Tanzani hatujawahi kupata raisi anayetufa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzani hatujawahi kupata raisi anayetufa.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LENGIO, Oct 13, 2012.

 1. LENGIO

  LENGIO JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 1,033
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Nimefuatilia historia ya maraisi wa Tanzania kumbe hakuna hata mmoja alistaili kuwa raisi.naanza na Nyerere alipokabidhiwa nchi na wakoloni alianza kutaifisha nyumba za watu na shule za dini na mashamba ya waliokuwa anawaita mabeberu,matokeo yake nchi ikakumbwa na njaa 1974 tukala unga wa yanga.1979 akatuingiza kwenye vita na uganda ndipo shida ilianzia hapo tukaambiwa tufunge mikanda miezi 18 alipoona watanzania wanaamka akamuachia mwinyi 1985.MWINYI akaja na rukusa watu tukabeba hela kwenye soks serikali haina hela.1995 akapokea Mkapa akazibiti uchumi vizuri serikali ikawa na hela. 2000 akanza kuuza viwanda matokeo yake watu wakosa ajira viwanda vikageuzwa maghala ya wahindi walionunua na nyumba za serikali akauza la msingi tu alilofanya ni kuzibiti mfumuko bei akaacha dola ikiwa 700 sukari 450 petrol 1200 .2005 akamuachia kikwete mfumuko wa bei ukaanza watanzania tunatangaziwa mara leo rais yuko nchi mara ile eti anafuata misaada na wakati anagombea alisema watanzania wanaokula mlo mmoja watakul milo miwili wa miwili mitatu matokeo yake wa miwili hata mmoja hali watu wanauawa hovyo raisi ni kucheka cheka tuu.sasa nawaomba watanzania raisi ajae kwanza atuhakikishie kurudisha viwanda vyetu na nyumba zetu bila kujali anatoka chama gani.
   
Loading...