Ya Mwangosi tumeyasikia (yamechakachuliwa); Je, ya Ulimboka na kamati ya Kova vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya Mwangosi tumeyasikia (yamechakachuliwa); Je, ya Ulimboka na kamati ya Kova vipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Oct 9, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,524
  Trophy Points: 280
  Hapa nimekosa jibu mwenye majibu anisaidie tafadhari
   
 2. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hii nchi watawala wanashindwa kusoma alama za nyakati, wanadhani watanzania wa mwaka 47 enzi za fikra sahihi za mwenyekiti ndio zinaendelea. Wameshindwa hata kuelewa kuwa damu ya binadamu wa kwanza kuuliwa (Abel) ilimlilia mwenyezi Mungu kule mbinguni.
  Utawala sasa umeamua kuwalinda hata wasiostahili kulindwa,askari wanaua watu vichochoroni wanawekewa kifua, leo hii mwandishi kama Mwangosi ameuwa mbele ya camera kila mtanzania ameona bado serikali inakataa. Sasa mimi nasema hivi hao mnaowawekea kifua watazoea kuua na siku moja watawaua nyie mnaowakingia kifua.
  Utawala wowote unawekwa na Mungu lakini utawala huo pia Mungu huuondoa kama ukiwa unawakandamiza watawaliwa na hamtaweza kuzuia hilo.
  Kweli nimeamini sikio la kufa halisikii dawa.
   
 3. M

  Mbunge wa ilula JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nafikiri kwa hapo tummwachie Mungu kwani ukisoma taarifa ya TEF na Baraza la habari unaona ukweli wa mambo ulivyokuwa lkn hawa wenzetu wa kamati ya ....... du,anyway kesi ya nyani imechunguzwa na ngedere
   
Loading...