Chaguzi za CCM: Undugunisation au majina kufanana tuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chaguzi za CCM: Undugunisation au majina kufanana tuu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwali, Sep 26, 2012.

 1. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nimepitia majina ya walioteuliwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi
  CCM, naona kama kama vile jina langu limekatwa. Lakini nimekutana na
  majina mengi yanafanana hasa surnames kiasi cha kujiuliza kama jina
  langu limekatwa kwa kuwa jina langu la mwisho halifananii kabisa na
  majina mengine kwenye hiyo orodha. Nafikiria kubadilisha jina sasa,

  maana naona CCM na Chadema mtindo mmoja tuu. Kama kule Zanzibar naona
  ni dili kama ukiwa na surname ya Vuai. Pia katika uchambuzi wangu
  inaelekea majina ya kichaga ni machache sana kulinganisha na mengine.
  Sijui kama yamekatwa au wachaga wamehamia kwingine.

  Inawezekana kabisa wagombea hawana undugu wowote maana surnames kama
  Mollel (Arusha) Vuai (Zanzibar) na Wambura (Mara) ni mengi kiasi.
  Lakini kuna majina either wote wanagombea au jina lina uhusiano na
  vigogo wa sasa au wa zamani wa CCM. Baadhi ya majina yanayofanana

  niliyoyakuta kwenye orodha kama yanavyoonekana hapo chini. Majina
  mengi kutoka Zanzibar na Arusha nimeyakata mimi mwenyewe maana
  yanafanana mno lakini inawezekana kabisa sio ndugu.
  Kama umeona
  mengine, ongezea tafadhali.

  Salma Rashidi KIKWETE
  Mwanaisha Halfani KIKWETE
  Mohamed Mrisho KIKWETE
  Ridhiwani Jakaya KIKWETE
  Hawa ni ndugu na Jakaya Kikwete (M/Kiti wa CCM taifa) au ni majina tuu?

  Vita Rashidi Kawawa
  Zainab Rashid Kawawa
  Hawa wana uhusiano wowote na Rashid Kawawa?

  Bayoum Awadhi KIGWANGALLA
  Hamisi Andrea Kigwangalla (mbunge wa Nzega) – coincidence tuu ya
  majina? Hamisi Andrea Kigwangalla kakatwa anyway.

  Saumu Mohamed BENDERA
  Denis William BENDERA
  Stanley J. BENDERA
  Saum Mohamed BENDERA
  Any connection with Joel Bendera hasa huyu Stanley J. BENDERA?

  William John MALECELA
  Anne Kilango MALECELA
  Definitely hapa hakuna ubishi kuwa wana connection na John Malecela

  Lulu Abbas MTEMVU
  Abbas MTEMVU (mbunge wa Temeke) – jina tuu au ni ndugu?

  Ahmed Mustafa NYANG'ANYI
  Uhusiano na Mustafa NYANG'ANYI (alikuwa mkuu wa mkoa wa DSM)?

  Sophia Mnyambi SIMBA
  Ulanga Agathon SIMBA
  Connection na Idd Simba?

  Aisha Omar Kigoda
  Abdallah Omari KIGODA
  Mashallah (God willed it)

  Stanley Haule KOLIMBA
  Ndugu na Horace Kolimba (kiongozi wa zamani wa CCM)?

  Janeth Maurice Masaburi
  Connection yoyote na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi?

  Halima Mohamed MUDHIHIR
  Undugu wowote na Mudhihir Mohamed Mudhihir aka kisiki cha mpingo?

  Abdul Sued KAGASHEKI
  Connection na waziri Khamis Suedi Kagasheki?

  Beatrice Kasanda MASANILO
  Any connection na mchungaji mstaafu Masanilo wa JF?

  Na mwisho, Dalaly Peter KAFUMU (55) (huyu nilisoma kuwa baada ya
  kushindwa ile kesi yake ya ubunge alisema kuwa ataachana na mambo ya
  siasa lakini naona anagombea. A u-turn?

  Narudia tena, kama umeona mengine, ongezea tafadhali.
   
 2. +255

  +255 JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Tundu Lissu
  Christina Lissu
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mwali kwanza nikupe pole... Ila tu ukweli wa mambo ni kuwa katika Siasa jina lako linapoashiria wewe ni mtoto ama una Uhusiano na mkubwa fulani basi ni rahisi sana wewe kuwa mkubwa pia. Tumeona hata vile chama kuu pinzani cha CCM kinavofurahia watoto wa wakubwa hao wakijiunga...

  Anafunguliwa headline kabisa... "Mtoto wa Fulani ajiunga", Kazi ipo kwa wale ambao wanataka vyeo na ni watoto wa nobody in the name of politics...
   
 4. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  ridhiwani kikwete na jakaya kikwete ni majina tu wala hawana undugu wowote
   
 5. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Good observation Mkuu.
   
 6. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Uchambuzi wako nimeupenda,inavyoonekana undugunaization upo sana ccm.
   
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Nashukuru sijaona jina la Ndugu zangu na kama wapo nahisi hatuna tabia za kurithishana au usultani wa ccm ya leo.

  Haya yatakishwa tu na ccm tutaizika tena baharini kabisa kuleee Nungwi tuisahau kama tulivyomsahau Osama.
   
 8. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wivu tuuu
   
 9. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  ongeza na nyumba ndogo
   
 10. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  makongoro - nafasi ya uwenyekiti mara
   
 11. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Huyu hajarithishwa na mtu yeyote. Katumia nguvu yake mwenyewe kufika pale alipo.
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  aah!watakwambia kama baba ni mwanasiasa basi na mtoto huwa mwanasiasa.kama baba ni mwanajeshi na mtoto huwa mwanajeshi.kama baba ni ccm na mtoto atakuwa ...
   
 13. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Usultani wazidi kukua ccm
  bora kwenda upinzani 2
  kuna afadhali!
   
 14. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Kwa nafasi za kugombea hakuna tatizo. Ndio demokrasia hiyo. Jina la mtu lisiwe sababu ya kumnyima haki yake. By the way, watu wanaweza kuwa na majina tofauti na wakawa ndugu.
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Hizo hasira sasa sijui utaenda chama gani Chadema nako utakutana Tundu Lissu, Christian Lissu, Philemon Ndesamburo, Owenya Ndesamburo, Mke mkubwa wa Dr Slaa, Rose Kamili Slaa.

  Vipi hawa sio ndugu zako Josephat Manyerere, Vicent Nyerere, Leticia Nyerere.
   
 16. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  "Nimepitia majina ya walioteuliwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi CCM" ... mkuu, mjadala wa mwali ni 'surnames' zilizopitishwa leo
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Unamuongelea Freeman Mbowe na Mkwe wake Mtei, Mbowe ndio karithishwa cheo.
   
 18. K

  Kigano JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 349
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli, kama alivyoenda Zitto, Prof Safari, Sugu, Silinde, nk kule CDM kwakuwa ni wachaga !
   
 19. t

  tenende JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  CCM isiyo na Udini wala ukanda hii hapa:Mawaziri wakuu 10 tangu uhuru 8 kati yao wakristo, J.K. Nyerere, Joseph Sinde Warioba, Cleopa Msuya, Fredrick Sumaye, Samwel John Malecela, Edward Lowassa, na Mizengo Kayanza Peter Pinda na WAISLAMU wawili tu Salim Ahmed Salimu na Rashid Mfaume Kawawa (Hii si bahati Mbaya). CCM NI CHAMA CHA KIDINI!
   
 20. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  mkubwa unachana bango kwa hasira natumaini umelisoma na kuelewa na ujumbe umefiua. ULIONA BANGO LIMECHANWA? UJUMBE UMEFIKA !
   
Loading...