CHADEMA Kushirikisha wapinzani kuongoza kambi rasmi bungeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Kushirikisha wapinzani kuongoza kambi rasmi bungeni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwemanga, Oct 23, 2012.

 1. m

  mwemanga Senior Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Zipo taarifa kuwa chadema chini ya kamanda mbowe itavunja baraza kiviri na kushirikisha vyama vingine vya upinzani huku nafasi ya naibu mkuu wa upinzani ikienda cuf na mnadhimu atatoka nccr chanzo ni tetesi toka vyama vitakavyo shirikishwa taarifa toka ktk matawi.
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,591
  Likes Received: 9,524
  Trophy Points: 280
  zitabaki kuwa tetesi mpaka pale zitakapothibitishwa............
   
 3. k

  katayama Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakun kitu kama hicho
   
 4. t

  thatha JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,228
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Too late.
   
 5. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,596
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kushirikisha kina nani hao weka wazi umekuwa kijumla sana
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Huu ni uongo.Chama cha upinzani Tanzania ni kimoja tu CDM.Vingine ni mawakala wa ccm
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,189
  Likes Received: 4,543
  Trophy Points: 280
  Siasa hazina muamana hata kidogo.
   
 8. g

  gagonza JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 309
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  kama ni kweli sikubaliani kumpoteza tundu lissu,kwenye hiyo nafasi.kama ni lazima bora kusiwepo huo ushirikiano.
   
 9. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,084
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Kushirikiana na CUF?.....................unajua walichofanya Mwanza wakati wa uchaguzi wa Umeya?
   
 10. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 6,857
  Likes Received: 3,988
  Trophy Points: 280
  Mkuu, "tantarira" zako zote ningeweza kuzikubali isipokuwa hapo kwenye mnadhimu ndipo ulipoonesha hata kudanganya hujui. Nakuhakikishia tangu nchi hii ipate uhuru hapajaondekea mnadhimu bora kama huyu wa sasa hivi.
   
 11. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Upinzani ni Chadema tu, utakuwa mwendawazimu hata kudhani chadema tunaweza kumshirikisha cuf kwenye kambi ya upinzani, cuf tayari wako kwenye kambi ya chama tawala kama hujui!
   
 12. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hakunaga upuuzi kama huu.
   
 13. L

  Liky Senior Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hiyo itakuwa habar nzuri.bila ushirikiano vyama vya upinzan vitaendelea kugawana kura na ccm kuendlea kutawala.wafanye hivyo
   
 14. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Thubutu CUF si tayari ana MUME wake na wanapendana kweli.
   
 15. m

  majambos Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  may hili ni pandikizi
   
 16. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 133
  Kwangu mimi siamini kitu kama hiki hata kidogo kwani naona chama cha upinzani ni CDM tu wengineo waliobaki wapo kama wapo.
   
 17. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Acha blah blal, CDM siyo wajinga kiasi hicho. Watakuwa walikataa nini na sasa wanafanya nini? Tetesi hizo ni za uongo kabisa.
   
 18. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  mwone kwanza,macho kama avatar ya asigwa.:A S-rap:
   
 19. n

  nyantella JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 883
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Jana nilimuna Sheikh Farid wa uamsho kule Zunjibar, kumbe naye ni Pipoz?!!!
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,395
  Likes Received: 1,550
  Trophy Points: 280
  Waungane na CUF au NCCR ya Mbatia?
   
Loading...