Ufisadi tena: EWURA walipandisha bei ya mafuta kufidia chaguzi za CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi tena: EWURA walipandisha bei ya mafuta kufidia chaguzi za CCM!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwikimbi, Oct 2, 2012.

 1. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  ukweli utabaki kuwa ukweli!

  ni wazi kuwa kada wa ccm haruna masebu, ambaye ni mkurugenzi wa ewura yuko kazini kisawa sawa, masebu ambaye akiwa mkufunzi wa chuo cha ardhi wakati ule, alikuwa pia ndiye katibu wa ccm tawi la chuo cha ardhi na swahiba mkuu wa lowasa. lowasa alivyochaguliwa mara ya kwanza kuwa waziri wa ardhi, jambo la kwanza lilikuwa ni kumteua masebu kuwa mkurugenzi mkuu wa national housing, baadaye PSRC na sasa EWURA.

  wiki mbili zilizopita ewura ilitangaza ongezeko la bei ya mafuta kwa kiasi kikubwa, ongezeko hilo lilikuwa ni makubaliano kati ya mtu huyu na makampuni makubwa ya kifisadi ya mafuta na mkumbuke kuwa chaguzi za ccm nazo zilianza wiki mbili zilizopita. makampuni hayo yalikuwa yanatoa kama shs 100/- kwa kila lita ya mafuta hayo kufidia au kugharamia chaguzi za ccm

  chaguzi za ccm zinakaribia kumalizika, na kwa kuwa ewura wanaogopa kuumbuka, leo wametangaza kushusha bei za mafuta karibia na ile bei iliyokuwepo kabla ya kupandisha kupata fedha za kufidia chaguzi za ccm.

  ewura waje hapa wakane taarifa hii, nitawapa data toka yanakoagizwa mafuta , na hali ya mafuta nchi jirani za soko la pamoja la afrika mashariki.

  ni vema pia kwa hujuma hii mkajua masebu ni ani katika nchi hii, ambapo uraia wake ukweli ni toka nchi ya rwanda

  solurce" wazalendo ndani ya ewura
   
 2. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mwikimbi

  Duh!! Mkuu leo EWURA wametoa taarifa ambayo inaonyesha kwamba kuanzia kesho Jumatano bei ya mafuta ya petroli na dizeli inashuka.

  EWURA imetoa bei mpya kikomo ambazo zitaanza kutumika Jumatano, nchini kote zikiwa zimeshuka kwa shilingi 306, kwa lita ya petroli, shilingi 192 kwa lita moja ya dizeli huku mafuta ya taa bei zikibaki bila kubadilika.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mafuta ya petrol kwa Dar es Salaam zitakuwa shilingi 1,994 kwa lita moja ya petroli ikiwa imeshuka kutoka shiling 2, 300 ya bei ya mwezi Septemba, mwaka huu, huku mafuta ya dizeli bei yake ikishuka hadi kufikia shilingi 1,950 kutoka shilingi 2,142, wakati mafuta ya taa yakibakia shilingi 1,993 kutokana na kutoingia meli yoyote ya mafuta hayo.

  Bei hizo zitaendelea kuongezeka kutokana na gharama za usafirishaji kutoka Dar es Salaam kwenda mikoani, ingawa kwa ujumla katika kila eneo punguzo litakuwa ni shilingi 306 na shilingi 192 kwa petroli na dizeli kwa lita moja.
   
 4. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Masebu na wenzako masaburi yenu
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Dar kweli hakuna siri sdiku hizi, kila kitu kipo wazi sana.
   
 6. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ....daaaaa! Nchi hii ni balaaa...mheshimiwa alosema ukitaka kula lazima nawe uliwe...ajabu twaliwa sie tuuuu....
   
 7. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Huwezi kuutofautisha Uongozi wa ccm na Uongozi wa Shetani utakao kuwepo Jehanamu.
   
 8. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Goodness Gracious!!!
   
 9. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  jameni hivi hao sisiem hawana bajeti ya kuendesha mambo yao? mbona tunaambiwa chama kina miradi mingi? lkn cha ajabu utasikia ujanjaujanja wa kuiba hela ya walalahoi na kuendeshea chaguzi, vikao, etc mfano EPA, na sasa ewura. yana mwisho! na mwisho wa haya upo karibia kufka.
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Bei ya petroli kwenye soko la dunia inashuka. Hapa Marekani wiki hii petroli imeshuka kwa kadri ya senti tatu kwa gallon moja.
   
 11. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Now naelewa kwa nini TRA hawana ubavu wa kukusanya kodi za mafuta ipasavyo.Tanzania watangaze sheria yao ya matumizi ya machine za TRA hakika ni vituo vichache sana machine hutumiwa wote huandika kwa mkono ukiomba risiti.Nimekuwa najiuliza juu ya maamuzi ya matumizi ya machine sasa nimejua hawaweza kusema lolote maana CCM wanafadhiliwa .Shame on you CCM
   
 12. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  The listed to prosecute -2016
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kumbe bado chama kinashika hatamu!
  Ninachojiuliza ni kwamba hizi Regulatory bodies zinadhibitiwa na nani?
   
 14. Kyakukanwa

  Kyakukanwa Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Uwe na uhakika na taarifa unazotoa! Unasema wiki mbili zilizopita ndio bei ya mafuta ilipanda..una uhakika na taarifa yako? Bei zinabadilika kila mwanzo wa mwezi ndio Ewura wanatangaza bei elekezi..sasa unapotengeneza hoja kuwa bei ilipanda kwajili ya chaguzi za ccm wiki mbili zilizopita ni uzushi ambao huwezi hata kuutetea! Huna hoja tafuta hoja nyingine!
   
 15. a

  adobe JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  ahsante sana mwana jf.huyu masebu ni chakula cha magamba
   
 16. Kyakukanwa

  Kyakukanwa Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Bora uwaambie maana wanadhani hizi bei hapa nchini ewura wanajiamulia tu kupandisha au kushusha!
  Bei ya mafuta nchini hutegemea bei kwenye soko la dunia.
   
 17. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Kakimbia tayari!!
   
 18. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,428
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  ndugu ewuru hutoa bei elekezi ya nishati kila baada ya wiki mbili na sio kila mwanzo wa mwezi kama ulivyodai
   
 19. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Mnyonge mnyongeni kwa mafuta ya taa kutokupunguzwa bei. Mwenye nacho anaongezewa!
   
 20. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Huwa nakosa hamu tena ya kufungua JF pale ninapofungua na kukutana na upuuzi kama huu.
   
Loading...