CCM, CHADEMA wagombea msiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM, CHADEMA wagombea msiba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kix, Oct 18, 2012.

 1. kix

  kix JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Viongozi wawili wa vyama vya cdm na ccm katika wilaya yambeya mjini juzi waliingia katika malumbano kila chama kudai msiba huounakihusu.
  Msiba huo ulikua wa mama mmoja anayefahamika kwa jina laRosemary Mbwete wa eneo la Mwanjelwa.katika tukio hilo viongozi na wanachamawalitoa kwaajili ya matangazo na muziki.Chadema ndio walikua wa kwanza kuwasilina gari lao mapema saa 3:00 asubuhi na kutaka kuhodhi msiba huo.mvutano huoulikuja baada ya viongozi wa CDM kuwazuia viongozi wa CCM waliotaka kutumiagari hilo llilitolewa na CDM kwaajili ya shughuli za matangazo.
  Kitendo hicho kiliwalazimisha CCM kwenda kuleta gari la kwaona kusababisha eneo hilo kua na magari mawili ya matangazo.hali hiyoilisababisha kutokuwepo kwa maelewano kwa kua magari yote yalikua yanapigamziki na matangazo kwa wakati mmoja.
  Hali hiyo ilimlazimisha mtendaji wa kata ya Ruanda ElizabethKalinga kuingilia kati na kwamba hayuko tayari kuona amani inavunjika katikaeneo hilo.alitaka kila chama kufuata utaratibu,hatua iliyosaidia kurejeshautulivu.
  Akizungumzia tukio hilo mwenyekiti wa CDM wilaya ya mbeyamjini John Mwambigija alisema waowalikwenda msibani na kuweka bendera ya CDM kwaajili ya kumfariji mwezaoaliyefiwa na dada yake kwa mujibu wa kiongozi huyo marehem alikua kada wa CCM."unajuasisi tupo karibu na jamii na michango tunayotoa ni mikubwa hali inayowatishaCCM ndio maana waliamua kutufanyia vurugu"alisema.
  Kwa upande wake mwenyekiti wa ummoja wa wanawake CCM wilaya ya mbeya mjini Shija mwakatundualisema kitendo cha cha CDM kwenda kwenye msiba wa CCM na kuweka bendera zaokinaashiria vurugu na uchonganishi.

  Chanzo mwananchi October 18, 2012 pg 3
   
 2. S

  Shembago JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kawa jamaa ndio kazi yao maana hat huku Morogoro huwa wanavamia misiba isiyowahusu na kuleta umagamba kwenye misiba,maana watu wanakataa Bus la Abood ambalo hulitoa katika kila msiba unapotokea hapa mjini,mimi naita hii ni kafara kwa biashara za huyu Bwana wala si Usamaria mwema!
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Msibani huwa tunakwenda kumfariji Mfiwaa ama marehemu?
   
 4. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mmmmmm, aliyefiwa ni wa chama gani?
   
 5. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku hizi vyama vyetu vimegeuza msiba kama sehemu ya kujijenga.
  Hivi hali hii kaanzisha nani CCM au CHADEMA?
   
 6. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Walioanza ni nani? Sasa ngoma droo.
   
 7. kix

  kix JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kada wa CCM.
   
 8. kix

  kix JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ilianzia kwenye misiba mikubwa ya viongozi sasa hadi misiba midogo wanaingiza siasa.yani kila kitu sasa kimekua siasa kweli tumefika mbali.
   
 9. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kama marehemu alikuwa kada wa cdm basi ccm wakorofi vivyo hivyo kama marehemu alikuwa kada wa ccm, cdm wamefanya ubabe ?
   
Loading...