Vurugu Zanzibar za kisiasa au kidini?

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Ukweli upo palepale vurugu zanzibar ni movement for Zanzibar huru. Mmoja ya waandamanaji aliyehojiwa na BBC amejibu tatizo tupewe Zanzibar yetu.
 
kuna mtu nimewasiliana nae anasema fujo bado zinaendelea na anasema kufika jioni hali inaelekea itakuwa mbaya zaidi..
 
Back
Top Bottom