TSN yapata hasara bilioni 19 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TSN yapata hasara bilioni 19

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Antar bin Shaddad, Oct 16, 2012.

 1. A

  Antar bin Shaddad JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Katika taarifa ya habari leo saa mbili usiku STAR TV wametangaza kuwa kampuni ya magazeti ya serikali TSN inayochapisha Daily News na HabariLEO imepata hasa ya shilingi bilioni 19 na hayo yamegundulika wakati wa kikao cha kamati ya Bunge ya POAC chini ya Uenyekiti wa Zitto Kabwe na kikao kimevunjika.

  Zitto ameeleza kuwa watendaji wa TSN na wajumbe wa Bodi wote wameitwa Dodoma kujieleza

  My Take:
  Hasara bilioni 19 inashangaza sana; Mkumbwa Ally na wenzake wamekula na kusaza!
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  19bn? Ni hasara ya muda gani, 1yr, 2yrs or what?
   
 3. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,485
  Likes Received: 806
  Trophy Points: 280
  Kuwaita Dodoma ni kuwapa per diem tu, wangewapiga suspension hapohapo
   
 4. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,658
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 180
  Mkumbwa yuko pale kichama na uswahiba zaidi na wala hana qualifications ya kuwa MD wa TSN...hamna mtu pale..
   
 5. controler

  controler JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 1,537
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kudaaadeki! Kila mahali wanapiga mpunga! Alafu wanatuletea habari za mjane wa mwangosi anamtafuta Dr Slaa ndo tununue magazeti yao puuz kabisa hawa
   
 6. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Kama wanaandika habari isiyouza kama ' Serikali ya Jk sikivu..nani atalinunua.
   
 7. Root

  Root JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 22,651
  Likes Received: 8,212
  Trophy Points: 280
  Hawa ndio wenye TSN supermarket na petroleum stations

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  funga production ya hayo magezeti ya ccm. Kumbe kodi zetu zinakwenda bure hapo km tbc kule
   
 9. S

  Sam Seaborn Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Msipate tabu

  Ijumaa waislam wanaenda kuwavamia.
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,836
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Hii kampuni iliandika habari mjane wa Mwangosi anamtafuta D. Slaa kumbe story ya kutunga magazeti haya yanaishia kufungia maandazi
   
 11. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,083
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  ...kama magezeti ndo haya Daily News na
  HabariLEO,TSN wasitarajie kupata faida hata siku moja,sidhani kama bado kuna mtanzania makini anaweza kupoteza pesa yake kununu hivyo vipeperushi vya propaganda za magamba...
   
 12. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani cha ajabu nini kwa nchi yetu. Huu ni upepo tu
   
 13. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanawaita Dodoma kujadili uozo?
   
 14. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,083
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  ...mtaani kwetu kuna mzee mwenye umri takribani miaka 85,alikataa kufungiwa vigwangala(vitumbua)kwenye gaziti la Habari Leo kisa lilikuwa na picha ya Dhaifu...
   
 15. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,610
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  We waache tu mpaka watakuwa wanapeleka nyumbani yakaliwe na panya
   
 16. k

  kisimani JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Chief Editor wa TSN ni rais Jakaya Mrisho Kikwete. Sijui kama mnafahamu hiyo
   
 17. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,101
  Likes Received: 777
  Trophy Points: 280
  Dodoma ndiko wabunge wanaongeka kirahisi.
   
 18. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sana sana watasimamishwa kupisha uchunguzi, halafu baadae wanarudi au kupewa majukumu mengine, serikali ya CCM bwana, full drama!
   
 19. isambe

  isambe JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 2,058
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Headings nyingine zinatutega nimekimbilia nilidhani ni TSN oil na super markets!
   
 20. W

  Wimana JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 145
  Jamani, kupata hasara si lazima wawe wameiba au kuna ubadhirifu. Kupata hasara inaweza kusababishwa na kutofikia makisio ya mapato kutokana na makisio ya mauzo. Imawezekana kabisa wanachapa nakala nyingi lakini wanauza nakala chache sana au wanapata matangazo machache sana. Hii inaweza kutokana na magazeti hayo kutetea hata ujinga wa watawala, so wasomaji hawayanunui.

  Sitashangaa kusikia haya hata TBC, maana tangu wamwondoe Tido, wamejiua kabisa, kimekuwa propagation Tv/ Radio.
   
Loading...