• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Mwali
Reaction score
39

Profile posts Latest activity Postings About

 • princess enny
  mwali unapendezaje sasa ukitoa ninja!!!!!!!!!!!!!!
  Azimio Jipya
  hah hah .. maswali nimeyapenda sana ... sasa hivi? ... The MOST GOOD!!! or shall I say MOST INTIMATE ...mhh ... Lol what do u think???!!
  Azimio Jipya
  You r not fare!!! ... Sasa lazima ni chukie anagalau kidogo!!
  Azimio Jipya
  Mwali nataka usimumunyeeeehhh ... tell as it is... Liko WAZI ???? :second:
  Azimio Jipya
  "The sweetest support is found in the most intimate friendship." - I saw this smhere and asked ma self ... where is Mwali going to get an INTIMATE ...!!
  Azimio Jipya
  Oh you oppose? ... hah hah! Ok ... because ... "this doesn't happen often, it happens daily" ... :eek2: or do you have any other question please ..Lol!!!!!

  Lakini honestly napenda confidence LAKE!!!! Lol!!!!
  klorokwini
  I won't say nothing, am sure, you know why I am here.
  klorokwini
  yep uyo uyo deskmate, jamaa anapatiwa misaada kuendesha ule uchaguzi feki halaf hela anafukia. Halaf yule mzembe wetu wa kawaida mbona haonekani? leo niko kibodigad zaidi, nilikusudia nimbamize kisawasawa
  klorokwini
  Usigiv up bana ujue hapa nimeweka deadline ikifika kama sijafanikiwa japo nitamkopa mkuu wa tume superman ili tukamilishe mchakato. Na hao wazembe wawili fanya fasta majina yao yapatikane nihakikishe wanapatiwa ban
  klorokwini
  Usmwambie deskmate! ujue tuna kale katripu ketu sasa wakishtukia sasa ivi watatubania mpaka kale katripu. remember? BTW nimekumiss aiseee! nani alikukera nikamchape?
  klorokwini
  Lakini deskmate, bodigadi pia na yeye anafall in love samtaimu si unaikumbuka movie la marehemu whitney? oops! usmwambie anti ako lakini. Huku si hakuji yeye na anko au?
  klorokwini
  Ndoto deskmate! jana ghafla usingizini nikaota natoka na deskmate ile tunafika geti la billies tu kabla hatujaingia ndani, anko yako akatokea na panga la kuvunia mkonga. Ndoto ikaishia apo
  klorokwini
  Hey hey deskmate! how hav u been? hope uko poa
  will u be my valentine? lol
  klorokwini
  Nimesaini kurasa za awali tu mbona umestuka? lol kurasa za mwisho wala sitozisaini mimi nina hakika utazisaini wewe halafu mimi nitatumiwa kopi tu lol
  klorokwini
  Deal signed, just insisting, only two of us, Ivuga won't be entertained at all lol.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top