Chadema kuelimisha wananchi wa tabora kata ya isevya kesho jioni

kapya

Senior Member
Oct 5, 2012
153
54
program ya operation sangara zindua tabora inayoratibiwa na bavicha wilaya tabora,inaendelea kesho saa tisa alasiri maeneo ya kata ya isevya sokoni.makamanda na viongozi mbali mbali kutoka mkoani,wilayani na vyuo watakuwepo ili kutoa somo kwa wakazi wa kata ya isevya.maandalizi yote yamekamilika na matangazo yamepita mda si mrefu maeneo ya tukio.
m4c.................peoples ................power...............a.k.a twanga kote kote mpaka kieleweke.
 
Viva m4c, mabadiliko lazima kuanzia isevya-ipuli-kazima-kidudo kote zungukieni mpaka kitaeleweka tu,
 
Back
Top Bottom