Ccm wamekuwa wazurri sana na kucheza na matukio,ni lazima mtengeneze think tank ya chama,kazi yao iwe kufikiri tu,yafuatayo ni baathi ya matukio ambayo ccm wamecheza nayo ili kutuondoa kwenye...
Ndugu wadau wa Jamii Forum najaribu kujiuliza na kufikiri mara 2 mbili lakini sipati jibu! Hivi hawa jamaa wa CUF wamo kwenye ulingo kweli au hawajielewi baada kufunga ndoa ya mkeka kule Zenji...
Nimesoma habari ya Mh Nape kushangiliwa alipoingia katika ukumbi wa Mkutano wa Uchaguzi wa viongozi wa UVCCM Taifa pale Dodoma.
Vijana waliamini uwepo wa Mh Nape katika uchaguzi ule, kwa kiasi...
Habari za mchana Wadau wa mabadiliko na mapinduzi ya kweli ya Tanzania.
Napenda kuwataarifu kuwa Vijana wa UVCCM kutoka Kanda kuu ya Ziwa na magharibi ( Shinyanga,Geita,Simiyu, Mwanza,Mara...
Zipo taarifa kuwa chadema chini ya kamanda mbowe itavunja baraza kiviri na kushirikisha vyama vingine vya upinzani huku nafasi ya naibu mkuu wa upinzani ikienda cuf na mnadhimu atatoka nccr chanzo...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji...
Mbunge wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano wa Chama cha Mabunge Duniani Mhe. Hamad Rashid Mohamed ameteuliwa na kamati tendaji ya chama cha Mabunge duniani (IPU) kuwa mjumbe wa kamati...
MWENYE MACHO HAAMBIWI TIZAMA
kwanini jeshi la polisi lilikataa kuwa hawahusiki na utekaji wa sheikh faridi wakati waliomteka walijitambulisha ni askar na kumuonesha vitambulisho kabisa suala...
Tuesday, October 23, 2012
*Wajumbe wamwita 'jembe' ukumbini
*Acharaza gita na Vijana jazz, ukumbi walipuka kushangilia
Nape akicharaza besi na Vijana Jazz wakati wa mkutano huo...
Wana JF CCM inatisha sana. Mbunge wa Rombo analalamika CCM wamemwaga mamilioni uchaguzi wa udiwani na wananunua shahada. Anaomba makamanda wenye mapenzi mema tuchangie kwa ajili ya wale walioko...
MBOWE ASEMA UJENGWE MFUMO MPYA KUSAIDIA CCM KUKABIDHI MADARAKA BILA VURUGU
SERIKALI imetakiwa kuandaa mfumo wa kikatiba utakaowezesha chama cha upinzani kuongoza iwapo kile kinachotawala...
Habari zilizopo ndani ya CCM Arusha zinadai kuwa muda si mrefu CCM ikiongozwa na mwenyekiti wao watatumia mwanya wa kufanya sherehe kwa mji wa Arusha kuwa jiji na kukabiziwa barabara kama njia ya...
Waka sawa muungano wa tanganyika na zanzibar usiwe mali ya chama uwe mali ya nchi na nchi kwa maslahi ya wananchi wa pande zote mbili
serekali ya tanganyika tanzania iwache kuingilia bakwata kwa...
Mzee Shelali akipewa bendera ya CHADEMABendera ya CCM ikishushwa nyumbani kwakeWatoto wakiichana bendera ya CCM iliyoshushwaBaada ya kukabidhiwa kadi ya CHADEMA Makamanda jana...
Kuna taarifa tumepata kutoka sehemu mbalimbali hapa Arusha kuna watu wanapita wakishawishi watu wawauzie shahada za kupigia kura
najiuliza kama taarifa hizi ni kweli je ni njia mojawapo ya CCM...
Wakuu kesho makamanda wa CHADEMA tawi la ST,Augustine University Mwanza watakuwa katika kata ya Rwezera mkoani Geita kusaidiana na mkamanda wenyeji wa kule kupiga kampeni za mwishomwisho za...
That's treasonable, Tendwa tells Chadema
THE Registrar of Political Parties, Mr John Tendwa, has described last week's move by Chadema to issue an ultimatum to President Jakaya Kikwete as...
Breaking News
Uchaguzi wa UVCCM unaoendelea huko Dodoma umetawala vimbwanga watu wanatoa Rushwa kama ni agizo la chama!!Vijana wa vigogo wamemwaga mshiko sana na hawaogopi Takukuru...
Kifaa kimojawapo cha rada inayotumika kuongozea ndege katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) iliyokuwa katika matengenezo baada ya kuharibika, kimepelekwa nchini Afrika Kusini kwa...