushwa inavyodaiwa kutawala katika chaguzi za CCM. Pamoja na haya yote sijamsikia Tendwa bingwa wa kukurupuka akiongea na vyombo vya habari kuhusu rushwa na vurugu katika chaguzi za CCM. Sasa sijui amejifunza na kuacha kukurupuka, au anakiongopa chama tawala ambacho ni mwajili wake, au ndio tuseme ni kweli huwa anawaonea wapinzani kwa kuwashambulia harakaharaka bila hata ya kuchunguza ukweli wa mambo na hali halisi.

Kila siku wanasema chadema wanafanya fujo kwenye kampeni na maandamano. Sasa huku ndani ya CCM CDM ilikuwepo?
Hii inaonesha kuwa vurugu nyingi zinasababiswa na CCM, ni pia wajue kuwa moto wa kupigania haki ulioanzishwa CDM utawatafuna ndani kwa ndani mpaka wakubali mabadiliko.

Alisema ataifungia CDM, haya sasa yako CCM, aseme basi kama nayo ataifungia. Ngoja nipeleke kingalawa changu
:fish2: huko nikavue wanachama.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom