Kwa nini JK haendi nchi za Asia na Arabuni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini JK haendi nchi za Asia na Arabuni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by republicoftabora, Oct 13, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. r

  republicoftabora Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ingependeza akawa anaenda sana nchi za Asia akawatembelee South East Asia, India, China, Russia na kadhalika ili kuwepo balance of power. Si nchi imehodhiwa na nchi za west.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  jumatatu anaenda mascat. najua unalijua hili!
   
 3. M

  Moony JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hana UDHU
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kule hakuna wasanii wengi wa kupiga nao picha.
   
 5. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  Waarabu hawana utamaduni wa kusaidia watu wasio kama wao. Kwasababu safari nyingi ni za omba omba hawzi kwenda uarabuni kwni hawatoi kitu zaidi ya chai na msaada wa kujenga misikiti!! Norway nchi ndoto inasaidia kuliko Saudi Arabia, Japan inasaidia Tanzania kuliko Saudi, UAE combined. Umewahi kusikia lini msaada wa budget kutoka Saudi, Oman au UAE ??? Tanzania bado inatgemea misaada na JK anaendaka kusanya
   
 6. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kwani cameroon yupo uarabuni,cameron ndo anapanga miting place kwa ajili ya mambo yaleeeeee.
   
 7. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  zomba umemsikia huyu asiyesadifika na wala kusarifika!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. GREAT VISIONAIRE

  GREAT VISIONAIRE Senior Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ulaya waliwachukua mababu zetu kama watumwa ila leo tunawaona akina 50 cent,black americans kibao,,lakini waliochukuliwa na waarabu mbona hatuwaoni?ama na wenyewe waligeuka waarabu?
   
 9. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hahahahahaa........jk huwa anawafuata wanaume wamsaidie.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  He! you have summoned zomba? i quit
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Mwache77

  Mwache77 Senior Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Uarabuni tunakutana nao Loliondo tunawapa Twiga wanaenda zao
   
 12. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Via Dubai kuonana na wazee wa suti
   
 13. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145

  Mascat Wazenji kibao; ni kama Anafanya ZIARA ya Unguja na Pemba
   
 14. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 6,056
  Likes Received: 7,082
  Trophy Points: 280
  Yawezekana walitishwa kula jambia la kiuno endapo wangethubutu kumgusa mtoto/mke ya mwarabu.
  Au pengine walifanyiwa mambo ya kimombasa ndio maana hawakuzaliana( natania jamani)
  Waafrika wengi walio chukuliwa na waarabu, waliuzwa kwa wazungu.
   
 15. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,485
  Likes Received: 2,146
  Trophy Points: 280
  Sioni sehemu za kubembea na mke. Sharia 100%. Naye mjanjaaaaaaaaaaaa!
   
 16. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Haendi huko kwa sababu hao jamaa hawajawekeza kwenye migodi ya madini 1 kwa 1 pia hawana mchango wa maana sana kwenye bajeti ya kimaskini.
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,696
  Trophy Points: 280
  Hujamwona Barubaru?
   
 18. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Mi sijamsikia kaenda irak au kwa libya
   
 19. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Mi sijamsikia kaenda irak au kwa libya,au huko hamna vitoroli vya farasi?
   
 20. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,061
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  Misaada ya bajeti! Hata ingelikuwa mimi nisingetoa. Miaka 50 ya uhuru bajeti yetu 60% hatujui tutaipata wapi! Twashindw na Rwanda tangu 1994 hadi leo imeweza kukata misaada ya bajeti na sasa inahitajia 3% tu! Ndio maana tunawauzia Waarabu maeneo ya kuwinda, na dhahabu, Tanzanite,gas haitusaidii chochote kwa sababu inabidi tuwaridishe wanaotupa misaada: ukila lazima uliwe!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...