Ingekuwa utawala ni wako huyu ungemfanyia nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ingekuwa utawala ni wako huyu ungemfanyia nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Miwatamu, Oct 18, 2012.

 1. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Hawa tunawaita watu poli lakini ni watu ambao pamoja na umaskini unaowazunguka hawataki kupitwa na usasa uliopo mjini, je, ingekuwa ni utawala wako mtu aliyeweza kubuni kitu hiki ungemfanyia nini?
   

  Attached Files:

 2. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  nikumsaidia zaidi vifaa maana anaonekana anaweza vyumbua vitu vizuri zaidi ya hiki
   
 3. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acha upumbavu wewe unapost upuuzi wako humu kusumbua wachangiaji...Weka mambo yanayoisumbua nchi ili watu watoe mawazo yenye mustakabali wa Taifa...Yani wewe katika yoote yanayolikabili taifa kwa sasa na vyombo vyote vya habari vinavyoyatangaza wewe umeona hili ndo la maana...We GT gani sasa?
   
 4. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Ni kweli Mwanaweja lakini kwa utawala tulionao sasa ni yupi wakujishughulisha na mambo kama haya? Viongozi wako busy kujiongezea utajiri zaidi.
   
 5. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  wabunifu kumbe tunao wengi basi hatuna utaratibu wa kutambua vipaji kwa walioko mikoani hasa vijijini
   
 6. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bora ungepost kwamba Kama ingekua utawala wangu Shehe Ponda ningemfanyaje hapo tunachangia ili hata mamlaka hizi zilizoshindwa zimfanye nini zingejua kwamba ninge Mchinja hadharani ili nao wafanye hivyo kama wakipenda
   
 7. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Gwakisa usiwe mkali saaaaaaaaaaaaaana! si lazima wote tuzungumzie habari za akina Ponda au makanisa kuchomwa, kuna threads nyingi zimeshazungumzwa na kama hujui endapo katika utawala wako utashindwa kutambua watu kama hawa, matokeo yake ndiyo kama haya tunayoyaona sasa. We kalakabaho tu.
   
 8. mayonise

  mayonise JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ni mawazo yake
   
 9. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Nenda home page kisha chagua mahali pa kupost hii kitu, SAWA?
   
Loading...