Naweza kabisa kuituliza Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naweza kabisa kuituliza Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by J.K.Rayhope, Oct 18, 2012.

 1. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi kuna yeyote kati yenu anaefurahia yanayoendelea Zanzibar?Kama hatua zenye busara hazitachukuliwa,kisiwa hiki kitapoteza hadhi yake kabisa.Nilichobaini wapo watu wachache sana wanye kuitakia mabaya Zanzibar,kwa busara na hekima niliyojaaliwa toka kwa Mungu,naamini kabisa nikitua pale naweza kutatua mgogoro wa uliopo ZANZIBAR.Nahitaji tu mamlaka tu kutoka ngazi zinazoweza kunipa nguvu si ya fedha wala ulinzi.Sitanii,Wakuu wa nchi na mawaziri wenye dhamana na wadau wengine,tushirikiane tumalize tatizo.Dawa ya tatizo ni kulitafutia ufumbuzi.Wanajanvi wote naomba pia mchango wa maboresho wa namna ya kutatua mgogoro uliopo,ili pale pawe na amani na uhuru wa kutosha.Naomba kuwasilisha.
   
 2. a

  abdul 28 JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ccm zanzibar wanahisi marekebisho yoyote ya muungano wataondoka madarakani kwa hivyo fanya liwalo torosha amaniii
   
 3. mtwana

  mtwana JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Wanaotaka Znz iingie katika malumbano wanajulikanwa ila ipo siku ukweli utajulikanwa tuuuuuuuuuuuuuuu
   
 4. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,266
  Likes Received: 1,197
  Trophy Points: 280
  kwani kwnn wanaing'ang'ania c wawaachie nchi yao?ccm hamtakiwi kule hamuelewi
   
 5. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tuliungana na Zanzibar kwa amani na tuiachie iende kwa amani.

  Let Zanzibar Go.
   
 6. s

  salmar JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 782
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Namshukuru manani leo ndio mara yangu ya kwanza kusoma comments za ma great thinker ambao hawaku base udini wala siasa wala kumponda mtu mungu akubarikini
   
 7. s

  salmar JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 782
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Nakuunga mkono bro u truely great thinker
   
 8. s

  salmar JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 782
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Bro nakuunga mkono hayo ndo mawazo ya mtu alokomaa na kisima cha busara
   
 9. s

  salmar JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 782
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  A wise comment from a wise person
   
 10. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  America imeshatahadharisha wananchi wao, leo balozi zingine za ulaya pia
   
 11. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ufumbuzi ni Zanzibar huru tu
   
 12. J

  John W. Mlacha Verified User

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  weka wazi plan na mipango yako
   
 13. KANYIMBI

  KANYIMBI JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Wameshachoka hao inamaana nyie CCM hamuelewi?. hadi wanachoma majengo yenu!, wanaua askari wenu na kubwa zaidi ni kwamba wako tayari kwa lolote. Hii na dalili mbaya sana kwa uongozi wenu. Nimewasikia wanadai nchi yao au muungano wa mkataba, haya chagueni kimoja wapo ili muwape. Jk na Membe mkirudi toka Oman nawaomba nendeni zenji mkasaini pia muungano wa mkataba.
   
 14. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cjakupata mkuu, una maana unataka kuwasuluhisha magaidi ama!
   
 15. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Wameishasign muungano wa mkataba na Quabooos...
   
 16. S

  Same ORG JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dawa ya kutuliza znz ni kuwateka wazee wa viongozi wote wa ccm akiwemo sheni, iddy seif, gharib bilali, na wengine mpk wakubli kuitangaza zn huru ndio tunawaachia wazee wao. Huu ndio mtindo wa movement4 change utakaotumika sasa.
   
 17. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  tatizo la zanzibar ni CCM ... na CCM ndio wanaweza kulitatua hilo tatizo .. ni kiasi cha kukaa chini na kusikilizana
   
 18. h

  hadija1 Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawabebeki.Si wawaache.Grrrrrrrrrr
   
 19. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Ungesema nini kifanyike ili kuumaliza mgogoro na siyo kujifanya kuwa unaweza kusuluhisha
   
 20. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu, tangu machafuko yaanza Zanzibar, Wazanzibari wengi tangu jana wanamiminika kwa wingi sana hapa Dar es Salaam. Nimekaa bandarini, meli zinazotoka Unguja zimejaa hadi pomoni, lakini zinazoenda hazina watu wengi. Naambiwa wanakimbia machafuko ya wana Uamsho. nadhani huu ni wakati mzuri wa kuwazuia kuingia huku Bara ili watambue thamani na lulu ya kuwapo Muungano. Tangu vurugu zianze, naambiwa Wazanzibari wengi sasa wanasema heri Muungano udumu milele.

  Ushauri: Tuwazuie kuingia Bara ili walau waonje adha za kuuvunja Muungano. Wenzangu mnasemaje?
   
Loading...