CHADEMA kutikisa kata ya Mpwapwa mjini leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kutikisa kata ya Mpwapwa mjini leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by lerai, Oct 9, 2012.

 1. l

  lerai Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ni katika uzinduzi wa kampeni za udiwani kata ya mpwapwa mjini ni baada ya alie kua diwani wa kata hiyo kufaliki dunia mkutano huo wa uzinduzi utaanza saa za mchana saa tisa na kamanda BENSON KIGAILA atakua kuzindua kampeni

  niko katikati ya kata ya mpwapwa mjini katika moja ya makutano ya vijana na wazee wa kata ya mpwapwa mjini na kutana navijana wa mpwapwa na wazee wa mpwapwa waki nionyesha shauku ya kuwa sikiliza watu na viongozi wa chadema kwani wana niambia wame choka kuwa daraja la watu ku tajirika na wana sema wako tayari kuwa ngome ya chadema
   
 2. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,834
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Makamanda wamesubiliwa mpaka jana jioni walikuwa hawajafika, ni kwa sababu ni kama wanapuuzia kata hii wakati kuna kila dalili wataibuka kidedea . Kikubwa cha kuwapa ushindi ni uzembe wa chama cha CCM, DIWANI aliyefariki alikuwa msomi mwenye degree ya uzamii mambo ya mifugo wa sasa aliyeteuliwa mbali ya elimu yake haijulikani hajui kusoma wala kuandika na alikuwa ni mwizi tu wa magari wakati wa wabrazil (ECIZAR) wanajenga barabara ya Morogoro Dodoma, mwizi mwenzie Barnaba aliuwawa yeye akakimbilia kwao Njombe, ndo awe diwani eti, CCM wamewazarau sana wananchi wa Mpwapwa, kwa hiyo kitendo cha makamanda kuchelewa kufika kunamcheleweshea ushindi diwani mtalajiwa ndugu Mpina Baharia wa CHADEMA.
   
 3. l

  lerai Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  makamanda jana walikua na kikao cha ndani ambacho ndicho kilicho kuja na majibu na taharifa izi za mkutano wa uzinduzi ambao kamanda BENSON KIGAILA Atakuwepo
   
 4. commited

  commited JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wadau hapo juu asanteni kwa taarifa, bila shaka cdm makamanda wa ngazi ya juu kabisa huwa wanapita hapa, tafadhali naomba msiyabeze haya yafanyieni kazi, kama mambo hapo yako hivyo mpwapwa tumeni makamanda wa kutosha, kama pesa ya chakula ni shida, semeni watu tupige harambee hata huku sumbawanga tuwatumie huko, tunachotaka sasa hivi ni popote ulipo uchaguzi cdm tuwepo, tupige kampeni za maana na tushinde, hatutaki stori jamani, wakati ndio huu sasa, hatuwezi kuacha supu kwa kukosa pilipili. Cdm go goooooo......mungu yu nasi.
   
 5. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Kila la kheri makamanda! mtatenda haki kama updates zitaendelea mkutano utakapo anza.
   
 6. l

  lerai Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nime weka kambi huku toka jumapili updates za mkutano zitakua live
   
 7. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Ni wazi kwamba CDM inapanuka kwa kasi ya ajabu. Ni tumaini langu kwamba viongozi wakuu wa CDM wanapanua safu za uongozi kitaifa na kimikoa kwa kasi itakayokidhi hali halisi.

  Ni muhimu sana kuimarisha uongozi mikoani sasa kwani wananchi wengi wanategemea CDM ndio iongoze shughuli zao za kisiasa kwa sasa. Makao makuu hayataweza kuongoza kila kitu.
   
 8. commited

  commited JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mkuu lerai pamoja sana,mungu akupe nguvu
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tunashukuru sana Kamanda kwa taarifa hii nzuri sana.
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu lerai pamoja sana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tunasubiri taarifa ya kitakachojiri,tunawatakia mkutano mwema na uwe wa mafanikio.
   
 12. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaomba kampeni za kiustaarabu, ingawa ccm wanaweza leta vurugu bila sababu!
   
 13. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hatuachi supu kisa hakuna pilipili.
  hongera uliyeongeza misemo yangu.
  cdm pigeni kazi.
   
 14. l

  lerai Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ndugu niko katikati ya vijana wa mpwapwa wana niambia wenyewe wako kwaajili ya kulinda amani na wame choka kutumika kama madaraja na wana niambia ili ni jimbo la naibu waziri wa viwanda na biashara wana taka wamuekee paka ambae wana sema ndie kijana wachadema!
   
 15. Jaji

  Jaji Senior Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja sana.
   
 16. 1

  19don JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mpwapwa, mji ulio kichochoroni mwa mkoa wa dodoma , mji uliosahaulika toka enzi ya uhuru, mji usio na maendeleo toka enzi ya tanu, mji ulio anza kungaa miaka ya 80s baada ya kufunguliwa chuo cha afya, chuo cha mifugo, chuo cha ualimu, kambi ya jkt , mji uliopitiwa na wabunge wengi( wengine ni marehu kwa sasa rip) eg MTAKI. SENYAGWA, LUBELEJE, etc ambao kama ni kitu cha maana basi walileta ni gereza lilipo ILOLO hongera kwa mh LUBELEJE nadhani alipigania hili ili kuienze kazi yake ya UHAKIMU wa mahakama ya mwanzo ya mpwapwa, mji ambao waheshimiwa hawa wamejenga nyumba nyumba zao eneo lilikuwa wazi mbele ya ofc ya mkuu wa wilaya na pembeni ya eneo walipo jenga ccm jengo kubwa linalo kaliwa na panya tu, mpwapwa mji ulio kuwa na wazee maarufu ambao waliogopwa na kila mtawala aliye ingia mpwapwa wengi wao sasa kama sio wote ni marehemu (rip wazee wangu), mpwapwa ya mtejeta,chazunghwa, kikombo,vinghawe,mazae,ilolo shule ambazo zimechoka zaidi ya maelezo ya kuchoka kwenyewe, mpwapwa ya kijiweni pale juu stendi ya zamani, mpwapwa iliyochorwa kila nyumba rangi za ajabu ajabu na maandishi meengi ya kunadi kampuni za ununuzi wa madini yaliyo pita kama tsunami na kuwaacha vijana na hadithi za kufikilika kuwa ipo siku madini yatarudi, (kama yalisafili)

  MAKAMANDA TWENDENI TUKACHUKUA MJI HUU ILI UPATE MABADILIKO YA KWELI M4C DAIMA
   
 17. B

  Baba Hellen JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 764
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  du MUNGU yupamoja nanyi had kieleweke
   
 18. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,123
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Suala la Fund ni tatizo kubwa, Chadema tungetamani kufanya makubwa ila pesa ni tatizo kubwa, na ndiyo maana tunakuomba wewe mwanachama ujue kuwa hii vita ni yako na siyo Makao makuu ya CDM.

  Tupigane makamanda popote tulipo, tusisukumwe na makao makuu,, ikiwezekana jengeni hata ofisi za chadema huko mliko.
   
 19. piper

  piper JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Go CDM go
   
Loading...