live updates:uziduzi wa kampeni kata ya mpwapwa mjini CHADEMA

lerai

Member
Oct 6, 2012
63
5
niko kwenye eneo la mkutano punde si punde viongozi wa chama mkoa na taifa wataanza kuingia eneo hili nyimbo za kishujaa watu vikianza kuingia vikundi vidogo vidogo vijana kwa wazee

msafara wa waviongozi wa kitaifa chadema mpwapwa wa kiongonzwa na kigaila ndowana ingia eneo la mashujaa kuanza mkutano

sasa mkutano umefunguliwa pude na umefungu liwa kwa sala na viongozi wa wilaya

sasa watu wa mpwapwa wana endelea kuwa sikiliza viongozi wa chadema wana sema kweli chadema kuna viongozi
 
Naona sasa wameamua kila pembe ya nchi wanapita kutupaka mafuta ya haki kila la heri na mkutano manake hao viwavi wanaweza anza kulusha mawe
 
Asante kamanda! Mkutano unafanyikia shuleni au chuoni? Tupiamo na picha mkuu!
 
Viongozi wangu wote ngazi ya taifa na kote nchini; I AM MORE THAN PROUD OF YOU and the level of work you are doing.

I tell you, the deep-trenched drive for change in your souls, resilience, devotion, hands-on, guidance to the young and creation of NEW STRINGS AND LIGHT OF HOPE for a better tomorrow in our country as well as the deeper degree of descipline at work, organisational skiils pevu, jamani raha iliojeeeeeeee!!!!!!!!!!

Hakika nikikutazma wewe Mhe Heche pamoja na timu yako mahiri ngazi zote taifa, mikoa, wilaya; mijini na vijijini; na kwa ushirikiano wa karibu sana wa wabunge wetu,madiwani, na wenyeviti wa vijiji mbalimbali kote nchini wenzetu KWA HESHI ZOTE NAWAVULIENI KOFIA kwa utendaji kazi uliotukuka katika kumkomboa Mtanzania mlalahoi kote ndani ya nchi hii.

Japo hatuwasiki popote mkipiga kelele zozote za ovyo lakini vijana kimbunga cha kazi mnayoifanyia taifa hili ni shughuli ndefu haipimiki kwa akili za kawaida kamwe.
 
Uzoefu unaonyesha hadi hivi sasa ya kwamba ni pale ambapo panaonyesha kutokua hata na njia pa kupita kisiasa ndipo siku zote M4C hutokea kuchonga barabara pana tena yenye kiwango cha lami kuelekea kwenye kuibua mabadiliko makubwa ajabu na vijiji kuanza kufunguka vyenyewe tu na watu kuhama vyama vya MAFISADI koo moja baada ya nyingine.

Ondoa wasiwasi mkuu, utasikia muziki wake huko wewe vuta pumsi japo kidogo.

Nasikia kata zote CUF wameamua kuunga mkono CCM
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom