CUF vipi? Mbona siwasikii tena wametokomea wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF vipi? Mbona siwasikii tena wametokomea wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtabe, Oct 25, 2012.

 1. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu wadau wa Jamii Forum najaribu kujiuliza na kufikiri mara 2 mbili lakini sipati jibu! Hivi hawa jamaa wa CUF wamo kwenye ulingo kweli au hawajielewi baada kufunga ndoa ya mkeka kule Zenji Bar?? Naomba kuwasilisha. [​IMG]
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Wanashughulikia Rufaa ya Viongozi wa kitengo chao cha uhamasishaji maarufu kama uamsho
   
 3. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,847
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  V4c iwapi wandugu!!
   
 4. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Wapo Arusha japo kila wanapofanya mkutano wanaambulia kupigwa na nyanya mbovu.

  Nwy, Wanajaribu lakini.:A S cry:
   
 5. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Wapo nchamba wima wala tende na aluwa,wakitoka hapo nasikia V4C inaenda kuchakaza mbeya mjini,mwanza mjini alafu watamaliza kwa msigwa iringa mjini...........sina mbavu kwa kicheko,mtatiro hivi mzima kweli
   
 6. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Walifikiri watanzania wanadanganyika, wakati wa Prof. Lipumbu kustaafu siasa umefika! Huku arusha wanazomewa kila Kona!
   
 7. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...mkuu CUF wananyonyesha ndo maani siku hizi uwaoni...kwa taarifa yako CUF walijufungua mtoto anaitwa ADC,kwahiyo usiwalaum kwa kutooneka coz mtoto wao bado ni mchanga hivyo anahitaji uangalizi wa karibu kutoka kwa mama yake...
   
 8. m

  malaka JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wapo wanatunga single mpya. V4C haijauzika.
   
 9. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao wake wa ccm-a wanaitwa wazee wa photocopy.......wanasubiri kukopi kwa chadema....wanasubiri cdm wakipita na wao ndipo wnapita na hata kauli mbiu husubiri kwanza chadema waanze alafu wao huja na ya kwao ya inayoelekeana na hiyo mfano mdogo....
  Operation sangara walikuja na ya kwao
  m4c na wao walikuja na ya kwao
  cuf wana fikra mfu
   
 10. chagaboy

  chagaboy Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 25, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aslaam aleykum!
   
 11. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndoa tamu km asali we hujui tu mpaka leo?
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huwasikii uamsho?
   
 13. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wako bize na rafiki zao uamsho,si unakumbuka juzi wamechoma maskani ya ccm! Cuf ni active sio mchezo!
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hatutaki makanisa yachomwe waacheni wapumzike CUF
   
 15. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wanatafakari poeresheni yao ya Mbagala.
   
 16. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wanapanga kuchoma kanisa la Katoliki la st joseph posta
   
 17. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  CUF wameshashika dola. Unataka wapige kelele za nini?

  Wote wana njaa tu.
   
 18. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,797
  Trophy Points: 280
  fedha walizo pewa na ccm zimeisha inabidi waende wakajieleze upya ili jamaa wawape tena ili waendelee na siasa za zilizo kosa mvuto.
   
 19. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Wako likizo hela ya kufadhili kampeni zao imeelekezwa kwenye chaguzi zinazoendelea!! Subiri kidogo, chaguzi zikiisha utawasikia!! Chezea Nyinyiemu weye!
   
 20. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sasa hivi wamejipambanua kwa sura tofauti ya UHAMSHO.
   
Loading...