Sumbawanga kama arumeru

Man 4 M4C

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
743
114
Pale suwanga timu ya klampeni ni kama Arumeru,mawakala kama Arumeru. Pia sasa hivi bendera chuma mlingoti chuma. Wewe fikiria ccm walipata kura 17328 na cdm kura 17132 walituzidi kura 196.Angalia yafuatayo:

  • Matokeo walichakachua.
  • Watu hawakuamka kama sasa hivi.
  • Tayari tumewashinda mahakamani mara mbili.
  • Tayari Baba yao kaamua kupumzika siasa.
  • Tayari wamemalizana neki na uvccm kwa kuweka watoto wao.
  • Msukumo wa mikutano ya cdm ni mkubwa sana kuliko hata kwa shishiemu.
  • Kura 196 zitapatiokana kwa waccm pekee waliojitoa kurudi cdm na wananchi waliokuwa hawakupiga kura.
  • Wazee wengi amabao ni shishiem wameendelea kufa na waliobaki wamekata tamaa na wengine wamejivua gamba.
  • Wananchi wanataka mabadiliko.
  • Mkapa kakubali matokeo baada ya kupigwa Arumeru.
  • Sumbawanga maeneo yao pia yamevamiwa na mtoto wa mkulima anatoka kwao.
  • Mtoto wa mkulima ameproof kuwa yeye ni mtoto wa bepari.

Hapa watapitia wapi mafisadi,labda wakapitgie mabwepande.:A S 465::spy::director:
 
Halafu Lusinde ndo atakaeongoza kampeni, shauri yake akitukana tu huku namchukulia radi ya buku jero pake chipu namrarua nayo!
 
Aiseee Mafreemasons ni majiziii we acha tu!! Kwa analysis hii Lusinde lazima amwage mitusi ya noma, maana anajua hana la kupoteza!!
 
Viva m4c, wataijua nguvu ya uma ni nini? Nasikia meneja kampeni wao atakuwa lowasa na lusinde huku nchemba akitafafuta .....usiku kama igunga
 
Dawa ya nchemba imeanza kitumika. Mwambie huko hakuna risasi bali ni radi tu.
 
Shy mjini walichakachua eti wakazidi kwa kura 1. Wakaona bora waue, halafu bwana mkubwa akateua mchakachuzi kuwa naibu waziri! Aibu
 
Halafu Lusinde ndo atakaeongoza kampeni, shauri yake akitukana tu huku namchukulia radi ya buku jero pake chipu namrarua nayo!

Yani huyu ndio kiongozi wa kampeni, mbona ushindi kwa CDM tayari
 
Zitto anakubalika sana s,wanga, huyu hakwepeki kama cdm wanataka ushindi wa mapema..hata kura za cdm 2010 alichangia kwa kiasi kikubwa sana mie natishwa na hizi propaganda anazofanyiwa na baadhi ya watu humu jf
 
M4c daima. Tulianza na mungu!.........mwenye jibu anipe, kama hamna nipeni mji : ritz.zomba, na kundi lenu hamruhusiwi kushiriki.. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Back
Top Bottom