Jana niliandika kuwa ni chadema isipoangalia itakuwa inacheza ngoma ya CCM kwa maana ya kujadili matukio na issues kwa sababu ccm
haitaki kujadili issues kwa sababu hawana cha kujadili when it comes to kitchen table issues kwa maana ya maji, umeme, sukari, ajira na
ugumu wa maisha kwa ujumla kwa sababu ni vigumu kuwadanganya watu maeneo hayo kwa sababu wenyewe wanajionea.
kama ilivyotabiriwa jana ile NGOMA YAO INAENDELEA LEO HII KWA TUKIO LA GARI chadema, watu na media inaacha kujadili issues
inajadili tukio kitu ambacho CCM ndio ingependa wapiga kura, chadema na media ndio vijadili na kuacha issues.
kwanini ccm inafanya hivi ?
kwa sababu hawataki record zao zijadiliwe na wataendelea KU STAGE MATUKIO ili watu waache kujadili issues wajadili matukio na bado
wataendelea na matukio haya hata watafikia kuuwa mtu/watu kwa ajili ya kiti cha ubunge ndio mafunzo waliyokuwa wakiwapa vijana wao
huko singida ukiona mpinzani wako anakushinda basi mpaka mavi (samahani kwa lugha hii) ile aonekane hafai/mbaya na wewe uonekane una nafuu upite pamoja na ubaya wako wote.
inawezekanaje mbunge na ccm wapange gari lao livunjwe kioo ?
Gari hilo ni la kwake la ubunge kwa maana linalipiwa kila kitu na serikali kuanzia mafuta mpaka matairi yakiisha na hicho kioo hatotoa hata
senti ntano yake nyekundu pesa yote italipwa na bunge why not sacrifice the side shield to gain sympathy from the people in order to
win the paliamentary seat afterall we have nothing to loss when it comes to paying for the damage.
Chadema nini wafanye ?
waendelee kuzungumzia issues zinazowagusa wana igunga na kuwaeleimisha wananchi kuwa CCM imeishiwa na matukio haya wasiyashangae ni mbinu mojawapo ya ccm kutaka huruma ya wananchi na muwaambie watarajie matukio mengine zaidi kutoka kwa ccm baada ya kuelezea record yao ya miaka 50 hapa Igunga ambayo imewaletea wananchi ufukura na umaskini wa kutupwa..