Hii kali ya huyu Mwenyekiti wa CCM Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii kali ya huyu Mwenyekiti wa CCM Mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mboko, Oct 16, 2012.

 1. M

  Mboko JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  SALAMU ZA CCM

  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, alisema Kamanda Barlow alizingatia sana sheria katika utendaji wake wa kazi na alikuwa tayari kuitika wito hata kama ni usiku wa manane.
  Swali langu ni wakati ule Makamanda wa Chadema wanacharangwa mapanga na viongozi na wanachama wa Ccm na Makamanda wa Chadema waliwapigia simu Polisi akiwemo marehemu lakini cha kushangaza hakujakuwa na msaada wowote hadi leo hii hakuna kinachoendelea wakati watu wanajulikana sasa hapa huyu mwenyekiti haya maneno kayatoa wapi kama sio dirty politic,hivi kama huna la kusema kwenye msiba kwa nini usinyamaze ni sawa na waswahili wengi mara tu mtu anapofariki/kuuliwa utaanza kusikia R.I.P na wataongeza aaah marehemu alikuwa mtu watu mara alikuwa mchapa kazi na mengineyo mengi tu hata wale waliokuwa maadaui wa marehemu utasikia aaah huyu jamaa alikuwa mtu wa watu sana japokuwa si vizuri sana kumsemea marehemu kuwa huyu jamaa alikuwa mtu mbaya sana na katili kwani we know thats too later thus why nasema kama hatuna vya kuongea kuliko kumsifu mtu kuwa alikuwa anafuatilia sheria sana za nchi wakati hata alikuwa hajali ni bora tukakaa kimya thats is.
  Sina ubaya na yeyeto so just discuss na kama unaona huelewi nilichokisema basi bora usepe!!!
   
 2. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Umesaha hau ule usemi sifa za marehemu lazima ziwe nzuriiii? Jamani mwacheni kapumzike kwa amani, mideni kibao huku duniani!!!!!!
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  'Polisi jamii'(majambazi) wameanza tena micharuko..safari hii wamepiga mkuki moyoni.
   
 4. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  unajua kujikomba,chadema utawajua tu,bora nimalizie zangu hii bia nikalale,hakuna mpya ni ujinga tu
   
 5. isambe

  isambe JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 2,053
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  Hapo nakubali nikweli alikuwa muitikia wito,manake asingeukataa wito wa mwalimu Dorotia usiku wa manane.
   
 6. a

  ambagae JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 1,655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kama walitaka kuleta uhuni mapanga na mashoka halali yao
   
 7. M

  Mboko JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sishangai maneno yako ndugu Ambagae kwani ndio zenu kuvunja sheria za nchi sasa kama Mashoka na Mapanga ni halali kwa Watanzania ambao sio Ccm basi huo ni uwendawazimu na kama ni hivyo ule Uongozi bora na utawala wa sheria mnaoimba kila leo uko wapi ndio maana nasema hata hawa Police ndio namba moja kuvunja sheria za nchi then wanajinadi ati Utii wa sheria bila shuruti wakati upande mwingine mnasema Mapanga na Mashoka ni halali yao Lol!!Ndio maana wanasema ukitetea magamba na serikali yao lazima uwe na akili ya maiti so no wonder
   
 8. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Maovu yote hayo malipo ni hapa hapa duniani.
  Unaona sasa !!
  Yeye alidhani kuwa yuko salama, kwa hiyo hakujali maumivu yaliyowapata wale wabunge wa Chadema.
  Sasa yamempata yeye mwenyewe, tena kwa kashfa ya ugoni (aibu sana) !!
  Malipo kama haya yanamsubiri RPC wa Iringa (Kamuhanda) !!
   
 9. piper

  piper JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Marehemu siku zote hana baya, so hata kwenye msiba wa jambazi hutasikia sifa mbaya.
   
 10. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,488
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  unona sasa wametumia mapanga na mashoka wamechoka sasa wametumia kitu chenye ncha kali chenye mwendokasi wameiba roho ya kamanda
   
 11. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kila mtu ana haki ya kupata ulinzi, iwe CCM au CDM. Na kifo ni kifo tu iwe CCM au CDM. so guys watch your ulimis.
   
 12. w

  wabuyaga JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,685
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  HAPA NAFIKIRI TUSIPOZEZE WAKATI KUJADILI KITU AMBACHO KINAELEWEKA! HAPA KUNA DOUBLE STANDARD. NA KWA MAANA HII KILA MTU YEYOTE AWE MKUU WA POLISI, AU MTU WA KAWAIDA KAMA MIMI WOTE NI SAWA MBELE YA SHERIA PAMOJA NA MWENYEZI MUNGU. KWA MAANA HII KWANZA SIONI KWA NINI TUANZE KUANGAIKA KUJADIRI KIFO CHA HUYU BWANA! HAPA HAKUNA MAANA YOYOTE KABISA. PIA SIYO SIRI KUWA SERIKALI TAWALA INAFANYA KILA LIWEZEKANALO ILI KUHAKIKISHA VYAMA VYA UPINZANI VINATOWEKA KABISI HASA cdm. mASIKINI NDUGU ZANGU POLISI NA VYOMBO VINGINE KAMA HIKI WANAJIDANGANYA TU. KUMBE WAKATI UTAFIKA AMBAPO HIYO DOUBLE STANDARD ITA KWISHA NA WENYEWE WATAIPATA. HUYU AMEKUFA NA WALIO KUFA MWANZA YEYE AKIWA KIONGOZI TUSEMEJE? ACHENI BLAA BLAA KWANI WANYONGE WATAKOMBOLEWA NA NJIA AMBAZO HATA WENYE MITUTU NA HAKI YA KUUA HAWATAZIZUIA KAMWE!
   
Loading...