Ccm walijua wanaikomoa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm walijua wanaikomoa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KITENGE KOFIA, Oct 18, 2012.

 1. K

  KITENGE KOFIA Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuhusu hili janga la udini CCM ndo wakulaaniwa,,walitumia mashek kama njia ya kuiangamiza CHADEMA..mnakumbuka yaliotokea Igunga na kwingineno..mliuasha moto wa udini muuzime sasa..mlijua dhambi ya udini ingewaacha salama...kaziii kwenu
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Matunda ya dhambi aliyoiasisi Kikwete sasa maatunda yake ni haya na wajaribu kuuzima moto sasa!
  Mie natayarisha majambia kuhami makanisa!
   
 3. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  A sad fact ni kuwa ikiwa mwenendo huu utaachwa uendelee basi VITA YA KIDINI ITATOKEA TANZANIA. Don't be the one who starts the war, but be prepared to defend your faith!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Pia muda huu ni wa kutafakari na kutafuta nmna rahisi kabisa ya kumaliza moto huu mbaya ulioanzishwa na ccm...Kujua kuwa ccm ndio walioanzisha kwasasa haitaokoa kitu!...
  The peace is slipping out of hand, and we gotta put the situation back to rest!
   
 5. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu moto huu si wa ccm tena ili limeisha kuwa janga la kitaifa,nijukumu letu sote kuuzima kisha tuanze kazi ya kujenga upya umoja na mshikamano. Tunachoitaji nikufika katika nchi ya ahadi, nchi yenye maziwa na asali tena asali ya nyuki wadogo.tusikubali kutawanywa lugha na watu wachache wenye uchu na madaraka, badala yake tuzidi kuwabinya mpaka watuachie nchi yetu.
   
 6. Mwanahakij

  Mwanahakij Senior Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Auae kwa upanga nae atakufa kwa upanga! kama ccm waliona udini ni mtaji, basi waanze kuhesabu faida!
   
 7. j

  jail JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mungu haziakiwi apandacho mtu ndicho avunacho
   
 8. A

  A.R.LWANDA Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  tusifikili sisi kupewa amani na Mungu labda alituona ni wema sana au watakatifu kuliko mataifa mengine hapana, kama Mungu aliileta amani hivyo hata kuiondoa Amani anaweza, utaifa wetu ni bora kuliko dini zetu.
  tuachane na mambo haya.tupinge namna yeyote ya udini pray you part it can be done
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  PJ swala hili ni dogo sana tatizo waislam hawawaheshimu hata viongozi wao kama Mufti Simba ilikuwa asimame akemee na kisha viongozi wa dini zote wanakutana kama kuna tofuti zinamalivya lakini akithubutu watamchinja..
   
 10. K

  KITENGE KOFIA Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm watoke hazarani na wakiri walifanya kosa kutumia dini kujipatia kura,,wawaeleze waislam kuwa mahakama ya kadhi haiwezekani ingawa waliwaahidi...na wakubali kukaa nao na wawatulize munkari wao
   
 11. S

  Savannah JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yote haya ni kutokana na uongozi zaifu. Kutumia udini kuendelea kukaa madarakani, sasa kuna sababu tosha ccm kuondolewa madarakani na ife kabisaaa. Watanzia waendelee kuishi kwa amani, haki na maendeleo.
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  PJ nimesema swala hili ni dogo kwasababu bado hakujawa na mapigano ja pande mbili lakini tukisubiri wakristo waanze kulipiza, tutakuwa tumeingia kwenye level mbaya sana..kumbuka mtenda akitendwa...
   
 13. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ccm wakitalii nje ya nchi hawajifunzi lolote. Wakiandikiwa kwenye vyombo vya habari na hapa JF hawaelewi kitu. Hivi kuna mbinu gani ya kuweza kumfundisha na kumuelewesha mtu wa namna hii?

   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Hivi na Zanzibar nako kuna mfumo kristo?
   
 15. majonzi

  majonzi Senior Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Eheee Mungu tuepushe na hili balaa
   
 16. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hapa tatizo si Uislamu au Ukristo, hapa tatizo ni watu watu wanaoutumia dini kama nyenzo ya kupitiha ajenda zao mbaya
   
 17. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280

  Kwa unavyoiona CCM, kuna mwenye ubavu huo?
   
 18. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  si swala la kuficha rais anahusika kwenye hili yeye ndiye aliyewahimiza mashekh wafanye uhubiri usiokuwa na dira dhidi ya wenzetu wkristu sasa tutaficha wapi nyuso na si waislam wote tunapenda ujinga
   
 19. l

  lengijave Senior Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli CCM waliamua kuwa upande wa udini (uislamu) itawacost sana,na si suala la kisiasa tu,jamii ya waislamu wenye msimamo wa wastani wanaweza wakajitoa kwenye uislamu na hii kama isipofanyiwa kazi jamii itachukulia uislamu ni uhuni kitu ambacho si kweli na hiki kitaishushia sana uislamu heshima,iliniuma sana nilipo ona kwenye TV siku ile ya tukio la Mbagala,niliona kiongozi wa waislamu,mkuu wa mkoa na Suleiman Kova ambao wote ni waislamu wakisema vitendo walivyofanya waislamu sio haki:Mwigulu Nchemba kwenye kikao cha bunge aliwaalika wageni kutoka jimboni mwake ambao walikuwa ni mashekh,I remember i read a book from African event 1990:Satanic verses by Salman Rushdie,social evils to innocent people is party of satanic
   
 20. Z

  Zakaria Lang'o JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,081
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Nimeusoma ule waraka wa Waislamu uliowekwa humu siku za karibuni. Baadhi ya madai yao ni kuwa wanaulinda utawala huu ambao unaongozwa na Muislamu mwenzao. Pia kwamba wao ni CCM kwa sababu ndio waasisi wa chama hicho kupitia chama cha TANU kilichodai uhuru wa nchi hii. Waraka unaenda mbali kudai kuwa Makanisa mawili ya Katoliki na KKKT ni maadui wa ustawi wa Waislamu na kwamba ndiyo yanaifadhili Chadema kutaka kuwanyang'anya utawala wao. Ukiyatazama madai haya na kuyalinganisha na hotuba fulani ya Rais Kikwete mara baada ya Maandamano yaliyofanywa na Chadema mkoani Mwanza mwaka 2011 alipodai kuwa Chadema walikuwa na njama za kutaka kumwondosha madarakani, utagundua mshabihiano. Binafsi namwomba Mhe. Rais Kikwete atoke hadharani na kwa lugha ya wazi ajitenge na madai ya watu hawa. Hii ni kwa sababu kama Rais wa Tanzania tulimpa kura zetu sote na kwa maana hiyo hakuna kundi lenye haki ya kudai kuwa wao au baadhi ya viongozi wenye majina ya Kiislamu ndio wanoulinda utawala huu; kiasi kwamba hata wanapofanya makosa wasiguswe kwa kutakiwa kuachia vyeo vyao. Rais ni muhimu aje hadharani na kwa uwazi awaambie watu wa imani yake kuwa, "MIMI NI RAIS WA TANZANIA NA KWAMBA DINI YANGU HAINA UHUSIANO NA URAIS WANGU" Namwombea kwa Mwenyenzi Mungu anapotafakari hilo. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
Loading...