Chadema washindwa kutoa tamko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema washindwa kutoa tamko

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tata mura, Oct 12, 2012.

 1. t

  tata mura JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katika Mazingira ya kutatanisha, Chadema wamekuwa wazito kutoa tamko pale maswara nyeti yanapokuwa yanawahusu.

  Madiwani wa Chadema walipanga njama za kwenda kujirusha Rwanda, kwa matumizi makubwa ya pesa za walipa kodi. Kwali hiyo Viongozi wamekuwa kimya hadi sasa au ni kwa kuwa ni nyumbani!. Hapa Wapinzani wao waliwaotea na kuwanasa kwa kukwamisha njama hizo. Je bado wanatafakari jinsi ya kujiosha?.


  Tume za kuchunguza mauwaji ya Mwandishi wa habari ziliundwa huku wanaojiita wasomi kuliko wenzao wakawa wanaziponda kwa kutoziamini, lakini zote zimetoa majibu ya awali ya uchunguzi wao na mbili kati ya tatu zikionyesha kuwapa kipaumbele Chadema. Lakini hadi leo hakuna Bunduki (Slaa) wala Mbowe na hata Tundu Lisu aliyesema lolote juu ya hili. Au bado hawaamini matokeo? Kama hapa mnakuwa wazito kiasi hicho je mkipewa Nchi tamko si litachua mwaka?. Endeleeni kujipanga huku matukio mapya yanatokea lenu litakuwa onekana la kawaida, kuliko mtakalolikuta wakati huo.


  Bora kwenda kw wakati kuliko kusubilia wakati.
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe kweli una jua kinacho endelea nchini? Kwani vicent nyerere aliongea nini jana? Kwani mpaka umsikie mbowe au Tundulissu?

  Ni bora uka kaa chini ukachunguza kwanza kabla ya kuandika mkuu!
   
 3. y

  yaya JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni *****, unawasha. Na kwa sababu unawasha basi, unakera pia.
   
 4. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watu wengine ni vilaza kweli?
   
 5. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Ruttashobolwa

  Tusichoke kuwapatia elimu watu wa namna hii. Kuna watu wengine hawako in touch kabisa na chochote anachotaka kuandika, lakini wana ujasiri wa ajabu kukianzishia thread hicho hicho ambacho hawana uhakika nacho au hawakijui kabisa.
   
 6. y

  yaya JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni u-pu-pu, unawasha. Na kwa sababu unawasha basi, unakera pia.
   
 7. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Watoe tamko kwani ni suala la ufisadi manake sera yao ni ufisadi tu
   
 8. Nyiluka

  Nyiluka Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kuhusu ile trip ya Rwanda wameonesha kwamba nao ni ccm remix hawana jipya
   
 9. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kuhusu suala la madiwani Moshi lilishatolewa ufafanuzi, inaonyesha wewe si mfuatiliaji wa vyombo vya habari.
  Kuhusu Riport ya uchunguzi wa Kifo cha Mwangosi kasome gazeti la leo la MTANZANIA DAIMA.

  ACHA KUROPOKA USIVYOVIJUA.
   
 10. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ziara ya madiwani moshi iko palepale kwa sababu ni kwa maendeleo ya manispaa ya moshi.
  na ni mpango uliobarikiwa na kikao halali na hilo hata ccm wanalijua.
   
 11. G.T.L

  G.T.L JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 208
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  This Sh*t Crazyyy!!!!!!
   
 12. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Jibu swadakta kbs.
   
 13. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Na vilevile wanao kwenda huko si madiwani wa CHADEMA pekee bali hata hao magamba wanakwenda wakiongozwa na Mkurugenzi wa manispaa ambaye ni gamba mwenzao.
   
 14. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  ukibishana na magamba unapoteza muda wako kama una muda pumzika kitandani upate afya achana na magamba ndugu yangu!!
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hivi ziliundwa Tume au kamati?
   
 16. t

  tata mura JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa hiyo penye tamko mnataoa ufafanuzi, au hujui maana ya ufafanuzi ni kama njia ya kujitetea?. Moshi vijijini nasikia tena tumeshindwa umeya, na kuamua kuwapa ccm.
   
 17. h

  hans79 JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Kuhusu kuzama meli au mauaji ya raia? Karudishe akili pahala pake.
   
 18. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,477
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Ziara ya Rwanda itatumia Tshs 200 Ml unataka CDM watoe tamko kwa nini usiulize serikali yako imetoa tamko gani kuhusu zaidi ya Tshs 300 Bln zilizohifadhiwa Uswiss au shida yako ni chokochoko kwa vitu vidogo unaacha vikubwa.
   
 19. t

  tata mura JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama ndivyo kwa nini ukimbilie vikubwa huku vidogo vinakushinda, au ndo kauli ya vijicent?. Je hujui kuna kiongozi wa Chadema yupo huko nje anakula pesa za chama kwa mgongo wa wachache kwa ziara mbalimbali na kujua nchi kwa rambi rambi yako, akirudi nani wa kumhoji alicho kujanacho kipya?. Watanzania waliopo nje ya Nchi si tegemeo la maendeleo, wenzetu wanahangaika na maendeleo nyine mnaenda kutafuta wanachama ambao leo wapo kwenye chama hiki kesho kile kulingana na upepo unavyo vuma. Au anatafuta wafadhiri?
   
 20. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  huyu atakuwa kama si demu basi ni mke wa riz1 anahofia cdm ikichukua nchi basi yeye huenda akaachwa
   
Loading...