SATURDAY, OCTOBER 13, 2012
Waziri mkuu mh Mizengo Pinda atakutana na watanzania waishio UK dhumuni likiwa ni kuzungumzia mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu kisiasa, kiuchumi, n.k.
Pamoja...
Ndugu wana-jamiiforums, tukubali au tusikubali hali ya muundo wa muungano tulionao haibebeki tena. Huu muungano wa serikali 2 hauna nafasi tena katika dunia ya utandawazi. Nayesema haya kwa sababu...
Operation sangara zindua tabora inayoratibiwa na bavicha wilaya imeamsha akili za watu na kuwafanya wafunguke akili zao.mkutano huo wa hadhara ambao uliambatana na viongozi mbali mbali kutoka...
NEWS
By ROSEMARY MIRONDO
Posted Saturday, October 13 2012 at 18:42
IN SUMMARY
The government has banned the Arusha-based company from further producing and distributing ARVs as it...
katika siku ya kumkumbuka mwl nyerere wananchi mkoni dodoma wamemshutumu kwa kujilimbikizia madaraka na kusema kuwa kauli ya mwl nyerere kujilimbikizia madaraka ni ulevi wa madaraka imakosa...
Habari wanajamvi.
Ninaposema leo ni siku ya kukumbuka kifo cha hayati Mwl. J. K. Nyerere sina maana kuwa watu hawajui, la hasha. Ila ninachotaka kuongelea ni juu ya sintofahamu ya ustahimilivu...
Dr Dalaly Peter Kafumu yuko anahojiwa Star tv sahizi katika kipindi cha "Medani za kisiasa" anasema hayuko tayari kugombea tena ubunge kama rufaa yake itashindwa na kuwa ataendelea kushiriki...
Wanabodi.
Katika historia ya siasa nchini inaonyesha makundi ndani ya vyama vya siasa inachangia mgawanyiko mkubwa na hatimaye kusambaritika na ndio mtaji mkubwa kwa chama cha CCM.
Miongoni...
TanzaniteOne rejects calls to give 50pc stake to govt firm
By ADAM IHUCHA Special Correspondent
THE EAST AFRICAN
Posted Saturday, October 13 2012 at 18:32
In Summary
TanzaniteOne has...
Leo ktk mdahalo wa kumuenzi Mwl JK nyerere inayoendeshwa na Dr Mkumbo...Amekubaliana na maoni ya Dr Lwaitama ambaye alitamka kuwa CCM ijiandae kuwa chama makini cha upinzani... pia Nape kamekiri...
Alikoswa koswa kwenye milipuko ya mabomu ya mbagala na gongo la mboto. Sasa anaandamwa na dawa feki za ARV's.
Baba yake mzazi, mzee Mwinyi, alijiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani, hatimaye akaukwaa...
Diwani wa kata ya Nzera(ccm) bwana MSUKUMA ameshinda nafasi ya uenyekiti wa ccm katika mkoa mya wa Geita
Ikumbukwe bwana MSUKUMA aliwahi kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Geita baada ya...
tutasikia mengi juu ya tukio hili.
Mr Liberatus Barlow
By Frederick Katulanda, The Citizen Correspondent
Mwanza. Mwanza Regional Police Commander Liberatus Barlow was...
natafakari itakuwaje mwaka 2015 endapo ccm itampitsha mheshimiwa lowassa kugombea urais ? kwani kwa jinsi inavyojidhihirisha sasa huyo waziri mkuu aliyejihudhuru ngome yake kubwa ni mkoa wa arusha...
Matokeo ya Uchaguzi wa CCM-Tanga
mwenyekiti: Henry dafa Shekifu (mb lushoto)
mchumi na fedha: Stephen Ngonyani (profesa maji marefu)- mb korogwe vijijini
katibu mwenezi: Mathew Mganga
1.DEMOKRASIA FINYU NDANI YA VYAMA VYENYEWE
Vyama vya siasa mbadala vinaonekana kama mali ya watu binafsi,waasisi,wenye mvuto, ambao mawazo yao ndiyo mawazo ya vyama hivyo!Demokrasia ndani ya vyama...
Mkoa wa Dodoma umepata mwenyekiti mpya ndugu Adam Kimbisa atakaye kiongoza Chama kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Ndugu Kimbisa amepata nafasi hiyo baada ya kupata kura 941 Kati ya kura...
Wana JF Nimekaa najiuliza hivi nchi hii ikichukuliwa na CCM hali itakuwaje ?
1. Kuanzia ngazi ya Mtawi viongozi wamepita kwa Rushwa.
2.Ngazi ya Kata ndio usiseme kwa hiyo Rushwa.
3.Katika Ngazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.