Chadema kuweni makini kwa hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kuweni makini kwa hili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KITENGE KOFIA, Oct 25, 2012.

 1. K

  KITENGE KOFIA Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ccm wamekuwa wazurri sana na kucheza na matukio,ni lazima mtengeneze think tank ya chama,kazi yao iwe kufikiri tu,yafuatayo ni baathi ya matukio ambayo ccm wamecheza nayo ili kutuondoa kwenye mada:-
  1.wakati wa vuguvugu la katiba serekali ya ccm ilikuwa ipoteze uhalali wa kuongoza nnchi ndipo walipokuja na issue ya babu wa loliondo,watuu wote tukahamia loliondo upepo ukapita,
  2.wakafanya nini kuikabili m4c,,walipandikiza udini kwa nguvu zote.hasa kupitia vyombo vya kiislamu vilete fujo kila kona ya nchi hii,faida ya jambo hili ni kwamba watu watahamia kwenye mijadala ya udini na kuacha agenda za kisiasa,ambazo zingeweza kuhatarisha usalama wao wakuwapo madarakani.
  3.ccm wamekuwa waasisi wa vurugu kila kona,hasa kwa wanachama wa chadema,mfno ni muda mfupi tu mwana chadema amepigwa maeneo ya daraja mbili arusha  viongozi wa chadema tafuteni majibu ya hiz mbinu.sivyo m4c inaweza kwama huko tuendako
   
Loading...