Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

huku askari wa miguu wamekwisha ivamia kagera toka walipomaliza kuiteka Arusha, kazi imebakia kwa majemedari prof lipumba na maalim seif kusimika bendera ya ukombozi kwa mkoa wa kagera na kuchukua...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Jamaa yangu alienda regency hopital kwa ajili ya check-up,alipofika maabara pamoja na kuwa na manung'uniko mengi ya kusubiri kupimwa( mfano damu kwa ajili ya maralia) KUSUBURI SAA MOJA NA NUSU...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama mtanzania ninaomba kuwasilisha maoni yangu kwenye mchakato wa kupata katiba mpya kama ifuatavyo. 1.Katiba mpya ianishe mipaka ya Tanzania na nchi jirani na siyo kuishia kuitangaza TANZANIA...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni aibu tena aibu ya mchana kweupe, watu wanaokataliwa na wananchi, ccm na serikali yake inawafanya mali tena adimu sana ndani ya jamii. Deodatus Kamara-Balozi Eng. Msekela Mantumu mahiza-RC...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, sheria zetu za kupambana na rushwa haziwaruhusu PCCB kufanya haya ambayo Taasisi ya Kuzuia Rushwa nchini Malawi (ACB) wamejaribu kuyafanya? Bila hatua kama hizi ambazo zitasaidia kuweka...
0 Reactions
72 Replies
14K Views
Uraia wa Tanzania utamkwe pasina kuweka mashaka. Sina tatizo na aina zote za 'uraia' tulizonazo...ila ningependa ule wa kuandikishwa kigezo kimoja kiwe mwombaji awe na moja ya sifa kuwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tuesday, October 16, 2012 Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia mkutano wa hadhara huko Nungwi Maalim Seif...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Maandamano ya kidini Tanzania Polisi nchini Tanzania wamewakamata watu 126 baada ya mashambulizi ya wiki jana dhidi ya makanisa mjini Dar es Salaam kwa mujibu wa kamanda wa polisi. Waisilamu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume ya maoni ili kuweza kupata katiba mpya, amesema kuwa kwa wananchi wa Dar es salaam kutoa maoni yao ni katikati ya mwezi ujao. Pia amesema hawataweze kuwafikia kila mtu. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Yaliyojiri Mahakama KUU Kanda ya Dar ES Salaam leo tar. 15-10-2012, Kesi ya Mhe. Hamad Rashid Mohamed (MB) jimbo la Wawi CUF na wenzake dhidi ya chama cha Wananchi CUF. Katika ishara inayoonyesha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
baada ya kusoma maoni ya waziri kiongozi mstaafu wa SMZ na waziri ktk serikali ya muungano kwa sasa ndugu shamsi vuai nahodha akichangia kwenye ukusanywaji wa maoni kwa ajili ya katiba mpya ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Wana JF. Kuanzia sasa ndani ya masaa 24 Dr Ulimboka kuwataja wale wote waliyomfanyia vitendo vya unyama na utekaji tusibiri Dr Ulimboka atasema nini. SOURCE; MLIMANI TV.
2 Reactions
83 Replies
9K Views
VIDEO – MAONI YA WAWAKILISHI KWA TUME YA MAREKEBISHO YA KATIBA; 1 | Mzalendo.net VIDEO – MAONI YA WAWAKILISHI KWA TUME YA KATIBA; 2 | Mzalendo.net VIDEO- MAONI YA WAWAKILISHI KWA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natazama sherehe za kuuzima mwenge hapa TBC1 kule Shinyanga. Rais alipokabidhiwa mwenge na Capt. Honest Erenest Mwanosa, aliushika huku mkono wa kulia ukiwa chini, wa kushoto juu, wakati kinyume...
1 Reactions
60 Replies
9K Views
MALAWI, LILONGWE | October 08, 2012 UK-based petroleum company Surestream plans to go ahead with its oil exploration on Lake Malawi despite the escalating tensions between Malawi and neighboring...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Malima Leo katika magazeti amesema ,Msigwa Sugu na Silinde hawana sifa za kuwa viongozi, huyu ni malima anayetembea na silaha za kivita,akiwa kwenye mahoteli na Malaya ,jimbo lake la mkuranga...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
HAWA NDIO WAGOMBEA WA UENYEVITI WA VITONGOJI KATA YA USA-RIVER, ARUMERU MASHARIKI KWA TIKETI YA CHADEMA. Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu na muhabarishaji wangu. mgombea mmoja picha yake...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika harakati zangu,leo nimebahatika kuwa Manispaa ya Sumbawanga na kuhudhuria Jukwaa la maoni ya Katiba Mpya,Stay tuned here for more updates.
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Rais wa zanzibar Dr.Ali Mohammed Shein Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein amemwachisha kazi Waziri asiyekuwa na wizara maalum Mansoor Yussuf Himid na kumteua Bi Shawana Buheti Hassan kuchukua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaji Warioba amesema" Kutokana na hali ilivyo na hali ya kisiasa ilivyo hapa nchini, lazima uchaguzi ujao 2015 tuwe na katiba mpya la SIVYO HALI TUNAYOIONA HUKO VIJIJINI NA MAONI YANAYOTOLEWA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom