Afisa uhamiaji Mwanza anusurika kuuawa kwa risasi na polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afisa uhamiaji Mwanza anusurika kuuawa kwa risasi na polisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matongo manawa, Oct 10, 2012.

 1. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katika kudhihirisha kuwa wako juu ya sheria na hakuna wa kuwagusa,polisi mkoani Mwanza wamekosa kumwua afisa uhamiaji.

  Kwamjibu wa afisa huyo amedai mpango wa kumwua ulikuwa umepangwa na afisa polis Abuu ambaye alikuwa na mahusiano na mke wa afisa uhamiaji kufikia kutalakiana

   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Duh Polisiii khaaaa malavidavi hayo jamani
   
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,673
  Trophy Points: 280
  hii habari nimeikosa star tv!yule kamanda wa mkoa anasema ni bahati mbaya aliingia kwenye mtego wa majambazi!!
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Hukumu ya kunyongwa itumike kwa kila polisi anayeua raia ambaye inagundulika kuwa hakuwa jambazi na wala hakuwa tushio kwa maisha ya askari huyo au maisha ya mtu mwingine. Kesi kwa polisi wanaoua raia ziwe ni kuthibitisha mambo mawili tu (a), kuwa marehemu aliuawawa na askari mtuhumiwa (b) Wakati marehemu anauwawa hakuwa anatishia maisha ya polisi yule au ya raia yeyote (hakuwa na silaha ya kutishia maisha)
   
 5. K

  Kaizer G Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 5
  polisi ni nouma!
   
 6. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Polisi kwanini hawatumii akili wanafikiri wao wapo juu ya sheria?
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hakika iko siku hili litawagharimu!


   
 8. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  auaye kwa upanga nae auwawe kwa upanga
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Ma RPC wote wameuaa saanaa hadi kufikia hapo walipo!wameua mnooooo.....
   
 10. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na kama walivyozoea RPC kakanusha kwa nguvu povu linamtoka,huyo Abuu km ninaye mfahamu ni mpenda ngono sana.
  Afisa uhamiaji pamoja na kujitambulisha jamaa bado alitaka kumshuti,ikabidi atoe gari speed polisi wakalimiminia risasi kwa nyuma.

  Mungu amemlinda Afisa huyo vinginevyo angekuwa amekifa na Chagonja angetoa taarifa kuwa alikuwa jambazi na akawekewa na silaha ya ushahidi.
  Mke wamemnyang'anya halafu na uhai wake wanataka wauchukue!!!! Mbona polis hamna hata huruma.

  Halafu pengine mnisaidie polisi ataendaje kwenye tukio na gari ya kwake binafisi????
  Haya mambo hayavumiliki,polisi sasa inaamua nani aishi na nani afe!!!!!
  Mimi nawaomba wtz wenzagu tuchukue hatua,hatua ya kwanza tukatae au tuwazuie
  Watoto wetu kujiunga na jeshi la polisi,na vijana wahamasishane ktk hili!!!!
  Tuone watapata wapi chinjachinja,pia tutakuwa tumewaepusha watoto na laana hii.
   
 11. T

  The Worshiper JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 301
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wagamba hao
   
 12. T

  The Worshiper JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 301
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Jamaa naona wanataka watumalize wabaki wenyewe.
   
 13. Manager

  Manager JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 532
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Amina na itimie kama ulivyosema
   
 14. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni tukio lililotokea sa 4 usiku jana afisa huyo alipokua anapita na gari yake,ghafla gari yk ikaanza kushambuliwa kwa risasi na askari....aidha askari walipohojiwa wakadai walidhani ni jambazi waliyekua wanamsubiri ambaye walikua wamepata taarifa zake na alikua anattmia gari inayofanana na ya afisa waliyemshambulia.....Tanzania yetu hiyo
   
 15. Simba mnyama

  Simba mnyama JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Utetezi wa Liberatus (RPC) bwana!! Unaweza ukacheka mwenyewe! Kwani ukifananisha gari ndo uanze kurusha risasi! Mie nilidhani wangemsimamisha kwanza na baada ya kuona kuwa ni mkaidi ndo wamvurumshie risasi. Kichekesho!
   
 16. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  aaaiseeeeeee unacheka wakati wanatumaliza hawa.......................................!
   
 17. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,834
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  polisi wamegeuka wauwaji!! babu yangu aliniachia laana nisiwe polisi! naona aliona mbali!
   
 18. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Miezi 6 pale CCP,police hufundishwa kushambulia gari iliyombeba jambazi bila kuwa na target point...hawa jamaa vilaza kweli..
   
 19. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hata uniloge nipate majipu,police hunipeleki..
   
 20. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  jamaa alitoka nduki,akawafungulie kesi pambafu hao.
   
Loading...