Chaguzi za madiwani arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chaguzi za madiwani arusha

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by natangaduaki, Oct 18, 2012.

 1. n

  natangaduaki Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Naomba kuuliza wanajamvi wenzangu hivi hizi kata ambazo madiwani wake walikwishafukuzwa na chama siku nyingi na baada ya kesi zao kutupiliwa mbali na mahakama,hizo chaguzi hizo zitaitishwa lini. hii ni pamoja na kata ya SOMBETINI ambayo diwani wake alikwishajiengua siku nyingi. je hi si kuwanyima watu wa Arusha haki yao yamsingi ya kuwakilishwa? naomba mweye kuelewa kwanini tume ya uchaguzi haijaitisha uchaguzi mdogo sambamba na hizi kata 29 zinazofanya uchaguzi karibuni.
   
 2. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Woga wa kupoteza halmashauri ya arusha...piriod.
   
Loading...