Kifo cha Mwangosi: CHADEMA wamtaka Kikwete kuchukua hatua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifo cha Mwangosi: CHADEMA wamtaka Kikwete kuchukua hatua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lua, Sep 4, 2012.

 1. L

  Lua JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkurugenzi wa habari na uenezi (CHADEMA) John Mnyika leo akiongea na waandishi wahabari katika ofisi ya chama, amemtaka Kikwete kuchukua hatua za haraka kwa wahusika kwa kumpiga na bomu la machozi mwandishi wa habari Mwangosi hadi kumpelekea kupoteza maisha.

  Pili amemtaka kumsimamisha kazi Paul Chagonja na RPC (Iringa) Kamuhanda kusimamishwa kazi wakati uchunguzi unaendelea.

  Tatu alitaka uchunguzi ufanyike wa kujua kifo cha Mwangosi ni shinikizo kutoka kwa nani?

  Kuhusu wahusika wa mauaji anasema kuwa tayari wanajulikana huku akionesha picha gazeti la jana la mwananchi wakati polisi nane wakimsulubu Mwangosi. hao ambao wameonekana kwenye picha ndio wa kwanza wanapaswa kukamatwa, sababu hata wao polisi wakati raia ameuawa huwa wanaanza na wale watu walikua karibu na tukio.

  Kwa maana hiyo polisi nane wanapaswa kuwa wa kwanza kukamatwa.

  source ITV- habari za saa.
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Jamani mnyika,kikwete hawezi kuchukulia hatua maamuzi yake mwenyewe.ila umetimiza wajibu kumwambia.
   
 3. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Tangu lini kibogoyo akapewa kazi ya kutafuna mfupa. teethless government is what we have.
   
 4. p

  pilau JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni sikivu na inaƶgozwa kwa kufuata sheria na utawala bora na iko mstari wa mbele kujali haki za binadamu kwa hali yoyote lazima itachukua hatua kwa wote waliohusika na mauaji ya Daud Mwangosi kuanzia Chagonja RPC na askari wote waliokuwepo katika tukio
   
 5. d

  dotto JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Amiri jeshi Mkuu achukue hatua??? na hayo majeshi mali yake??? Na kuna maelekezo kutoka juu?? Nani anaweza kutoa maelekezo bila idhini ya Amiri jeshi Mkuu??
   
 6. M

  Mundu JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Selikali haiwezi kuchukua hatua, wananchi ndio wanapaswa kuichukulia hatua serikali.
   
 7. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wamekusikia, wamekuelewa. Tunasubiri kuona hatua watakazochukua.
   
 8. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wahusika wapo wapi walibandike hilo tamko humu?
   
 9. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  tamko hili ni kama limetolewa na zomba, mnyika umeanza kupokea rushwa? list ya watu wa kuwajibika ndio imeishia kwa dagaa tu?
   
 10. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Huu msemo wa SIKIVU siupendi kabisa. Tangu mauaji ya AAARUSHA hawajasikia tu??? Kiufupi hatuna SERIKALI.
   
 11. L

  Lua JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tazama gazeti la jana la mwananchi picha ya mbele ndio utawatambua.
   
 12. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Hatua ni ya kuchukuliwa na wananchi ya kumng'oa Kikwete.
   
 13. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nina maana tamko la chadema alillolitoa Mnyika mbele ya waandishi wa habari...
   
 14. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Lets wait and see! Labda atachukua hatua!
   
 15. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa kaya kama haya matukio huwa anakaa chini na kuyatafakari basi ni moja wa marais walio kwenye stress kubwa mno, maana ishu zimejipanga ikitoka hii inakuja ile...soon katakuja tena katukio kengine
   
 16. mapungo

  mapungo Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  kweli,wanaotakiwa kuwajibika ni waziri nchimbi,igp na uchunguzi uhusu ni nani aliyetoa order ya kulipua bomu kwa mtu aliyeshikiliwa na genge la janjaweedpoliccm,wameua kwa makusudi kabisa,shuhuda mmoja alimwendea rpc kuzuia lakini aligoma japo alifahamishwa kuwa ni mwandishi wa habari!kabla ya kifo alipigwa na kuburuzwa hadi kuishiwa nguvu na askari wa janjaweedpoliccm!mi binafsi sihitaji tume kujua kilichotokea,nani aliyewatuma,na mpango uliopo wa kuwafanya wananchi waogope mabadiliko ya cdm (m4c);magamba kwa sasa hawana uwezo wa kujibishana kwa hoja na ccm,hivyo umma unaamini mabadiliko kuliko uhafidhina,kuogofya ndo njia moja tu yakuwafanya watu waone cdm ni chinja chinja kumbe ni mpango wa kuiokoa ccmeeeeeeeeeeeee!;MUNGU NA SISI TUTASHINDA!!,,,,,,,,,,AMEN
   
 17. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Amesema, endapo watabainika kuhusika na kifo hicho watachukua hatua. Kwenye 'endapo' ndiyo patakapofanyiwa mazingaombwe na hiyo tume.
  Ila uzuri safari hii ushahidi wote upo na hata wakifanya mazingaombwe ukweli wote unaonekana.
   
 18. major mwendwa

  major mwendwa JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,181
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  nakipongeza chama cha CDM kwa maendeleo makubwa na sera nzuri ya kuwakomboa watanzania hakika wanaitaji kupongezwa lakini pia wanapaswa kukosolewa kutokana na ukweli kwamba hakuna kitu kilicho kamilika kwa asilimia 100 zaidi ya mungu.kwa muda sasa CDM imekuwa ikidai swala la kupunguza matumizi kupitia mishahara ya wabunge wamekuwa na sera ya kudai kwamba inapaswa mishahara ipunguzwe sera ambayo ni nzuri sana lakini hadi sasa aliyeweza kuthubutu ni zitto kabwe tu mbinu anayoitumia siamini kama wabunge wengine hawawezi hii inauma kwasasababu hawaishi kulingana kile wanachokiubili lakini nachanganyikiwa zaidi pale ambapo viongozi wa CDM wanaposema hawako tayari kuingia ikulu wakati damu ya watu imemwagika ninaipeda CDM lakiniinanisikitisha pale ambapo inaenda kinyume na kile inachokiubili
   
 19. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Mh!unanuka mavi hemu ondoka hapa jamvini unatuchafulia hewa...................!!unatumika na ccm wakimaliza watakupa kama kondomu ngoja wapige bao.........
   
 20. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mnyika alisema baba riz ni dhaifu mkasema anamtukana sasa ngoja mcheki udhaifu wake kwa hili.
   
Loading...