Maisha ya watanzania kuboreka kwa kasi baada ya ziara ya rais huko canada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha ya watanzania kuboreka kwa kasi baada ya ziara ya rais huko canada

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kitenuly, Oct 8, 2012.

  1. k

    kitenuly JF-Expert Member

    #1
    Oct 8, 2012
    Joined: Apr 1, 2012
    Messages: 336
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    [​IMG]

    JE HUYU NI MWENZETU???????

    [​IMG]
    je na hawa nao ni wenzetu??? kitanda kimoja wagonjwa wawili, je haya nayo yanahitaji wafadhili? kazi kwenu wapiga kura

    [​IMG]
    je hawa nao vipi??? ama kweli je tutafika bila kutoa vipa umbele kwa masuala ya msingi? (huduma za jamii)
     
  2. mtotowamjini

    mtotowamjini JF-Expert Member

    #2
    Oct 8, 2012
    Joined: Apr 23, 2012
    Messages: 4,540
    Likes Received: 10
    Trophy Points: 0
    Sidhani kama anaelewa hali halisi ya wananchi wake kwa sababu hakai nao, niwaulizeni hivi JK ameshawahi kutembelea hospitali ya mwananyamala akaona hali zilivo za wagonjwa? Au yeye anatembelea zaidi migodi ya madini
     
  3. Bartazar

    Bartazar JF-Expert Member

    #3
    Oct 8, 2012
    Joined: Oct 4, 2011
    Messages: 805
    Likes Received: 95
    Trophy Points: 45
    Watanzania tunastahili maisha haya kwa sababu tulishaonywa kuwa huyu bwana ni mtoto, hatukusikia, tukadhani ulikuwa utoto wa umri, kumbe ulikuwa ni utoto wa akilli! Mwenye umri wa miaka 45 utamwita mtoto? Presidaa wetu huwa hataki kuumiza ubongo wake kwa mambo mazito ya kufikirisha, hivyo kwake urais ni fursa ya kutalii dunia! Sasa tutapataje maisha bora kwa kuwa na kiongozi ambaye ajenda yake kuu ni starehe za safari, kukagua magwaride, kupigiwa mizinga... badala maendeleo ya watu?
     
  4. M

    Makyomwango JF-Expert Member

    #4
    Oct 8, 2012
    Joined: Apr 11, 2011
    Messages: 323
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 33
    Umenena kweli
     
  5. Goodrich

    Goodrich JF-Expert Member

    #5
    Oct 8, 2012
    Joined: Jan 29, 2012
    Messages: 2,050
    Likes Received: 632
    Trophy Points: 280
    Wazungu wanatudharau sana !
     
  6. Goodrich

    Goodrich JF-Expert Member

    #6
    Oct 8, 2012
    Joined: Jan 29, 2012
    Messages: 2,050
    Likes Received: 632
    Trophy Points: 280
    kikwete alikwenda huko kuhusiana na masuala yake binafsi ya uwekezaji.
    Kumbuka ana hisa Barrick GM ambayo ni ya Canada.
    Na kule amesaini mkataba mzito wa kuwalinda wawekezaji wa nje FIPA.
     
  7. J

    JERUSALEMU JF-Expert Member

    #7
    Oct 8, 2012
    Joined: Sep 19, 2012
    Messages: 2,743
    Likes Received: 1,805
    Trophy Points: 280
    mazingira yana nguvu sana katika makuzi na malezi ya mtu yeyote yule.mimi si shangai kuona presidaa wetu anapenda kuombaomba kama ninavyo waona kule morogoro,pwani,lindi na mtwara.
     
  8. m

    mayoya Member

    #8
    Oct 8, 2012
    Joined: Nov 3, 2011
    Messages: 35
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 13
    presidaa kimeo, mwacheni zumbukuku huyo
     
  9. Ndibalema

    Ndibalema JF-Expert Member

    #9
    Oct 8, 2012
    Joined: Apr 26, 2008
    Messages: 10,916
    Likes Received: 131
    Trophy Points: 160
    No no no. Tunajizalilisha sana kwa wazungu.
     
  10. m

    mgomba101 JF-Expert Member

    #10
    Oct 8, 2012
    Joined: Oct 21, 2011
    Messages: 1,788
    Likes Received: 60
    Trophy Points: 145
    Maisha bora kwa kila mtanzania! Ari zaidi! kasi zaidi! Tumethubutu! Tumeshindwa! Tunarudi nyuma!
    Hii picha apelekewe askofu kilaini ajione chaguo lake la mungu.
     
  11. Janjaweed

    Janjaweed JF-Expert Member

    #11
    Oct 8, 2012
    Joined: Jan 20, 2010
    Messages: 9,530
    Likes Received: 884
    Trophy Points: 280
    mkuu umeziweka picha hadi zimenisikitisha
     
  12. Bilionea Asigwa

    Bilionea Asigwa JF-Expert Member

    #12
    Oct 8, 2012
    Joined: Sep 21, 2011
    Messages: 12,628
    Likes Received: 9,841
    Trophy Points: 280
    tumethubutu...tumeweza na tunasonga mbele............
     
  13. Money Stunna

    Money Stunna JF-Expert Member

    #13
    Oct 8, 2012
    Joined: Aug 9, 2011
    Messages: 13,105
    Likes Received: 284
    Trophy Points: 160
    IMG_8413.JPG

    naona yameishaanza kuboreka,zaman hali ilikuwa mbaya sana,sasa hivi marekan wametusaidia tumepata wodi za kina mama kujifungua,maisha bora kwa kila ........................................
     
  14. Mazingira

    Mazingira JF-Expert Member

    #14
    Oct 8, 2012
    Joined: May 31, 2009
    Messages: 1,837
    Likes Received: 23
    Trophy Points: 135
    Ni kweli mkuu si umesikia na hata naibu waziri anayeshughulikia madini Mr. Masele alivyowasifia Barrick kwa uwekezaji wao nchini hapo jana. Too bad, usaliti wa hali ya juu huu kwa waTZ kwa kweli.
     
  15. k

    kitenuly JF-Expert Member

    #15
    Oct 8, 2012
    Joined: Apr 1, 2012
    Messages: 336
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    [​IMG]

    kwanini tusibinaifishe serikali yote kwa wawekezaji ? inaonekana yote yaliyotushinda tumebinaifisha hivyo kwa nini isiwe hata urxais na uwaziri mkxuu nk? siyo mbaya mtapewa msaada wa mabomu ya kulipuia mbu, maana ule wa net ulishapita
     
  16. h

    hippocratessocrates JF-Expert Member

    #16
    Oct 8, 2012
    Joined: Jul 1, 2012
    Messages: 3,612
    Likes Received: 26
    Trophy Points: 135

    Wakuu Goodrich na Ndibalema, nadhani you are both right!
     
  17. Marry Hunbig

    Marry Hunbig JF-Expert Member

    #17
    Oct 8, 2012
    Joined: Sep 4, 2012
    Messages: 1,514
    Likes Received: 60
    Trophy Points: 145
    JK ni mzuri wa sura!
     
  18. MpangoA

    MpangoA JF-Expert Member

    #18
    Oct 8, 2012
    Joined: Jul 27, 2012
    Messages: 363
    Likes Received: 6
    Trophy Points: 0

    Najua Rais alipewa ukarimu juu ya haya mambo, sawa. Lakini ki-maadili (ethics) kuna kitu kinaitwa Independence- Uhuru. Kuna uhuru wa muonekano (Independence in appearance). Kwa muonekano huu Rais hayuko independent. Kwani kuna ubaya Rais kukataa baadhi ya mambo unayokarimiwa? Ukichagua usafiri wa kawaida, gari, kuna ubaya gani?

    Ni vema basi angekuwa na kiongozi mmoja wapo wa serikali mwenyeji, hususani Rais mwenzake ili hii ionekane ni sawa. Vinginevyo anaonekana kama mtalii.

    Wazungu ni watu wa demokrasia na wanaheshimu sana misimamo ya watu. Washauri wa Rais lazima wamshauri vizuri na kuwasiliana na wenyeji mbalimbali juu ya vipaumbele vya Rais. Kama mambo ambayo hayapendezi machoni pa watanzania yanaonekana kweupe basi tunaamini ni baraka za Rais na washauri wake.

    Kilimo kwanza, maisha bora kwa kila mtanzania!
     
  19. N

    Njaare JF-Expert Member

    #19
    Oct 8, 2012
    Joined: Sep 26, 2010
    Messages: 1,075
    Likes Received: 5
    Trophy Points: 135
    Kama maisha ya Noth Mara na Buzwagi ni mazuri basi akirudi hayo maisha mazuri yatahamia mtwara na lindi na popote ilipopatikana gas
     
  20. a

    artorius JF-Expert Member

    #20
    Oct 8, 2012
    Joined: Jan 4, 2012
    Messages: 758
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 0
    nafikiri ni wakati muafaka kwa rais achague kukaa huko nje ya nchi amalize ziara zake zote arudi 2015 october kukabidhi ofisi halafu aende zake tena huko nje
     
Loading...