Ismail Jussa umekosa heshima, adabu wala nidhamu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ismail Jussa umekosa heshima, adabu wala nidhamu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by segwanga, Oct 17, 2012.

 1. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ok unataka Zanzibar huru fine! kuwatukana watu ambao wanakuzidi si umri tu bali hata uwezo wa kufikiri naona unavuka mpaka.
  Jisomeeni wenyewe alichokiandika kwenye facebook wall yake na muone huyu dogo anapovuka mipaka kwa sababu tu akili na mdomo mali yake.


  Ismail Jussa

  Kuna watu (wanajulikana wana kazi zao) ambao wamependa kujifurahisha kuwa Warioba alimbana Jussa na kwamba Jussa alishindwa kujibu hoja zake. Who is Warioba after all? Na kwa hoja zipi za maana alizowahi kuzitoa? Warioba simply anashindwa kustahamili mawazo yasiyokubaliana na UNYERERE ambao ndiyo itikadi yake na akina Butiku. Alianza kwa kutokubaliana na kile alichokiita mtazamo tofauti wa historia ya uundaji wa Muungano (different perspective on the historical background of the making of the Union) nilipomjibu akakaa kimya! Akataka kujua mifano ya Muungano wa Mkataba na nikamtajia Muungano wa Ulaya (European Union) lakini nikamjibu kuwa Mikataba haina sura moja wala waliokuja na miundo ya Miungano yao ya Mkataba hawana monopoly ya wisdom kuwa lazima tuangalie mifano yao tu akataka kulazimisha mitazamo yake.

  Nilipotaka kumjibu Butiku akazuia kwa sababu alijua nitamuumbua. Kilichodhihirika pale ni kuwa Warioba (ambaye anaonekana amechoka sana hata uwezo wa kufikiri unampungukia) na Ma-Nyerereists wenzake wamepata mshtuko kutokana na wingi (overwhelming majority) wa Wazanzibari wanaotaka Zanzibar yenye mamlaka kamili kitaifa na kimataifa na kufuatiwa na mashirikiano kati yake na Tanganyika kupitia Muungano wa Mkataba. Anababaika, anaweweseka! Lakini wimbi hili halizuiliki! Wazanzibari tumeamua! Unyerere (ambayo ndiyo itikadi inayowakilisha Ukoloni wa Tanganyika dhidi ya Zanzibar) hauna nafasi tena katika Zanzibar ya leo. Na wachukie wenye kuchukia.
  ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
  --------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
  WASOMENI PIA WAZANZIBAR WALIOTOA MAWAZO YAO KUHUSIANA NA POST HIYO.HUU MUUNGANO SIJUI UNAELEKEA WAPI?
  [FONT=&amp]Ally Fadhil Juma warioba mwenyewe shoga la ki zamani nchi yetu warioba hahusiki wala hana asili huku ..........kama alivyosema mzee karume warioba mwisho wake chumbe mlevi wa gongo mkubwa yule....mhe jussa ss tumekukubali tetea maslahi yetu huyo warioba aende zake kwao huko tena ss wala hatumjui wala hatumtambui,kama sheria na wewe umesomea atakubabaisha nn huyo wariiiioooooooobaaaaaaaaaaaaaaaa?[/FONT]


  [FONT=&amp]Ally Fadhil Juma kwanza kwenye mambo ya zanzibar warioba kahusikaje?na hii sio tanzania ni zanzibar?na maamuzi yetu tunato wenyewe tukija kwenye u tanzania ndio labda yumo.kwanza tunazungumzia zanzibar warioba yy ni kama nani zanzibar?[/FONT]

  [FONT=&amp]Ally Fadhil Juma na hao vibaraka wa c.c.m ndio wanaturudisha nyuma huko zanzibar,tunasemaje nyie ma c.c.m wa zanzibar mnaotaka bado tuendelee kuburuzwa hadi leo tunakutafuteni na majina yenu tunayafanyia sensa tuwajue mko wangapi then tutakutieni kwenye ndege tukupeni safari then tunasoma BURDAI ndege inalipuka huko huko angani.hatutaki siasa za nyenyere zanzibar.[/FONT]

  [FONT=&amp]Nurdin Moh'd Hawa nyerererist walipo buni mtego wao wa upumbavu wa hadidurejea zao walitaka muungano ucvunjwe bali uboreshwe,sasa mtego wao wameushtukia kuwa ni butu wanaanza kupata hofu kuona kitu ambacho hawajakitarajia'mkataba'hii ni bakora kwa wale wote wasiotaka mageuzi,jamhuri ya watu wa z'br kwanza shengesha baadae.[/FONT]

  [FONT=&amp]Ali Khalfan Mm nataka kujua, kwani huku Z'bar kuna nn hata hawataki kuiachia au ndo lengo lao wa2kandamize, wa2felishe na wa2nyanyase? Miji2 yenyewe hata maarifa na mawazo hayana kinachoanzishwa Z'bar na wao ndo waige. Kama ni muungano Z'bar ipo Tanganyika iko wapi?[/FONT]

  [FONT=&amp]Ally Almafadhy Warioba kweli Unyerere umemkaa "Eti apewe mfano wa mkataba na unakuwaje" Sasa huu uliopo mfano wake ni upi na ulikuwaje.?
  Mh. Jussa Ulimbomoa na akawa hana pakushika, anajichanganya mwenyewe.!
  Warioba Mkataba huujui, sasa hayo maoni ya Wazanzibari yote yaliopita uliyaandikaje.? Anasema Mkataba utavunja Muungano, sasa kwani Serikali tatu hazivunji Muungano.?
  Si afadhali angeshangaa Muungano tuliokua nao tumepata mfano wapi.! [/FONT]

  [FONT=&amp]Khaleed Gwiji Alhabiib, Jussa - u r twice the man they r. Tumeshakuona na kukusikia katika nyakati tofauti na platforms mbali mbali in their presence ukisimamisha nguvu ya hoja nao kushindwa sio tu kujibu, bali hata kuelewa. Walioyoandika hayo wana - ulterior motives na wanatekeleza matlaba ya waliyowatuma. Tumeshuhudia ukipambana na wasomi kweli kwa hoja na kuwaacha mataani kwa kule kutetea kwao misimamo nawe kutetea hoja. Achilia mbali ww, sisi vijana chipukizi tuna challenge kama Warioba na mfano wake wanataka mdahalo wa wazi kuhusu aina ya mahusiano ya Mkataba - tuko tayari ili wananchi wajionee na kwamba yule atakaeshinda awe ameshinda juu ya hoja, na atakaepotoka awe amepotoka juu ya hoja.[/FONT]

  Haji Rajab Haji Congratulation Mh. Jussa hakuna Mtanganyika yoyote anaeweza kumshinda MZanzibari kwa hoja za siasa. Sisi tunazaliwa ndani ya siasa na tunakufa ndani ya siasa. Mpe salamu Muheshimiwa Raisi Dr. Shein kwamba anafuata mawazo ya watu vichwa maji kwa wanayomshauri anajiwekea wakati mgumu katika uongozi wake. Atumie busara na iwapo anataka furaha na uongozi ulio rahisi kwake atusikilize waZanzibari tuliowengi tunataka nini kwa nchi yetu. Nous n'avons pas assez des mots pour expliquer nos douleurs pour Zanzibar.

  [FONT=&amp]Haji Jingo Mimi huwa nasumbuka sana kuona ndani ya Muungano huu kuwa nchi moja inaendeshwa chini ya katiba mbili wakati moja imejificha na kuneemeka na inayoitwa Katiba kuu na moja ikibanwa vibaya mno na hiyo hiyo Katiba kuu. Wakati umefika kuwa na Jamhuri yetu kamili, katiba yetu tunayo tayari, na tuwe na mkataba tuu hakuna haja ya kuburuzana na kuumizana vichwa kutatuwa kero sugu zinazozidi kuongezeka na kusumbuana roho na watu wanaojitia hawafahamu nini Muungano wa Mkataba.[/FONT]

  [FONT=&amp]Comb Frankie Nahisi kila kitu uko sahihii mzee ila niko zbar mwaka wa pili khali ya maisha kwa kweli ni duni sana je kama wewe ni kiongozi unayetaka mabadiliko kipi kimefanyika? wenyeji wanafanya kazi na kulipwa mishahara duni na wageni wakineemeka kwa kulipwa mapesa ya khali ya juu na hao viongozi wenzako wakikesha weekenda kwenye mahoteli makubwa kwa complimentary na kuwatetea waekezaji kila wapindishapo jambo. naomba liweke wazi hilo Mh. sio kupiga kelele kwa jambo moja kila siku wananchi wazawa wananyanyasika for more info unaweza kuniona na kukupa maelezo. Hii zbar haikutakiwa kuwa hapa ilipo.[/FONT]

  Yahya El Hamad Mimi sikuyasikia lakini Niliwaambi jana achilia mbali Mh Jussa, hata mimi niliefika darasa la saba niko tayariki kukaa upande mmoja na hiyo tume upande wa pili niwaeleze maana ya muungano wa mkataba. na huo mkataba si lazima, tunaweza kuwa bila ya wao. European Union inatosha kujua mfano, ni wiki iliyopita tu wamepewa tunzo ya Nobel, mbona huu muungano wa Nyerere haupewi -utasikia umefikia miaka 48 ni mfano kwa Afrika, nini? Basi Firauni pia mfano natufuate matendo yake. Unataka mwengine uliokuwa hata mkataba rasmi hauna ni wa Scandinavia -mafanikio yake ni makubwa kuliko hata EU.   
 2. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Ngoja naye tumteke huyu
   
 3. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  indescipline man always think no knows like him,sasa jussa ni aina hiyo.je,anatambua akijitenga na tanganyika hakuna zanzibar?bali unguja na pemba,wabara tumekuwa wakimya na tumekuwa na heshma siku zote ila wenzetu wamekuwa tofauti japo mimi naamini ni vikundi vya watu fulani fulani wenye kuleta choko choko.dhambi ya ubaguzi katu haiwezi kukoma,na mtu mwenye hulka ya ubaguzi ni wa kukaa mbali nae.hakika mwl.nyerere aliyajua na kuyaona haya na aliwaweza thats why they talk negatively on him.
   
 4. d

  demulikuy JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 80
  Tamaduni za kiarabu zinaruhusu kuoa au kuolewa na mtoto wa Baba Mdogo au Mkubwa na hii inazaa interbreeding katika society za namna hiyo, na Zanzibaris are no exception. Interbreeding leads to weaker offsprings genetically and hence they are weaker creatures physically and mentally. Kijamii all boundaries to decency are breached as the border between incestuous relationship and normality becomes very thin and this leads to degradation of morality. Kutokuwa na adabu kwa wakubwa is a distinct hallmark of all products of such upbringing. Hamna cha kushangaza hapo!
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Ismaili ****
   
 6. M

  Msavila JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 404
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Zanzibar itabakia, hilo ni dua la kuku. Swala ambalo naona linaelekea kuuvunja muungano si unyerere bali ni mitizamo hasi ambayo inaonekan kushamili sasa kuhusu mwungano. Yaani Mwungano wa mkataba ambao unaelekea haukubaliki au haueleweki na Watanganyika, na ule Mwungano wa serikali moja ambao haukubaliki kwa Wazanzibariunja Mwungano uliopo. Suluhisho sahihi ni kuuvuunja Mwungano uliopo sasa na endapo tutaona kuna haja ya nchi zetu hizi kuwa na mahusiano ya zaidi ya kidiplomasia tutaongea tukiwa sober. Czech na Slovakia wameweza sisi tunaogopa nini wakati mifano hai ipo Wao pia wameoleana kama sisi tu. Aluta continua mpaka kieleweke
   
 7. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani matusi yote yanayotukanwa kwenye ukumbi huu hakuna wa kuyaona ila haya aliyoyasema Mh. Jussa tu? Hivi UNAFIKI mmezaliwa nao ama mlirithishwa kwenye loo zenu?Siku zote hizo mlikuwa mnatafuna uongo wa "Warioba ambana Jussa" na "Jussa ashindwa kutoa mfano wa muungano wa mkataba" leo hii ukweli umetoka mnakimbilia kujificha kwenye giza la kukosa adabu? Badala ya kukana maelezo ya Jussa mnakimbilia adabu na hadithi ndefu za breeding. Huu UNAFIKI wenu hautawafikisha popote na mtabaki kuwa watwana wa mawazo maisha yenu yote. Simply no hope for fools!
   
 8. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akijitahidi anaweza kukufikia wewe. Endeleza kasi ya ujuha asikufikie.
   
 9. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ismaili jusi
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  hahahahah umeua mkuu
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Ati eeh?
   
 12. B

  Bayana JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 433
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Chuki binafsi. Acha watu watoe maoni hata kama yanatofautiana na yako sio matusi. Hiyo haitabadilisha ukweli.
   
 13. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mimi na sara tu ,YESU atulinde
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Unyerere sio tusi?
   
 15. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Huyu aliwahi kumwita Sitta "mpumbavu".
   
 16. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mhindi Jussa aka mwarabu mchanganyiko nadhani ameanza kuchanganya mambo. Zanzibar itaendelea kutawaliwa na Tanganyika wapende wasipende. Hatutaki vurugu sisi.
   
 17. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha Unyerere wako wewe!
   
 18. mtwana

  mtwana JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Umekosa la kuongea ndugu lete hoja nyengine basi kma ikiwa hana adabu naona umeula na chua mana hiyo ndio kauli ya wazanzibari wote sio yeye peke yake
   
 19. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa kama mpumbavu asiitwe mpumbavu?
   
 20. mtwana

  mtwana JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Kwani Muungano ukivunjika itakuaje??????????na utadhurika na kitu gani wewe
   
Loading...