Morogoro: Askari ajiua kwa uzembe wa uongozi wa jeshi la polisi

MWANA WA UFALME

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
578
144
AJIYONGA1.JPG

AJIYONGA2.JPG

attachment.php

Source: Global Publishers
 
Kwanini hii habari haifanyiwi kazi?? Inaonekana kuna mkono mrefu toka ngazi za juu huko. Hizi taarifa ni za zaidi ya miaka 4. Inasikitisha sana kuona watuhumiwa wakihamishwa tu huku huyu jamaa mwenye ushahidi akipuuzwa.
 
Serikali hii ya CCM, imeinajisi sana nchi yetu tukufu ya Tanzania. Damu zisizo na hatia zinamwagwa na Viongozi tuliowaamini kutulinda, haki za watu zinauzwa na kununuliwa kama viatu vinavyouzwa dukani.
Ni vema wasome kitabu cha Nabii Amosi kwenye Biblia, waone jinsi uhalifu wa Watawala ulivyosababisha kuanguka kwa dola ya Israeli.
 
hii serikali imeoza, wanafanya madudu makubwa wakiamini kwamba maisha mwisho ni hapa suniani, wamesahau baada ya hapa kuna kujibu pia! ole wenu serikali ya ccm, ole wako vasco!
 
Polisi magamba ni UOZO MTUPU!!!! Kazi ya kulinda uhai wa Watanzania na mali zao imewashinda wamebaki kutumiwa na mafisadi wa magamba ili kusimamisha harakati za CHADEMA kila kukicha.
 
Inawezekana hata tukio hili lipo planted (limetengenezwa).
Sikatai kabisa. Na inawezekana huyu ana siri za kuzuia maandamano ya CDM labda alitaka kuziweka kweupe.
Tatizo hakuna uchunguzi wowote utakaofanywa hapa labda iwe tume huru. Nawachukia sana Polisi nawachukia Pia CCM.
Ila mungu yupo.
 
Inawezekana hata tukio hili lipo planted (limetengenezwa).

Kuna uwezekano mkubwa kuwa huyu Jamaa Aliuwawa kabla ya kuwekwa hapo kwenye mti ili kutuhakikishia amejiua mwenyewe AS PER FORENSIC PATHOLOGY ANALYSIS Unless wanithibitishie hizo picha zilizopigwa sio za kwanza kuchukuliwa au zimechukuliwa wakati marehemu alishabalishiwa Its original Psition akiwa ameshakufa

ANGALIA PICHA ZILIZOPO KATIKA GLOBAL PUBLISHERS KUNA MTU AMEWEKA LINK YAKE HAPO JUU

REASON FROM CRIME SCENE
1. Mtu hawezi kujinyonga hadi kufa wakati miguu imegusa chini na kujipinda ambayo ni ishara kuwa miguu ilikuwa imebeba uzito wa mwili.

2: Kwa nyuma utaona bech ambalo halijaanguka (naasume ndilo alilolitumia kupanda kwenye kamba kama kweli alijinyonga mwenyewe) na lina umbali mfupi sana kufikia kitanzi ambapo kama kweli alipanda kitanzi kisingembana. na kama kingembana na alikuwa kadhamiria kujiua angesukuma bech likaanguka

3: Ukiangalia picha inayoonyesha kisogo kabla ya kitanzi kufunguliwa, Kitanzi hakijabana (kipo Loose) na mtu hawezi kufa kama kitanzi kipo loose

4: Ukiangalia umbali kutoka aridhini hadi alipofunga kitanzi (kama ni yeye) ni mfupi mno na hasa angekuwa kasimama wima hivo inapunguza uwezekano wa yeye kujiua kwa kitanzi

NOTE: SISEMI HAWEZI KUWA KAJIUA MWENYEWE BUT KUNA UWEZEKANO PIA ALIUWAWA KABLA HAJATUNDIKWA HAPO ILI WATU WAFUTE USHAHIDI KUWA AMEUWAWA

AM STANDING TO BE CORRECTED FROM FORENSIC PATHOLOGIST
 
Click on the link below to read usanii wa Nchimbi.

Corrupt police officers to be named, shamed in public

Nimeona.. Yani full maigizo... Huyu jamaa naye hafai hata kidogo.. Anamikwara mbuzi ambayo haieleweki

Siku alipotwekwa Dr Ulimboka alikurupuka eti serikali haiusiki hata kabla watu hawajasema inahusika halafu mwisho akaahidi tume iundwe wakati ashato amajibu kwa mtuhumiwa mmoja.. Dr Slaa alipotoa shutuma za Kuwindwa kuuwawa akaja na Biti la Kutaka Polisi iwahoji nalo sijui limeishia wapi make naona kimya.. Wasomali walipofia Dodoma akakurupuka na Press conference Kuwa hali haitajitokeza tena haijapita hata miezi 3 wangine tena Kilimanjaro wamenusurika kufa wakiwa washaingia nchini sijui wamepitia mipaka ganii

Sijui atakuja na Igizo gani tena.. Ngoja tusubiri.
 
Serikali yote imeshindwa kazi wanachoendeleza sasa ni maigizo tu kila kukicha wakati nchi inaendelea kuangamia. Wale TAKUKURU wamekabidhiwa majina ya mafisadi ndani ya Serikali waliokutwa kwenye bank accounts za nchi za nje na $200 million lakini hadi hii leo wanashindwa kuyaweka majina hayo hadharani kwa madai eti "wanaendelea na uchunguzi"

So bad halafu wanajifanya wako VERY SERIOUS na kudeal na wananchi wa kawaida... Ukitaka kujua walivyojeuri Especialy hao askari angalia yafuatayo

1: Kuzuia maandamano especially ya wapinzani na kukata ya wafanyakazi: HAPA HUWA WANATAARIFA ZA KIINTALIJENSIA ZA FASTA LAKINI SIO KWA WEZI WA MALI ZA UMMA... HAPO HUWA UCHUNGUZI UNAENDELEA.. wakati wa migomo kama wa madaktari na walimu mawaziri na manaibu waziri walionekana kwenye media wakitembelea wenyewe kujionea hali ilivyo ila sio kwa wezi

2: Migomo tena wanayoisababisha wenyewe... hapa utaona mahakama zinavyotoa Hukumu haraka tena wakati mwingine usiku.

MDA SIO MREFU WATAWAJIBIKA KWA VITENDO VYAO
 
Kama kajiua mwenyewe basi ni mjinga .. he wanted to be a hero angewafata hao .. wanaoshirikiana na majambazi kunyonga mmoja badala ya mmoja na kuacha ushahidi pembeni alafu mwisho angejiua mwenyewe na kuacha huo ujumbe.. hapo angekufa as a hero na kumuona mtu wa maana but suicide for nothing ??? ni weakness au upumbavu ..

R.I.P
 
Kwawale ambao ni mara yao ya kwanza kusikia sakata la askari muadilifu Marehemu Donald Julius Mathew, tafadhali soma kiambatanisho hapo chini. Pia ukisoma vizuri utaona jina la ACP Ahmed Msangi (anayehusishwa na sakata la Dr.Ulimboka) akitajwa katika orodha ya maaskari wanaoshirikiana na majambazi.
 
Attachments

  • MAJAMBAZI POLISI.pdf
    256.7 KB · Views: 614
Hii ndiyo nchi ya Nginingi (Kivuli Kinaishi), weupe ni weusi na weusi ni weupe!!! Akina Bibi Kirembwe hawaambiliki kabisaa!!!
 
Back
Top Bottom